Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

Biashara, wengine ni attention seeker's tu, anapenda zile comments umependeza, makopakopa, kutongozwa mara kwa mara, wengine no jumbe za vijembe kwa watesi wao, wengine ni mitego ( kuna mtu anategea apo)..

Wengine ndo wanatoa taarifa indirectly ili mbwiga mmoja ajipendekeze apigwe, mfano pisi inapost "feeling sad", njemba zitaporomosha salamu inbox.
 
Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Mind your own shits.Unasikia aibu sababu ya mtu ambae havunji sharia yeyote.
 
Biashara, wengine ni attention seeker's tu, anapenda zile comments umependeza, makopakopa, kutongozwa mara kwa mara, wengine no jumbe za vijembe kwa watesi wao, wengine ni mitego ( kuna mtu anategea apo)..

Wengine ndo wanatoa taarifa indirectly ili mbwiga mmoja ajipendekeze apigwe, mfano pisi inapost "feeling sad", njemba zitaporomosha salamu inbox.
Hataree basi
 
Kwangu mimi utumwa ni kuwa busy kufuatilia mambo ya watu.

Nafikiri kuna kipengere cha ku-mute upande wa whatsapp, facebook unaunfollow tu.
Watu wote ulonao wakiku unfollow hata hzo post hutoweka maana umeweka ili watu watizame.
Kuweka ili watu wakutizame Kila siku ndo utumwa huo.
 
Kuna watu hawezi kupitisha siku bila kujipost mtandaoni. Anajaza status weeee utasema analipwa na WhatsApp.
Hana siri kila kitu hadharani kwenye mitandao, yaani huna hata haja ya kupeleleza habari zake , ukizitaka tu unazipata mtandaoni.

Akiachwa, akiwa na huzuni, akiwa na furaha vyote ni kupost tu kwenye mitandao.

Amekuwa kama msanii Kila hatua ya maisha yake lazima watu waijue. Wasanii wanapata pesa angalau, sasa mwenzetu unapata nini!?, Zaidi ya like na comments ambazo hazina faida yoyote Ile katika maisha yako.

Huu ni utumwa vilevile. Kataa kuwa mtumwa wa mitandao.
Ni kweli lakini ndiyo maisha yake mtu kaamua.

Mtu akishaamua kuishi hivyo ni haki yake kuishi hivyo, haki ya kikatiba, haki ya kibinadamu.

Katiba na haki za binadamu zina sehemu ya freedom of expression, ndiyo wanaitumia hali hii.

Na hawakulazimishi kuwafuatilia, usipopenda habari hizo usiwafuatilie tu. Fuatilia mambo unayopenda. Wanaopenda hayo mambo yao watawafuatilia.

Wewe huna haki ya kumpangia jinsi ya kuishi.
 
Ni kumpangia mtu au kuwakumbusha!?. Unadhani tungekuwa na mamlaka za kuwapangia watu wangepost!?.
Staha ipo katika utu wa mtu
 
Kujipost, Kuna post zingine za biashara huwezi kuacha kupost.
Yaani ukiwa beach unatupia vipicha, mara unaamka asubuhi " wadau ndo naamka" nani kakuuliza🤒
Sema hapo mdau kama uyo kama ni ndugu yako huwa tuna mute

Kama ni msela tu na unahisi hawezi ni useless kwako uyo namba tunaweka kwenye notebook ya simu sio phone contacts

Ipo hivo ndugu yangu
 
Msiwe na wasiwasi Kila mtu atachanganyikiwa
Screenshot_20241210-195309_1.jpg
 
Ni kumpangia mtu au kuwakumbusha!?. Unadhani tungekuwa na mamlaka za kuwapangia watu wangepost!?.
Staha ipo katika utu wa mtu
Unawakumbusha wafanye unavyotaka wewe, si wanavyotaka wao, hapo umewapangia ila huna nguvu ya kuwalazimisha wafanye unavyowapangia.

Hizo habari zako za staha si muhimu kwako.

Na staha ni jambo linaloweza kuwa subjective, unachoona wewe nibstaha si kazima kionekane staha kwa kila mtu.

Kuna mtu atakubaliana nawe na kusema mitandao ya jamii haifai, watu wanapost sana, akasema hata JF tuifunge wewe usipost hapa, wewe kupost hapa ni kukosa staha

Utakubali?
 
Maana ya kumpangia mtu jambo unaielewa!?. Ukishampangia mtu jambo Hana hiari katika kulitekeleza linakuwa ni swala la lazima.

Jamhuri imepanga nauli za daladala kutegemea na unapoenda, na ukipanda kwenye gari hakuna askari wa kukukamata lakin unatoa kiasi kilichowekwa , kwakua Haina uhuru katika kilichopangwa.
Ni ulipe au ushuke kwenye gari ya watu.

Unasemaje nimewapangia!?. Nimetoa maoni yangu ambayo ni ushauri.

Kama ushauri au ukumbusho unaitwa kuwapangia basi kazi ipo, maisha yetu yamejawa kupangiwa Kila siku.

Haina shida kama Kuna mtu atasema mitandao ya kijamii haifai hayo ni maoni yake lakini siwezi kusema ametupangia tufanye anavyotaka bali tutasema hayo ni maoni yake, watakao kubali watakubali watakao kataa watakataa.

Maoni ya mtu hayana uhusiano na kumpangia mtu afanye utakalo. Kila mtu huwaza tofauti.

Usichanganye maoni, mawazo na kupangiwa.
 
Maana ya kumpangia mtu jambo unaielewa!?. Ukishampangia mtu jambo Hana hiari katika kulitekeleza linakuwa ni swala la lazima.

Jamhuri imepanga nauli za daladala kutegemea na unapoenda, na ukipanda kwenye gari hakuna askari wa kukukamata lakin unatoa kiasi kilichowekwa , kwakua Haina uhuru katika kilichopangwa.
Ni ulipe au ushuke kwenye gari ya watu.

Unasemaje nimewapangia!?. Nimetoka maoni yangu ambayo ni ushauri.

Kama ushauri au ukumbusho unaitwa kuwapangia basi kazi ipo, maisha yetu yamejawa kupangiwa Kila siku.
Hapana,

Ukishawaingilia watu waishi hivi wasiishi vile umeshawapangia, sema huna namna ya kulazimisha wafuate ulichowapangia tu.
 
Back
Top Bottom