Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu mwenye akili kidogo, silaha yake ni matumizi ya nguvu.Wasakwe hao wapotoshaji.Serikali ilikaa kimya ila wakasema ni goigoi na kutukana Rais Sasa ngoja waone moto.
Kwani huku mnavyopora chaguzi zetu huwa mnagombea nini? Shukurani bado Makondoo ni wengi hapa Tanzania.Wananchi na Viongozi wa Tzn sio wajinga kama huko unakotaja,kwanza huko walikuwa wanagombea vyeo
Huu mkataba haurekebishiki, Shivji ameshasema, inabidi bunge lirudi na kutengua uamuzi wake, dawa ni hiyo tu!Waurekebishe mkataba kuliko kuanza kuwinda Wapinzani kama Digidigi.