Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Kukaa Kwenye Nyumba ambayo ina Wapangaji Wengi Hasa wanawake wasiokuwa na kazi ni Watu wa kushinda tuu Nyumbani ni Kero sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kero vp na umeletewa nyapu za bure karibuKukaa Kwenye Nyumba ambayo ina Wapangaji Wengi Hasa wanawake wasiokuwa na kazi ni Watu wa kushinda tuu Nyumbani ni Kero sana
wanaboa wana trend ya kugeuza ngazi za chooni kua kijiwe cha storyKero vp na umeletewa nyapu za bure karibu
Unaitafuna tu..Hiyo ndo maana ya uswazi,unatoka kuoga bafuni unakuta kuna mbuzi imeingia gheto na kimini eti imekuja kuangalia series ya kikorea.
Inabidi hapo ujiongeze!!!Hiyo ndo maana ya uswazi,unatoka kuoga bafuni unakuta kuna mbuzi imeingia gheto na kimini eti imekuja kuangalia series ya kikorea.
Jitahidi sana kama unapanga nyumba Panga nyumba ya Peke yako usichangie Choo na MtuKukaa Kwenye Nyumba ambayo ina Wapangaji Wengi Hasa wanawake wasiokuwa na kazi ni Watu wa kushinda tuu Nyumbani ni Kero sana
Hizo nyumba ukiwa single nzuri sanaKukaa Kwenye Nyumba ambayo ina Wapangaji Wengi Hasa wanawake wasiokuwa na kazi ni Watu wa kushinda tuu Nyumbani ni Kero sana
Hata ukifanya hvo huku mna share geti tabu iko palepaleJitahidi sana kama unapanga nyumba Panga nyumba ya Peke yako usichangie Choo na Mtu
Bora kushare Geti kuliko kushare Choo na Bafu.Hata ukifanya hvo huku mna share geti tabu iko palepale
Siamini mtu mzima ameweza kuuliza swali kama hili. ... waume zao wanafanya kaziKama hawana kazi wanawezaje kupanga na kuishi tu hapo
Ushauri umekaa kinafiki huu lohJitahidi sana kama unapanga nyumba Panga nyumba ya Peke yako usichangie Choo na Mtu
Hamna nafuu mkuu, kuna watu wajinga hupendi ugomvi hata ukiwa self ni kosa lazima tu wakuchokonoe,ukiwa busy maneno in short ni tabu tupu. Kuna kipindi nilikuwa naenda kwa rafiki huyo Mama wa nyumba akiona umeenda tu anakaa mlangoni au dirishani ili kusikiliza kinachoendelea.Bora kushare Geti kuliko kushare Choo na Bafu.
Hapana siwezi,mimi sina madhara[emoji23],mimi ni Mugalu mimi na kipa napiga nje[emoji23]Unaitafuna tu..
Punguza uzembe jitahidi ufikie hata kwa john boko adebayor.. Silaha kichwa tu. [emoji23]Hapana siwezi,mimi sina madhara[emoji23],mimi ni Mugalu mimi na kipa napiga nje[emoji23]