Kujiuzulu kwenye ajira ni haki kikatiba, mwanasheria mkuu wa serikali acha siasa.

Kitendo cha kumfukuza kazi mfanyakazi anayejiuzulu kwenye ajira ni uswahili. Mhe. Nchimbi apewe haki yake kwenye ajira ya serikali badala ya kuendeshwa na kanuni za CCM.
 
Attachments

  • E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    E2J15v45XLSQdTMG.jpeg
    58 KB · Views: 7
Serikali iache lkufukuza kazi mtu ambaye haijui kosa lake kiutendajil kama inavyomfanyia mhe. Nchimbi, Nchimbi hajafanya kosa lolote kiutendaji, yeye atajiuzulu tarehe 04/09/2026 lakini katika hali ya uswahili eti serikali imemfukuza kazi na kuteua mtu mwingine ashike nafasi yake kuanzia sasa! Kitendo hiki kinafanywa kinyume na katiba na miongozo ya ajira ambayo inatoa haki ya mtumishi kujiuzuru utumishi bila kutenda kosa la kiutumishi, mhe. Nchimbi hakuajiriwa na CCM na hajafanya kosa lolote ĺililohalarisha CCM kumfukuza uanachama bila kusikilizwa nayo serikali inamfukuza kazi bila kutaja kosa lake kiajira hivyo haikuona sababu ya kumsikiliza!
MHE. NCHIMBI APEWE HAKI YAKE HAJAFANYA KOSA LA KUMFUKUZA KAZI.
 
Nchi ilishakufa mkuu, ni kama akili zimepigwa ganzi za watz wote na tumepoteza ufahamu kabisa jamii nzima
 
Back
Top Bottom