Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,013
- 3,406
Ni gaidi la mitandaoni.
Posti zake zote ni kuponda, kusengenya, kuzodoa na kukashifu.
Atoke mitandaoni aingie mtaani live aonekane ijulikane moja
Hatoamini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni gaidi la mitandaoni.
Posti zake zote ni kuponda, kusengenya, kuzodoa na kukashifu.
Jamaa ameongea kingese sana. Ni ujinga wa ajabu sana uliojaa huko chadema.Kiukweli kabisa mkuu umepuyanga
Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!Rafiki, Afrika ukiwa mwanajeshi hakuna kazi itakushinda kufanya (hakuna kitu kinaitwa shurba)... ni Obey without questioning...
Ndiyo maana wanaenda class 7 na form four f.....😄😄 kwa wingi..
nashkuru sana bibie ila nikuulize ungependa nani aingie kwenye hayo matope???Kama hunywi bangi basi unaumwa
Uko sahihi mkuu, lakini kwa elimu ya bongo hakuna tofauti kati ya standard 7 na PhD.Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!
Wale waliokwenda na maVXR ya umma.nashkuru sana bibie ila nikuulize ungependa nani aingie kwenye hayo matope???
Wao wanalinda raia na mali zao.Sija waona FFU na police waki shiriki
Umenikumbusha Kato wa Kawe,akijipitisha mbele ya mjeda,jamaa akamlamba kibao,dogo akam....Ndo maana ukijipitisha anga zao wanakupa kitu inauma halafu hawachukuliwi hatua.
Mitambo na mashine maalumu kwa kazi hiyonashkuru sana bibie ila nikuulize ungependa nani aingie kwenye hayo matope???
Kamisheni takataka tu. Labda ni za kuzolea tope kwa mikono.Juzi mamia ya vijana wamepata kamisheni! Unafikri hao ni std 7? Ndiyo maana mapinzani ya TZ tunaitwa mapopoma!
Kamisheni takataka tu. Labda ni za kuzolea tope kwa mikono.
Mwendo wa Kizimkazi??Sawa hamna shida, gusa unate, wanaokutuma wanajua mwendo wake
Mwendo wa Kizimkazi??
king kong iii😛😛😛Ni sehemu ya kazi mkuu....Kama kushika tope unaona ni fedheha ,je kukamata Bomu na kuua watu ni sawa? Ni kazi za wito kama udaktari na unesi.
Kwenye hilo tope kuna vijidudu jinavyoweza kumsababishia yeye maradhi na kumwezesha kuambukiza wengine hivyo kusababisha janga jingine ambalo linaweza kusitisha uokoaji.