Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

Bulelaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2024
Posts
1,342
Reaction score
3,247
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!

Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa!

Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui!

Mwanzo wao wa kila jambo la kiuchokozi (Vita) dhidi ya wale ambao..! Kwao huwaita ni makafiri na maadui wao katika Imani, huamsha molari wa mapigano na vita kwa kishindo na jibu la kushinda wakiwa nalo tayari kana kwamba wenzao wamefungwa mikono

Inanipa shida mno kichwani pangu kufahamu ni nini hasa upeo wao juu ya mambo ya vita kwa sababu, wamekuwa ni watu wenye kupenda kuchokoza, ila tu wakipigwa, utaona wakilalamiiika mpaka huruma

Wanapokuwa wakilalamika, pia kunakuwa na maneno ya kiushujaa kuwa, aaah! wale hawatuwezi, tutawaangamiza, tutawagonga, n.k

Hawa ni watu wa aina gani? Ni watu walalamishi na ulalamishi huo upo kwenye damu zao?

Anayekataa kwamba Wapalestine wanakufa kwa wingi ni wao, anayelalamika pia kwamba, Israel imevuka mipaka kwa kufanya mauwaji ya kihalaiki huko Gaza, ni wao vilevile!

Nani ataweza kuwaelewa kwa wepesi hawa wavaa kobazi?

Huko kujitia moyo kwenye magumu na kulalamika pindi wanapolipwa kisasi, kuna walipa chochote ama ndiyo upeo wao wa akili?

YESU OKOA WATU WAKO

Tuendelee kuombea Amani, Dunia na watu wote tuishi kwa Amani, hakuna faida yoyote ya taifa lolote kujigamba kuuwa watu ambao pia wameumbwa na huyo huyo Mungu aliyekuumba wewe

Dunia kuwa na amani kwa watu wote inawezekana

Kataa mauwaji yanayoendelea Gaza na kwingineko kwa kusema,

VITA SASA BASI! PARESTINE WANATAKA KUISHI
 
Vitu au kitu ukifundishwa tangu ukiwa mtoto na ukawekewa misingi ni ngumu sana kwenda astray ukubwani. At the Childhood unaambiwa Adui yetu ni flan ametufanya tuwe hivi, Anataka izidi kuwa hivi. Then last kick of dying horse inakua ni kufa ni ibada tu😂
 
Kufa (kwa kuvamia na kuuwa wengine) ni ibada! One of the stupidest myths in human history!
 
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!

Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa...
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Unajua we jamaa huwa unakurupuka speed kuongea mkuu.
Pia hueleweki unazungumzia nini!?
*Nani anamlipa kisasi nani?
*Nani kamuanza nani?
*Kwani ugomvi ni wa dini au wa kitaifa!?
*Kwanini watu husema waisrael hawamuwezi mwarabu !?
Hivi ulijiuliza yote haya!?
Basi wacha nikuweke sawa.

*Ugomvi uanoendelea hapo Gaza ulianza AUGUST 23 mwaka jana kwa Israel kuvamia mashamba ya Khan younis na West bank kwa vifaru na kwa kuvunja nyumba za West bank ili kutanua makazi haramu ya Wazayuni.
Kipindi hayo yanafanyika vijana wengi zaidi ya 400 na watu wazima walikamatwa pasi na makosa na kuswekwa magereza ya jeshi ya IDF.

October 7 ndio Hamas wakaalipiza kisasi maana haiwezekani mvamie mashamba ya watu,muue watu na mkamate watu na mvunje nyumba za watu kana kwamba hawana wa kuwatetea.Hivyo mgomvi ni Israel.

*Ugomvi sio wa dini bali wa kitaifa baina ya Wazayuni na waPalestina,na kama haujui huko Jenin kuna makanisa yamevunjwa ili kutanua makazi ya Wazayuni,pia kama haujui kuna wakristo wenzako waanglican wakiarabu walifyatuliwa risasi wakiwa na sniper wakiwa kanisani tena wanawake wawili.

Hapo hapo usisahau kuna makanisa mawili ya kihistoria Gaza yenye miaka zaidi ya 300 yamelipuliwa kimakusudi na Israel soldiers.

Hivyo kijana hiyo sio vita ya kidini UACHE UJINGA WA UDINI.

*IDF badala ya kupigana na Hamas wao wanalipua raia na leo wamelipua raia 100+ wakiwa shule wamelala,tena shule ya UN.

