Kujiunga jeshi isiwe sababu ya kufanya kazi za kutweza utu. Anachofanya mwanajeshi huyu ninaamini hata yeye hakipendi

Ndo maana ukijipitisha anga zao wanakupa kitu inauma halafu hawachukuliwi hatua.
 
Yaani jeshini unataka unatenate kama unaenda kugegedwa? Ng'ombe wewe!
 
Rafiki, Afrika ukiwa mwanajeshi hakuna kazi itakushinda kufanya (hakuna kitu kinaitwa shurba)... ni Obey without questioning...

Ndiyo maana wanaenda class 7 na form four f.....πŸ˜„πŸ˜„ kwa wingi..
Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!
 
Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!
Uko sahihi mkuu, lakini kwa elimu ya bongo hakuna tofauti kati ya standard 7 na PhD.
 
Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!
Kamisheni takataka tu. Labda ni za kuzolea tope kwa mikono.
 
Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.

Kwenye uokoaji ,Safety First ,sasa sijajua kama huyo msoja alipata elimu kuhusu uokoaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…