S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Jul 9, 2023 #21 Viongozi wa serikali ya Tanzania wanawadharau sana wananchi kwa kuwasabb wananchi ni mazoba. Hata hili la DP World litapita tu.
Viongozi wa serikali ya Tanzania wanawadharau sana wananchi kwa kuwasabb wananchi ni mazoba. Hata hili la DP World litapita tu.
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jul 9, 2023 #22 ChoiceVariable said: Wasakwe hao wapotoshaji.Serikali ilikaa kimya ila wakasema ni goigoi na kutukana Rais Sasa ngoja waone moto. Click to expand... Mtu mwenye akili kidogo, silaha yake ni matumizi ya nguvu.
ChoiceVariable said: Wasakwe hao wapotoshaji.Serikali ilikaa kimya ila wakasema ni goigoi na kutukana Rais Sasa ngoja waone moto. Click to expand... Mtu mwenye akili kidogo, silaha yake ni matumizi ya nguvu.
HIMARS JF-Expert Member Joined Jan 23, 2012 Posts 70,791 Reaction score 98,334 Jul 9, 2023 #23 Afrika haswa nchi zenye mazwazwa wengi ka Tanzania, Rwanda Rahisi ni mungu na ana wafuasi wake kama kina Lucas Msambwanda
Afrika haswa nchi zenye mazwazwa wengi ka Tanzania, Rwanda Rahisi ni mungu na ana wafuasi wake kama kina Lucas Msambwanda
Tindo JF-Expert Member Joined Sep 28, 2011 Posts 63,730 Reaction score 111,542 Jul 9, 2023 #24 ChoiceVariable said: Wananchi na Viongozi wa Tzn sio wajinga kama huko unakotaja,kwanza huko walikuwa wanagombea vyeo Click to expand... Kwani huku mnavyopora chaguzi zetu huwa mnagombea nini? Shukurani bado Makondoo ni wengi hapa Tanzania.
ChoiceVariable said: Wananchi na Viongozi wa Tzn sio wajinga kama huko unakotaja,kwanza huko walikuwa wanagombea vyeo Click to expand... Kwani huku mnavyopora chaguzi zetu huwa mnagombea nini? Shukurani bado Makondoo ni wengi hapa Tanzania.
Exorcist JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 1,235 Reaction score 1,268 Jul 9, 2023 #25 Nimeshangaa sana kusikia watu wanaotoa maoni hasi juu yabuuzaji wa Tanganyika wanasakwa na kufanyiwa majaribio ya mauaji, hii haikubalika, kwani lazima mtuuze sisi, si muize Zanzibar yenu, shida nini?!
Nimeshangaa sana kusikia watu wanaotoa maoni hasi juu yabuuzaji wa Tanganyika wanasakwa na kufanyiwa majaribio ya mauaji, hii haikubalika, kwani lazima mtuuze sisi, si muize Zanzibar yenu, shida nini?!
Exorcist JF-Expert Member Joined Feb 28, 2014 Posts 1,235 Reaction score 1,268 Jul 9, 2023 #26 imhotep said: Waurekebishe mkataba kuliko kuanza kuwinda Wapinzani kama Digidigi. Click to expand... Huu mkataba haurekebishiki, Shivji ameshasema, inabidi bunge lirudi na kutengua uamuzi wake, dawa ni hiyo tu!
imhotep said: Waurekebishe mkataba kuliko kuanza kuwinda Wapinzani kama Digidigi. Click to expand... Huu mkataba haurekebishiki, Shivji ameshasema, inabidi bunge lirudi na kutengua uamuzi wake, dawa ni hiyo tu!
Logikos JF-Expert Member Joined Feb 26, 2014 Posts 15,460 Reaction score 24,233 Jul 9, 2023 #27 How did we get here ?!!!! Things are Falling Apart.....