Hiki ndicho watu wanapiga kelele kuwa wapigane na askari wenzao sio kuua raia wasio na hatia.

Mwishowe walilipua hadi France consulate pale Gaza na kumuua France official.Wakaulizwa kulikoni wakajiuma uma kudanganya eti mule kulikua na Hamas.Balozi ya France na Hamas wapi na wapi!??

Usiwe unakurupuka kuongea tu pasi na kuyachunguza mambo.
 
Wana vimistari vyao wanapenda kuvi-quote kuhalalisha kuuwa na kuuliwa! Tatizo la msingi liko hapo.
Unaweza ukaleta ushahidi wa unachoropoka!?
Na suala la Israel na Palestina linaingilianaje na dini!?
Au ushalewa divai ya kanisani mnaodanganyana ndio damu ya yesu!?
 
UN na Nchi za kiarabu zimesababisha mauaji huko Gaza. Ni sawa na NATO walivyochochea vita Ukraine. Israel ameshambuliwa na watu wake kutekwa. Badala ya dunia kuungana kukemea utekaji ule , dunia iliungana na kuwasapoti wapalestina,

UN badala ya kulaani na kushinikiza mateka waachiwe walikaa kimya, Israel akaona ngoja niingie vitani kwa gharama yoyote, hata leo badala ya kuwabana hamas waachie mateka wanailaumu Israel, kwa nchi zetu ukificha jambazi na wewe ni jambazi.

Leo wapalestina wasio na hatia wameanguka, watoto, wanawake na wazee, inauma sana, hamas wanapata faida gani kushikilia mateka wachache huko wapalestina elfu 39 wakiwa wamekufa?

Maelfu wameumia na kushikwa kwenye magereza ya Israel, miundombinu 95% imeharibika, viongozi wa hamas wameuliwa, viongozi wa hezibollah baadhi yao wameuliwa. .
 
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!

Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa...
Huwezi kuwakuta wanaongelea genocide inayofamywa na ndugu zao katika Imaan wa BANGLADESH kwa wahindu.

Hawa jamaa ni watu wa hovyo.mno!
 
Unaweza ukaleta ushahidi wa unachoropoka!?
Na suala la Israel na Palestina linaingilianaje na dini!?
Au ushalewa divai ya kanisani mnaodanganyana ndio damu ya yesu!?
Waisraeli wangekuwa waislamu kusingekuwa na vita eneo lile.Shida ni kwamba kuna hekaya za Waraqa zinaelekeza wasioamini dini ya Haki wauwawe!
 
UN na Nchi za kiarabu zimesababisha mauaji huko Gaza. Ni sawa na NATO walivyochochea vita Ukraine. Israel ameshambuliwa na watu wake kutekwa. Badala ya dunia kuungana kukemea utekaji ulehezibollah baadhi yao wameuliwa. .
USITAKE kupotosha WATU mkuu.

Vurugu chanzo chake sio uvamizi wa Hamas October 7.

Vurugu chanzo chake ni August 23 Wazayuni na jeshi la Israel walivyokua wanavamia mashamba ya wapalestina na kuvunja nyumba zao Jenin.

Dunia ilikaa kimya wakiona unyanyasaji wa Israel juu ya makazi ya Jenin na mashamba ya Khan younis.
Usipotoshe watu NARUDIA USIPOTOSHE WATU.

Ndio maana kwenye mkutano wa Cairo arab summit viongozi wa EU walioalikwa walioneshwa ushahidi wa August na namna Israel inavyowanyanyasa Wapalestina ndio wakaamua kumuunga mkono Palestina badala ya Israel.
Wacheni kupotosha,kama Israel asingeanzisha ukorofi August haya yote yasingetokea.
 
Waisraeli wangekuwa waislamu kusingekuwa na vita eneo lile.Shida ni kwamba kuna hekaya za Waraqa zinaelekeza wasioamini dini ya Haki wauwawe!
Mbona Palestina kuna wakristo na makanisa na watu wanaishi kwa amani?

Na Sherrin Abu Akleh alipouliwa na IDF wapalestina wote waislam kwa wakristo walimzika pasi na ubaguzi.

Sasa sijaelewa dini hapo inaingiaje.
 
Mbona Palestina kuna wakristo na makanisa na watu wanaishi kwa amani!?
Na Sherrin Abu Akleh alipouliwa na IDF wapalestina wote waislam kwa wakristo walimzika pasi na ubaguzi.
Sasa sijaelewa dini hapo inaingiaje.
Ukweli unaujua ila unajifanya kichwa ngumu.Zaidi ya dini ile ardhi ina kitu gani cha maana?
 
