Kujipost mitandaoni Kila siku napo ni utumwa

kiranga,mmoja kati ya great thinker wa muda wote hapa jf nakukubali mno. Macho hayana pazia mkuu na ni kero kwa wengine mh. Kiranga
Macho hayana pazia haina maana uangalie kila kitu. Ndiyo maana kuna options za ku block vitu usivyotaka kuona usivione.

Hata hapa JF kuna watu wengi nimewablock sioni watakachoandika, lakini sijaona sababu ya kusema wasiandike wanavyotaka, ni uhuru wao.

Kitu kuwa kero kwako haina maana kimuondolee uhuru mwenzako kujinafasi kwenye 18 zake.

Mimi kuna mengi sipendi kuona, lakini siwezi kulalamikia wanaojiposti, kwa sababu napenda wawe na uhuru wa kuposti wanachotaka kuliko nisivyopenda wanachoposti.

Kitu cha msingi kabisa ni kumuachia mtu afanye mambo kwa uhuru wake.

Kwa sababu hata wewe mtu akija na kukukataza ku post JF kwa sababu yeye anaona si sawa, hutapendelea.
 
salute.
 
salute.
 
Hawa watu waachwe

Wajipost wanavyoweza

Afterall ni watu wazima,maamuzi ni yao,who cares?

Nchi hii bana kufatiliana as if kuna mtu kavunja sheria
 
Wanao jipost post hovyo wamefikiwa, Mweeeeeh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Inaintwa psychological social proof mtu anaweka status kama tairi la baiskeli halafu mwanaume.
 
Huwa sifungui status ya mtu whatsap hata iwe ya mke wangu naona kama ni ushamba ila siwezi tu kumwambia
 
Wa mute tuu
 
Atakuwa mama wa kiswahili sio bure, halafu elimu kubwa hakujaaliwa

Bisha
Alitoka bush huko kigoma mlugaluga kaja mjini maisha safi yamenyooka. You can imagine.
Wale ambao walikuwa cheusi mangala lakini sasa hivi cheupe dawa.
 
Mi naonaga aibu nikiona mtu anajipost anaimba imba na anakosea hayo maneno sometimes, na ikiwa ndo mutu ya 30+ nahisi aibu kinyama sijui aibu ya nini wakati hainihusu...... Ila huwa nahisi aibu sana.
Aibu ipi ambayo hunaga??
 
Mitandaon Ni Sehemu ya Entertainment
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…