Kulanina mwenyewe ahahaWatu mna majibu ya hovyo sana Kulanina 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulanina mwenyewe ahahaWatu mna majibu ya hovyo sana Kulanina 😂
Nini hicho usichokubali?Haikubaliki!
NakunukuuHapo lugha chafu Iko wapi bro?
Kwa mtazamo wako ulitaka hiyo kazi aifanye nani kati ya wafanyakazi wote walioajiriwa na serikali? Au walimu?Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Ni kweli hata mtu mwenye akili ya wastani kebehi ya hoja ya msingi kuwa vipaumbele vyetu katika matumizi ya kodi ya wananchi havijakaa sawa inavumiliwa Tanzania tu na huu ujinga ni wa kutengenezwa siyo wa kuzaliwa nao!Kuna vitu mtu wa nje ukimwambia ataona unamdanganya, ila ndio Hali Halisi ya Tz.
KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.Ni sehemu ya kazi mkuu....Kama kushika tope unaona ni fedheha ,je kukamata Bomu na kuua watu ni sawa? Ni kazi za wito kama udaktari na unesi.
Kuna siku aliwahi kuleta mada eti nanihi yake imetanuka sana!Ni gaidi la mitandaoni.
Posti zake zote ni kuponda, kusengenya, kuzodoa na kukashifu.
Mamako angekuwa ndio anatafutwa kazama humo kwenye tope ungeleta hoja ya ki uharo namna hii?Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.
Haya ndo madhara ya Vijana kutoenda walau JKT!Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Tatizo uliishia elimu ya madrasa ambayo haifundishi kuwa waangalifu wakati wa kuosha maiti.Mamako angekuwa ndio anatafutwa kazama humo kwenye tope ungeleta hoja ya ki uharo namna hii?
Kwahiyo hapo anaosha maiti?Tatizo uliishia elimu ya madrasa ambayo haifundishi kuwa waangalifu wakati wa kuosha maiti.
Huyu alipoonda camera ndipo akafanya hivyo. Namjua huyo kamanda anapenda sana kikiNafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Kwahiyo unakubaliana na mwanajeshi kushikishwa tope kwa mikono? Anyway! Wanajeshi wenyewe hawajielewi ndo maana walibebeshwa hata magunia ya koroshoKwa mtazamo wako ulitaka hiyo kazi aifanye nani kati ya wafanyakazi wote walioajiriwa na serikali? Au walimu?
Jeshi ni kukamatishwa kinyesi kwa mikono?? Kama siyo mibange kichwani basi you are brainwashed.Haya ndo madhara ya Vijana kutoenda walau JKT!
Huo mtizamo wako ni wa Kiraia sana!!
Ni layman per se!
Jeshi ni kitu kingine kabisa we lala tu izo mambo achana nazo kabisa!!
Basi siyo mzima huyu mjeshi.Huyu alipoona camera ndipo akafanya hivyo. Namjua huyo kamanda anapenda sana kiki
Mtoto wa kiume analia kumuona mwanajeshe akishika tope.big up sana kwa zile wale wazibua vyoo wote!Nafahamu mwanajeshi ameapa kufa kwa ajili ya kulinda taifa lake.
Lakn kamwe hakuapa kuwa hata kinyesi atakishika kwa mikono. Hakuapa kuwa hata mkojo atauzoa kwa mdomo.
Hakuapa kuwa kwenye shughuli za uokoaji atatumia mikono yake kutafuta maiti kwenye tope.
Serikali imenunua magari 270 ya kisiasa na kuwakabidhi polisi kama sehemu ya maandalizi ya uchaguzi mwakani na 2025. Magari haya ni ya gharama kubwa na yana speed ya 270km/h.
Serikali pia Imenunua magari ya kurusha maji ya washawasha na kuipatia kila kila wilaya ili kupambana na wapinzani kirahisi.
Kwa mantiki hiyo serikali ya ccm inajali zaidi uchaguzi na kupambana na maandamano ya wapinzani kuliko kuwekeza ktk zana na vifaa vya uokozi wakati wa majanga.
Ili kufunika pengo hilo ndiyo inaamua kuwatweza watoto wetu, wadogo zetu, dada/kaka zetu , baba/mama zetu walioamua kujiunga jeshi kwa kuwashikisha tope kwa mikono.
Haikubaliki!
View attachment 2835681
Hivi mishahara kule wanalipaje LakiniKAZI ya jeshi waachie wenyewe.sw