Kama ingekuwa tatizo dini mbona Wazayuni wanavunja hadi makanisa?

Mbona wanaua hadi wakristo?

Unasema ardhi ina nini ilhali watu wanataka ardhi yao na nchi yao mkuu?

Hapo hapo Israel anataka kuzuia Palestina isiundwe maana itatishia uwepo wake.
 
Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini!

Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa!

Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui!

Mwanzo wao wa kila jambo la kiuchokozi (Vita) dhidi ya wale ambao..! Kwao huwaita ni makafiri na maadui wao katika Imani, huamsha molari wa mapigano na vita kwa kishindo na jibu la kushinda wakiwa nalo tayari kana kwamba wenzao wamefungwa mikono

Inanipa shida mno kichwani pangu kufahamu ni nini hasa upeo wao juu ya mambo ya vita kwa sababu, wamekuwa ni watu wenye kupenda kuchokoza, ila tu wakipigwa, utaona wakilalamiiika mpaka huruma

Wanapokuwa wakilalamika, pia kunakuwa na maneno ya kiushujaa kuwa, aaah! wale hawatuwezi, tutawaangamiza, tutawagonga, n.k

Hawa ni watu wa aina gani? Ni watu walalamishi na ulalamishi huo upo kwenye damu zao?

Anayekataa kwamba Wapalestine wanakufa kwa wingi ni wao, anayelalamika pia kwamba, Israel imevuka mipaka kwa kufanya mauwaji ya kihalaiki huko Gaza, ni wao vilevile!

Nani ataweza kuwaelewa kwa wepesi hawa wavaa kobazi?

Huko kujitia moyo kwenye magumu na kulalamika pindi wanapolipwa kisasi, kuna walipa chochote ama ndiyo upeo wao wa akili?

YESU OKOA WATU WAKO

Tuendelee kuombea Amani, Dunia na watu wote tuishi kwa Amani, hakuna faida yoyote ya taifa lolote kujigamba kuuwa watu ambao pia wameumbwa na huyo huyo Mungu aliyekuumba wewe

Dunia kuwa na amani kwa watu wote inawezekana

Kataa mauwaji yanayoendelea Gaza na kwingineko kwa kusema,

VITA SASA BASI! PARESTINE WANATAKA KUISHI
Tafuta uzi mmoja humu ndani wa somebody kagame:
Anaandika kuhusu kundi moja la kigaidi na ajenda zao utaona ajenda zote zinajibu maswali yako
 
Waislam wamekatazwa kudhulumu na kudhulumiwa. Wanapopigana kupinga dhulma wanapigana kwa imani. Wakiuwa au wakiuliwa ni washindi. Wana imani, subra na matarajio makubwa. Na ndio maana unashangaa maneno yao na vitendo vyao. Mayahudi wanauwa sana lkn bado wanatapatapa. Maneno tu yanawaumiza. Huwezi kuwafahamu waislam kama sio muislam, na asiyekuwa muislam siku atakayofahamu uislam atasilimu siku hiyo hiyo. Waislam wakipata neema au misiba wanaisabu ni kheri kwao. Hii ni imani huwezi kuelewa na una haki ya kuandika hivi. Haya ni kwa waislam wenye imani si waislam majina.
 
Kuna uislamu mwingine tofauti na huu tunaofahamu? Kwa mtu ambaye si muislamu akiufahamu kiundani ataogopa hata kushirikiana na mtu anayeamini katika hiyo imani.
Baada ya kufuatilia mgogoro wa huko mashariki ya kati nimejifunza kwamba kuiga tamaduni za watu bila kuzijua kiundani ni hatari sana. Mungu anisamehe ila itamaduni wa waarabu mnaouita uislamu ni moja ya utamaduni hatari sana kwa uhai wa binadamu. Tuachane na misimamo mikali ya dini, maisha ya hapa duniani ni mafupi sana hayafai kuyaharibu kisa misimamo ambayo haijawahi kuwa na manufaa kwa jamii yoyote.

Hivi unaweza kunambia moja ya taifa ambalo limejengwa kupitia Jihad na lina maendeleo.

NB: Kuna msemo unasema anayekwambia kuna maisha mazuri mbinguni yeye anayaishi hapa duniani.
 
Back
Top Bottom