Kukaa Kijijini ni kufeli maisha

Huku kusini nilipo sasa watu wanapiga pesa za ufuta ,hapa nangoja mwezi wa 5 &6 niingie mzigoni ..

Madogo wanatembea pesa nyingi sana ,watu wanacheza na msimu tu.
True jambo ambalo huwa linaonekana watu wa vijijini wapo broke ni kukosa financial Education

Nilimsikia hata Samiah akisema hivyo kuwa Financial education ndo inawasumbua vijana wanaopiga pesa za msimu.

Na hii ukija huku mjini Unaweza kuonekana unapiga hatua kea sababu hicho kidogo unakiwekea bajeti nzuri.

Ila interm of earning money hata kijijini waweza pata pesa tu
 
upotoshaji πŸ’

kwahiyo huko mjini, stress za kukosa ajira na kuota mvi, huku hujaoa, huna plot, huna mtoto hata wa kusingiziwa tu, huna mchumba, nguvu za kijinsia zinalegalega, huna hela ya kodi , umri umesonga n.k ndio kukua kiakili?πŸ’

wadogo zako mlosoma pamoja ulowacha waloishia darasa la 7, huku kijijini wameo, wana watoto wa kutosha, wana mijumba ya maana, wana miliki matrekta na magari, matoyo au bodaboda kama zote, wanakopsha watumishi, wana mashamba mamia ya hekta nk. huko ndio kudumaa akili?πŸ’


msione aibu rudini nyumbani , still you can make itπŸ’
 
Unakaa mjini halaf unakaa sehem ka mbagala au gongo la mboto au kigambon shida tupu kuanzia usafir mpk maisha unapanga chumba kimoja kwa tabu halaf kijijin watu wanaishi maisha mazur tu bora nn ss
 
NI vzr kupata exposure ya mazingira tofauti tofauti kila sehem ina fursa zake na inawezekana ukawa na base sehem zote ili ku alternate/ diversify resources zako.
 
Kwa taarifa yako labda uzungumzie mtu binafsi mwenye mgando wa mawazo, lakini kijijini watu wanapiga hela na Wana mafanikio kuliko wewe uliyeandika Uzi huu... Nenda kule Kijiji Cha Mang'ola wilayani Karatu uone kua ulicho andika ni upuuzi, simaanishi kua yote uliyo sema ni upuuzi ila kumaanisha kua kukaa kijijini ni kushindwa maisha hiyo ndo upuuzi, shamba Lina pesa kuliko kitu chochote hapa nchini ukiachana na kulitumia shamba kama kupata madini ambayo kimsingi mzungu ndo anachota, lakini ktk maisha yetu, Kijiji kinaweza kukutoa zaidi ya hizi blaablaa za mjini

Imagine mjini unapopasifia, watu wamejaa vijiweni na hawana kila kitu, mifumo ya upataji pesa imegeuka kua ni ujanja ujanja tu kwa karibu 85%ya waTanzania waishio mjini, lakini kwa walio Vijijini wako wazi ktk upataji pesa kwao, labda tu mtu akose vyanzo, mjini kumejaa vijana mateja, wavuta bangi, waropokaji wa matusi hovyo vijiweni, mchana kutwa wanaongelea Simba na Yanga na wanarudi nyumbani hawana pesa Wala akili yoyote ya nini wafanye kujikwamua kimaisha, kiufupi kijijini ndiko kwenye neema.
 
Ndiyo maana mkifa maiti zenu zikiletwa huku vijijini kuzikwa, hua tunakataa kuchimba kaburi mpaka ndugu zenu watulipe maana mnadharau sana baadhi yenu.

Yaani umeamua kutuanzishia uzi kutusimanga kisa vipesa kidogo tu vya udalali ulivyoshika hapo mjini.
 
😁😁😁 hakika inafikirisha sana
 
Nnachofahamu tatizo kubwa la vijijini ni kutokuwa na shughuli zakufanya mtu aingize pesa mwaka mzima, lakini wapo wanaojiongeza na kufanya vizuri, mfano mtu analima mazao yakuvuna kila baada ya miezi mi3 bado anafuga mfano nguruwe anauhakika wa kuzalisha na kuuza mifugo kila baada ya miezi mi4, kwaiyo kiujumla inategemea mtu binafsi, lakini kwa ambae hana mtaji bora awe mazngira ya kuingiza hela kila siku kwenye mishemishe halafu akipata mtaji ambao hata akiingiza hela shamban ataweza kuish vzuri tu anavyosubiri mavuno, mwisho wa siku maisha ni popote ndiomaana kuna watu wa hali zote mijini na vijijini.
 
Vijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Vipi wale ambao hawawezi kalima?
 
Vipi wale ambao hawawezi kulima?
 
Kwa nchi masikini kama hii million 50 nyingi sana kwa watu walio wengi
 
Basi Leo wanakijiji mtamfokea mleta mada😁😁😁😁😁😁😁ila na Mimi naunga mkono hoja kukaa Kijijini aiseee HAPANA....Kuna upweke sanaπŸ™„
Kijijini ni kwa wazee zaidi, wastaafu na pia wakulima na wafugaji.
 
Hakuna biashara kijijn tuache kuzunguka , soko Lao kubwa wanategemea mjin,,
Kijijn NI sehemu fulan ya kupata mtaji ukipata mtaji sehemu ya kukuza mtaji wako ni mjini Tu ,

Kijijn Fanya kilimo na ufugaj ila uwe unatokea mjin,
Sahihi
 
Sahihi
 
Jarib kukaa unazan kuna kilimo siku hizi bila mtaji kila kitu kinahitaji pesa bro
Unawashauri wote waje mjini. Tupe mbinu sasa kwamba baada ya watu kutoka vijijini, utatoa wapi vibarua wa kukulimia ama kufanya kazi shambani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…