Bulelaa
JF-Expert Member
- Jun 28, 2024
- 1,342
- 3,247
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!
Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa!
Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui!
Mwanzo wao wa kila jambo la kiuchokozi (Vita) dhidi ya wale ambao..! Kwao huwaita ni makafiri na maadui wao katika Imani, huamsha molari wa mapigano na vita kwa kishindo na jibu la kushinda wakiwa nalo tayari kana kwamba wenzao wamefungwa mikono
Inanipa shida mno kichwani pangu kufahamu ni nini hasa upeo wao juu ya mambo ya vita kwa sababu, wamekuwa ni watu wenye kupenda kuchokoza, ila tu wakipigwa, utaona wakilalamiiika mpaka huruma
Wanapokuwa wakilalamika, pia kunakuwa na maneno ya kiushujaa kuwa, aaah! wale hawatuwezi, tutawaangamiza, tutawagonga, n.k
Hawa ni watu wa aina gani? Ni watu walalamishi na ulalamishi huo upo kwenye damu zao?
Anayekataa kwamba Wapalestine wanakufa kwa wingi ni wao, anayelalamika pia kwamba, Israel imevuka mipaka kwa kufanya mauwaji ya kihalaiki huko Gaza, ni wao vilevile!
Nani ataweza kuwaelewa kwa wepesi hawa wavaa kobazi?
Huko kujitia moyo kwenye magumu na kulalamika pindi wanapolipwa kisasi, kuna walipa chochote ama ndiyo upeo wao wa akili?
YESU OKOA WATU WAKO
Tuendelee kuombea Amani, Dunia na watu wote tuishi kwa Amani, hakuna faida yoyote ya taifa lolote kujigamba kuuwa watu ambao pia wameumbwa na huyo huyo Mungu aliyekuumba wewe
Dunia kuwa na amani kwa watu wote inawezekana
Kataa mauwaji yanayoendelea Gaza na kwingineko kwa kusema,
VITA SASA BASI! PARESTINE WANATAKA KUISHI