Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True jambo ambalo huwa linaonekana watu wa vijijini wapo broke ni kukosa financial EducationHuku kusini nilipo sasa watu wanapiga pesa za ufuta ,hapa nangoja mwezi wa 5 &6 niingie mzigoni ..
Madogo wanatembea pesa nyingi sana ,watu wanacheza na msimu tu.
upotoshaji 🐒Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
Cha kwanza.... KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI.
Kijijini watu wengi hawaamin kuish ndoto zao na wanaamin kila aliyefanikiwa ni mchawi, freemason,jambazi.. na kila ukijaribu kufanya kitu tofaut na mila za hapo kijijin. Wengi hawaamin unaweza kufanikiwa watakukatisha sana tamaaa
2.KUDUMAA AKILI NA KULIZIKA MAPEMA.
kijijni ukimilki pikpik tu wanaanza kukuita boss kitu ambacho kinalufanya ujionee umefanikiwa na kulizika mapema.
Pia hata mazingira hayaruhusu mtu ukue kiuchumi unakosa sehem ya kutizamia au role model tofaut na mjin
3.MZUNGUKO WA PESA NI MDOGO SANA
Kijjn ni rahis sana kuuwa pesa ukifungua biashara kutokana na mzunguko. Pesa huja mara moja tu wakat wa mavuno na kuna baazi ya biashara kama nguo baazi ya wanakijij huwa na dhana kwamba kununua nguo mpka sikukuu au safari. Na ukinunua nguo bila kuzingatia hivo vitu husema unaharibu pesa au unatumia pesa ovyo
5.KUKOSA NDOTO ZOZOTE
kijijin mtu akiamka asubuh anaenda shamba na akirud shamb anawaza aoge akae kijiweni apige stori bas siku imeisha. Na kubishana na vitu visivokuwa na msingi na kupiga umbea
Kiufupi yapo mengi yanayomzuia mtu kukua na kuwa na mtazamo chanya ila kwa machache ndo hayo
NB.ushauri wangu kama unajitafuta kimaisha usikae kijijini sana ni bora uanze na level za wilaya
ILA KUKAA VIJIJINI VIJANA WENZANGU NI KUFELI KIJIJINI HAKUNA MAENDELEO NA NDO MAANA HAKUNA AFSA BIASHARA WALA MASOKO
KIJIJINI SHUGHULI KUBWA NI KILIMO NA NDO MAANA KUNA AFSA KILIMO
kama una maoni unaweza ukashare ila mi kwa mtazamo wangu upo hivyo
Kwa taarifa yako labda uzungumzie mtu binafsi mwenye mgando wa mawazo, lakini kijijini watu wanapiga hela na Wana mafanikio kuliko wewe uliyeandika Uzi huu... Nenda kule Kijiji Cha Mang'ola wilayani Karatu uone kua ulicho andika ni upuuzi, simaanishi kua yote uliyo sema ni upuuzi ila kumaanisha kua kukaa kijijini ni kushindwa maisha hiyo ndo upuuzi, shamba Lina pesa kuliko kitu chochote hapa nchini ukiachana na kulitumia shamba kama kupata madini ambayo kimsingi mzungu ndo anachota, lakini ktk maisha yetu, Kijiji kinaweza kukutoa zaidi ya hizi blaablaa za mjiniHabari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI.
Kijijini watu wengi hawaamin kuish ndoto zao na wanaamin kila aliyefanikiwa ni mchawi, freemason,jambazi.. na kila ukijaribu kufanya kitu tofaut na mila za hapo kijijin. Wengi hawaamin unaweza kufanikiwa watakukatisha sana tamaaa
2. KUDUMAA AKILI NA KULIZIKA MAPEMA.
Kijijni ukimilki pikpik tu wanaanza kukuita boss kitu ambacho kinalufanya ujionee umefanikiwa na kulizika mapema.
