Kujiuzulu kwa Ndugai: Hongereni CHADEMA na NCCR japo haikutosha

bila kumtoa Ndugai ni ngumu kufanikiwa
 

Hivi hata unafahamu kuwa:

1. Kosa moja au zaidi hakuhalalishi kosa jingine, wala kosa moja (au hata zaidi hakuharamishi lolote lilo halali?

2. Kwamba kuwa Ndugai alifanya ukiukwaji mkubwa wa haki, hilo wala halina ubishi. Ila angewajibishwa kwa hayo si kwa hili la kutoa maoni?

Kwamba: "Ndugai mnyongeni ila kutoa maoni ilikuwa haki yake."

Zaidi sana ninakusoma hapa:



Wapi uliwahi kumkemea Ndugai ewe chawa mbobezi wa Mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…