Kukaa nyumba Ambayo kuna wapangaji wengi hasa wanawake ni kero

Kukaa nyumba Ambayo kuna wapangaji wengi hasa wanawake ni kero

Naunga mkono hoja kwa niaba ya jirani zangu wawili waliohamia jirani nami mwezi huu. Leo hii wamenitembelea hapa kwangu kwa nyakati tofauti na katika stori za hapa na pale kila mmoja aligusia kero za kwenye nyumba za kupanga husasani palipo na wanawake wengi wasio na kazi. Mmoja wao alienda mbali zaidi kwa kusema alipokuwa amepanga kila wiki lazima kulipuke vita ya maneno miongoni mwa wanawake hao.
 
Bora kushare Geti kuliko kushare Choo na Bafu.
Hamna nafuu mkuu, kuna watu wajinga hupendi ugomvi hata ukiwa self ni kosa lazima tu wakuchokonoe,ukiwa busy maneno in short ni tabu tupu. Kuna kipindi nilikuwa naenda kwa rafiki huyo Mama wa nyumba akiona umeenda tu anakaa mlangoni au dirishani ili kusikiliza kinachoendelea.
 
Back
Top Bottom