Pia hata mazingira hayaruhusu mtu ukue kiuchumi unakosa sehem ya kutizamia au role model tofaut na mjin
3. MZUNGUKO WA PESA NI MDOGO SANA
Kijijni ni rahis sana kuuwa pesa ukifungua biashara kutokana na mzunguko. Pesa huja mara moja tu wakat wa mavuno na kuna baazi ya biashara kama nguo baazi ya wanakijij huwa na dhana kwamba kununua nguo mpka sikukuu au safari. Na ukinunua nguo bila kuzingatia hivo vitu husema unaharibu pesa au unatumia pesa ovyo
4. KUKOSA NDOTO ZOZOTE
Kijijini mtu akiamka asubuh anaenda shamba na akirud shamb anawaza aoge akae kijiweni apige stori bas siku imeisha. Na kubishana na vitu visivokuwa na msingi na kupiga umbea
Kiufupi yapo mengi yanayomzuia mtu kukua na kuwa na mtazamo chanya ila kwa machache ndo hayo
NB. Ushauri wangu kama unajitafuta kimaisha usikae kijijini sana ni bora uanze na level za wilaya
ILA KUKAA VIJIJINI VIJANA WENZANGU NI KUFELI KIJIJINI HAKUNA MAENDELEO NA NDO MAANA HAKUNA AFSA BIASHARA WALA MASOKO
KIJIJINI SHUGHULI KUBWA NI KILIMO NA NDO MAANA KUNA AFSA KILIMO
Kama una maoni unaweza ukashare ila mi kwa mtazamo wangu upo hivyo
😁😁😁 hakika inafikirisha sanaNdiyo maana mkifa maiti zenu zikiletwa huku vijijini kuzikwa, hua tunakataa kuchimba kaburi mpaka ndugu zenu watulipe maana mnadharau sana baadhi yenu.
Yaani umeamua kutuanzishia uzi kutusimanga kisa vipesa kidogo tu vya udalali ulivyoshika hapo mjini.
Wewe ongelea kijiji chenu cha kishamba hakina issue. Hata mjini kuna wajinga vilevile.Mi nimeish kijijn na sas nipo town nayajua maisha kijijjn tusibishane hap
Vipi wale ambao hawawezi kalima?Vijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Vipi wale ambao hawawezi kulima?Nnachofahamu tatizo kubwa la vijijini ni kutokuwa na shughuli zakufanya mtu aingize pesa mwaka mzima, lakini wapo wanaojiongeza na kufanya vizuri, mfano mtu analima mazao yakuvuna kila baada ya miezi mi3 bado anafuga mfano nguruwe anauhakika wa kuzalisha na kuuza mifugo kila baada ya miezi mi4, kwaiyo kiujumla inategemea mtu binafsi, lakini kwa ambae hana mtaji bora awe mazngira ya kuingiza hela kila siku kwenye mishemishe halafu akipata mtaji ambao hata akiingiza hela shamban ataweza kuish vzuri tu anavyosubiri mavuno, mwisho wa siku maisha ni popote ndiomaana kuna watu wa hali zote mijini na vijijini.
Kwa nchi masikini kama hii million 50 nyingi sana kwa watu walio wengiSasa milion 50 ndio kapiga pesa hapo?
Mjini itabaki kuwa mjin tu na ndio maana ma viwanda , ma kampuni na kila aina ya huduma bora zipo town
Milion 50 mpaka auze mpunga wakati mjin mafogo wanazipiga kila leo
Na ndio maana akina manji, bakhresa na kina Mo wengi wapo mjin
Kijijini ni kwa wazee zaidi, wastaafu na pia wakulima na wafugaji.Basi Leo wanakijiji mtamfokea mleta mada😁😁😁😁😁😁😁ila na Mimi naunga mkono hoja kukaa Kijijini aiseee HAPANA....Kuna upweke sana🙄
SahihiHakuna biashara kijijn tuache kuzunguka , soko Lao kubwa wanategemea mjin,,
Kijijn NI sehemu fulan ya kupata mtaji ukipata mtaji sehemu ya kukuza mtaji wako ni mjini Tu ,
Kijijn Fanya kilimo na ufugaj ila uwe unatokea mjin,
SahihiUnasema kweli mkuu. Mimi tangu nimalize chuo nimekaa kijijini miaka mitano, kukaa huku ni kupoteza muda na nguvu. Japo kwa miaka hii nimepata kamtaji lazima mwaka huu nitimkie town. Kijijin watu wanalogana na kukwamishana sana. Pia wanalizika mapema sana, kijana ananunua ngombe mbili au tano anaanza kutamba amefanikiwa, hzo ngombe tano zimemchukua miaka minne na zaidi kuzinunua.
Nikweli pia watu wanalima sana, hapa nilipo kuna jamaa wanne vijana wanalima mpunga hawakosi gunia mia kila mwaka, niwachache hao na wanamashamba mengi, kulima ekari kumi kuna hitaji gharama kubwa kuanzia kukodi, kulima mpaka kuvuna. Watu wengi hawana mashamba. Kingine watu kijijin wanajadiliana sana. Mi naona bora kukaa mjini halaf tafuta mashamba kijijin lima, muda wa kilimo piga kilomo kijijin kaa mjini.
Unawashauri wote waje mjini. Tupe mbinu sasa kwamba baada ya watu kutoka vijijini, utatoa wapi vibarua wa kukulimia ama kufanya kazi shambaniJarib kukaa unazan kuna kilimo siku hizi bila mtaji kila kitu kinahitaji pesa bro