atlas copco
JF-Expert Member
- Jun 15, 2015
- 8,497
- 9,728
Kijijini pia kuna matajiri tena mabilionea wamepatia mali kijijini mmojawapo ni bilionea Laizer mwanakijiji mchimba madini kijijiniKuna ukweli, mjini kama huna hela sio pakukaa.
HakikaVijana wanalima wanapiga pesa kijijini na wanajenga wananunua ndamA wanawaboresha ukikaa mjini bila mtaji au kazi utaishia kuvaa na kumiliki simu
Wapo wengi wenye uchumi mzuri tu huko vijijiniKijijini pia kuna matajiri tena mabilionea wamepatia mali kijijini mmojawapo ni bilionea Laizer mwanakijiji mchimba madini kijijini
Unamfananisha mtu wa Mbagala na kijijini , Jitathmini mkuu , Mjini ni Mjinj tu,Kijijini unatakiwa kwenda kuangalia Fursa na sio kuishiUnakaa mjini halaf unakaa sehem ka mbagala au gongo la mboto au kigambon shida tupu kuanzia usafir mpk maisha unapanga chumba kimoja kwa tabu halaf kijijin watu wanaishi maisha mazur tu bora nn ss
Daaah sa nikizeeka ndio nikakae Kijijini?🤔 hospital mbali,bank mbali, shopping mpaka uende wilayani daaah kichwa kinaumaKijijini ni kwa wazee zaidi, wastaafu na pia wakulima na wafugaji.
Mkuu siyo vijiji vyote vipo kama vya huko kwenu, Jaribu kutembea uone. Kuna vijiji vina mazingira mazuri na fursa piaWe acha tu ukiamka asubuh kila utembeapo unapishana na miembe na nyumb za nyasi tu
Inategemea unatokea kijiji gani? Nimeishi Mara kipindi hicho Nyamongo na Nyamwaga ni kijijini. Lakin palikuwa na Baadhi ya watu wewe wa Buzuruga, Sanawari,Majengo na Tabata wala humsogelei hata kidogo.Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI
Kijijini watu wengi hawaamin kuish ndoto zao na wanaamin kila aliyefanikiwa ni mchawi, freemason,jambazi.. na kila ukijaribu kufanya kitu tofaut na mila za hapo kijijin. Wengi hawaamin unaweza kufanikiwa watakukatisha sana tamaaa
2. KUDUMAA AKILI NA KULIZIKA MAPEMA
Kijijni ukimilki pikpik tu wanaanza kukuita boss kitu ambacho kinalufanya ujionee umefanikiwa na kulizika mapema. Pia hata mazingira hayaruhusu mtu ukue kiuchumi unakosa sehem ya kutizamia au role model tofaut na mjin
3. MZUNGUKO WA PESA NI MDOGO SANA
Kijijni ni rahis sana kuuwa pesa ukifungua biashara kutokana na mzunguko. Pesa huja mara moja tu wakat wa mavuno na kuna baazi ya biashara kama nguo baazi ya wanakijij huwa na dhana kwamba kununua nguo mpka sikukuu au safari. Na ukinunua nguo bila kuzingatia hivo vitu husema unaharibu pesa au unatumia pesa ovyo.
4. KUKOSA NDOTO ZOZOTE
Kijijini mtu akiamka asubuh anaenda shamba na akirud shamb anawaza aoge akae kijiweni apige stori bas siku imeisha. Na kubishana na vitu visivokuwa na msingi na kupiga umbea.
Kiufupi yapo mengi yanayomzuia mtu kukua na kuwa na mtazamo chanya ila kwa machache ndo hayo
NB. Ushauri wangu kama unajitafuta kimaisha usikae kijijini sana ni bora uanze na level za wilaya
ILA KUKAA VIJIJINI VIJANA WENZANGU NI KUFELI KIJIJINI HAKUNA MAENDELEO NA NDO MAANA HAKUNA AFSA BIASHARA WALA MASOKO
KIJIJINI SHUGHULI KUBWA NI KILIMO NA NDO MAANA KUNA AFSA KILIMO
Kama una maoni unaweza ukashare ila mi kwa mtazamo wangu upo hivyo
Bora umesema ukweli,nikiwahi kukaa Kwa mda mjiwmema kigamboni aisee Kuna watu wanaishi Kwa kuunga unha sana nyumba mbovu Ile mbaya ila ukimwambia aende kijijin hataki but ukoangalia life yake hata mie wa kijijin hanifikii hata nusu ya mali nilizonazoDont conclude in that, kila mtu panamfaa mahali anapoishi kulingana na mtazamo wake (Vision)
Kuna watu ukiwaangalia mjini wanaishi maisha ya tabu sana. Usikae mjini kama huna akili ya kimaisha.
