Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

Aanze na manesi wa ICU
 
Dah!
 
Ni wazi kuwa wewe hujaenda jando na kama ni hivo hijatahiriwa. Ni wazi wewe siyo Polisi hata JKT hujapita. Bora ukae kimya huna uzalendo wowote wewe ni msaliti sawa nazwanaosaidia mabeberu kuiba makanikia yetu na kukamata ndege yetu. Ni sheer riff-raff on the fringes of our society. Tazama ramani utaona Nji nzuri yenye mito na mabonde mengi ya nafaka.
 
Ni wazi wewe siyo Polisi hata JKT hujapita. Bora ukae kimya huna uzalendo wowote wewe
Msihatarishe maishe ya ndugu zetu askari kwa mwavuli wa uzalendo uchwara. Mbona mnanunua maV8 na magari ya washawasha badala ya vifaa vya uokozi??
 
Unaongea ujinga , mafunzo ya kijeshi siyo y veta
 
Unaongea ujinga , mafunzo ya kijeshi siyo y veta
Mafunzo ya jeshi ni namna ya kutumia vifaa vya kivita, siyo kubeba tope kwa mikono. Amka wewe.

Unajeshi siyo utaahira wa kuchezea matope kwa mikono. Zana zitumike.
 
Hao wanapita hata kwenye mashimo ya choo ilimradi afike anapotakiwa kufika. Kama anataka aibukie ndani kwako na kwenye chemba **** upenyo unaweza shtuka huyu hapa kajaa kinyesi ila kakufikia.
 
Ujinga uliopita kiasi. Mwanajeshi kufanya kazi kwenye eneo la maafa kumbe ni kufanya kazi ya kutweza? Wewe inaelekea jkt au hata mgambo hukupitia. Kuwa mwanajeshi ni ultimate end of self sacrifice kwa lengo la kuwalinda/kuwakinga wengine. Wewe unayeona kufanya hiyo kazi ni kutweza, basi endelea kuwa hapa jf ukipiga porojo.
 
Kutetea ccm wabaki madarakani kwa shuruti. Halafu utakuta wanajeshi wanawatetemekea wanasiasa wa ccm vibaya sana.
Mwalimu Tindo ushajisajiri kwenye ESS? Sitaki ukose mshahara mwezi wa kumi na mbili halafu uanze kulalamika Serikali ya CCM mbaya. Ya Askari waachie wenyewe. Hao hawana ESS.
 
Ingekuwa ni wewe au ndugu yako amekwsma kwenye hilo tope usingeandika huu utopolo badala yake ungemsifu kwa kuokoa
 
Mwanajeshi kufanya kazi kwenye eneo la maafa kumbe ni kufanya kazi ya kutweza?
Anafanya kazi ipi na kwa kutumia zana zipi? Anabebwshwa magunia ya korosho begani? Anazoa tope kwa mikono? Halafu viongozi wa ccm wananunuliana maV8?

Amka wewe, uanajeshi siyo kuzoa tope kwa mikono
 
Ingekuwa ni wewe au ndugu yako amekwsma kwenye hilo tope usingeandika huu utopolo badala yake ungemsifu kwa kuokoa
Hawajaokoa hata mtu mmoja. Wameepoa maiti tu. Sijui unaelewa tofauti ya kuokoa na kuopoa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…