Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

Hapo lugha chafu Iko wapi bro?
Nakunukuu
"Vijana kazini hapo, we unaongea kwasababu uraiani, unavuna chupi unalala unatanua miguu basi.

Lakini ikizuka vita, ndo utajua hujui Mbwa wee!'

Kusema unavua chupi unalala unatanua miguu...
Wanaume sijui kama wanavaaga chupi sikuizi☺️😊

Pia kuita binadamu mwenzako Mbwa ni hayo tu ndugu...

All in all,

Peace & Love

✌️✌️✌️✌️
 
Kwa mtazamo wako ulitaka hiyo kazi aifanye nani kati ya wafanyakazi wote walioajiriwa na serikali? Au walimu?
 
Kuna vitu mtu wa nje ukimwambia ataona unamdanganya, ila ndio Hali Halisi ya Tz.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
Ni kweli hata mtu mwenye akili ya wastani kebehi ya hoja ya msingi kuwa vipaumbele vyetu katika matumizi ya kodi ya wananchi havijakaa sawa inavumiliwa Tanzania tu na huu ujinga ni wa kutengenezwa siyo wa kuzaliwa nao!
 
Ni sehemu ya kazi mkuu....Kama kushika tope unaona ni fedheha ,je kukamata Bomu na kuua watu ni sawa? Ni kazi za wito kama udaktari na unesi.
Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.
 
Ni gaidi la mitandaoni.

Posti zake zote ni kuponda, kusengenya, kuzodoa na kukashifu.
Kuna siku aliwahi kuleta mada eti nanihi yake imetanuka sana!

Siku nyingine kaweka mada eti anamuwekeaga masharti mwanaume wake

Yani asipotimiza anammwaga.

Ni kama tomboy hivi hili jitu
 
Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.
Mamako angekuwa ndio anatafutwa kazama humo kwenye tope ungeleta hoja ya ki uharo namna hii?
 
Haya ndo madhara ya Vijana kutoenda walau JKT!

Huo mtizamo wako ni wa Kiraia sana!!

Ni layman per se!

Jeshi ni kitu kingine kabisa we lala tu izo mambo achana nazo kabisa!!
 
Mamako angekuwa ndio anatafutwa kazama humo kwenye tope ungeleta hoja ya ki uharo namna hii?
Tatizo uliishia elimu ya madrasa ambayo haifundishi kuwa waangalifu wakati wa kuosha maiti.
 
Tatizo uliishia elimu ya madrasa ambayo haifundishi kuwa waangalifu wakati wa kuosha maiti.
Kwahiyo hapo anaosha maiti?

Narudia tena, angekuwa mamako huyo ndio yumo humo kwenye tope ungeleta hii elimu yako ya uingereza?
 
Huyu alipoonda camera ndipo akafanya hivyo. Namjua huyo kamanda anapenda sana kiki
 
Kwa mtazamo wako ulitaka hiyo kazi aifanye nani kati ya wafanyakazi wote walioajiriwa na serikali? Au walimu?
Kwahiyo unakubaliana na mwanajeshi kushikishwa tope kwa mikono? Anyway! Wanajeshi wenyewe hawajielewi ndo maana walibebeshwa hata magunia ya korosho
 
Haya ndo madhara ya Vijana kutoenda walau JKT!

Huo mtizamo wako ni wa Kiraia sana!!

Ni layman per se!

Jeshi ni kitu kingine kabisa we lala tu izo mambo achana nazo kabisa!!
Jeshi ni kukamatishwa kinyesi kwa mikono?? Kama siyo mibange kichwani basi you are brainwashed.
 
Mtoto wa kiume analia kumuona mwanajeshe akishika tope.big up sana kwa zile wale wazibua vyoo wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…