Wapo watu wanaishi mijini wala haisaidii bali wanajitengenezea umaskini tu
Ni mtazamo wako tu huu.Habari wana jf napenda kutanguliza huu uzi kama ulivyoandikwa hapo juu. Najua kuna baazi ya watu hawawezi kunielewa. Ila ukweli upo hivi kukaa kijijin kwa kijana unaejitafuta kimaisha ni kufeli na nasema hivi kwasbabu nazoziona mimi.
1. KUZUNGUKWA NA WATU WASIOSAHIHI NA WENYE MITAZAMO HASI
Kijijini watu wengi hawaamin kuish ndoto zao na wanaamin kila aliyefanikiwa ni mchawi, freemason,jambazi.. na kila ukijaribu kufanya kitu tofaut na mila za hapo kijijin. Wengi hawaamin unaweza kufanikiwa watakukatisha sana tamaaa
2. KUDUMAA AKILI NA KULIZIKA MAPEMA
Kijijni ukimilki pikpik tu wanaanza kukuita boss kitu ambacho kinalufanya ujionee umefanikiwa na kulizika mapema. Pia hata mazingira hayaruhusu mtu ukue kiuchumi unakosa sehem ya kutizamia au role model tofaut na mjin
3. MZUNGUKO WA PESA NI MDOGO SANA
Kijijni ni rahis sana kuuwa pesa ukifungua biashara kutokana na mzunguko. Pesa huja mara moja tu wakat wa mavuno na kuna baazi ya biashara kama nguo baazi ya wanakijij huwa na dhana kwamba kununua nguo mpka sikukuu au safari. Na ukinunua nguo bila kuzingatia hivo vitu husema unaharibu pesa au unatumia pesa ovyo.
4. KUKOSA NDOTO ZOZOTE
Kijijini mtu akiamka asubuh anaenda shamba na akirud shamb anawaza aoge akae kijiweni apige stori bas siku imeisha. Na kubishana na vitu visivokuwa na msingi na kupiga umbea.
Kiufupi yapo mengi yanayomzuia mtu kukua na kuwa na mtazamo chanya ila kwa machache ndo hayo
NB. Ushauri wangu kama unajitafuta kimaisha usikae kijijini sana ni bora uanze na level za wilaya
ILA KUKAA VIJIJINI VIJANA WENZANGU NI KUFELI KIJIJINI HAKUNA MAENDELEO NA NDO MAANA HAKUNA AFSA BIASHARA WALA MASOKO
KIJIJINI SHUGHULI KUBWA NI KILIMO NA NDO MAANA KUNA AFSA KILIMO
Kama una maoni unaweza ukashare ila mi kwa mtazamo wangu upo hivyo
Hiyo bishara ya usafirishaji angeijulia wapi bila kufika town na kusoma gap??Ni mtazamo wako tu huu.
Kuna watu wanaishi kijijini washatoboa maisha. Yupo jamaa mmoja anamiliki magari kwa ajili ya biashara ya usafiri kutoka kijijini hadi mjini. Ameanza tangu 2002, ambapo alianzia kwenye uuzaji wa kuku miaka ya late 1990, then akafungua Duka, ikafuatia gari aina ya Landrover kwa wakati huo mwaka 2002, Biashara ikawa inakua. Kila ikifika msimu wa kilimo anaingia shambani kulima vitunguu kwa kutumia faida kutoka kwenye biashara ya Duka na usafiri.
Hadi sasa biashara zake zimeinuka na zinaendelea kupiga hatua, ni tegemeo kwenye usafiri kijijini. Wengi waliowahi kufanya biashara ya usafishaji hawakudumu kama yeye, wengine wanaanza na kumuacha yeye hatetereki.
Binafsi naona ni ile commitment ha mtu kufanya anachokiamini kwa usahihi na kutokata tamaa