Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!