Kukaanga mayai

Kukaanga mayai

Kwanza tangu lini ukwaju ukawa fimbo 😂😂
😂😂😂😂😂

Nimesoma comments nimecheka, hakuna hata mtu mmoja kamsaidia jamani, hadi wewe mpishi tegemeo..!?

fimboyaukwaju, kwa kuwa bado unajifunza, weka moto mdogo sana na usigeuze yai mpaka uhakikishe limeanza kukauka, hapo shida wala siyo majiko, nadhani unawahi kugeuza wakati bado lipo tepe..!!

usiweke mafuta mengi, mafuta siyo mazuri kiafya, mafuta lambisha tu kwenye frying pan na yai lako linakuwa zuri tu..!
 
😀😀😀
 
the best answer,shukrani sana
 
Make sure your frying pan is dry and clean,alafu iweke jikoni mpaka ipate moto na mafuta yatulie yasilie chwaaaa,then mwagia mayai yako kikaangoni,dakika 2,3 alafu geuza,dakika 2,3 tena then kitu kimetoka.
 
Wewe utakuwa mpare, unajifunza kupika halafu mbahili kwenye mafuta 🤣
 
Back
Top Bottom