Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Hayo mayai unajivunjia au Kuna mtu anakuvunjia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kila kitu nafanya mwenyeweHayo mayai unajivunjia au Kuna mtu anakuvunjia?
natafuta msaada wa nifanyeje kukaanga mayaiKwahyo unataka maelezo ya kukaanga mayai step by step kwa maandishi au tukupasulie then tukukaangie kabisa man
Kama hana F tatu hapa haelewi kituKwahyo unataka maelezo ya kukaanga mayai step by step kwa maandishi au tukupasulie then tukukaangie kabisa man
F sijawahi kupata mpaka namaliza shule zoteKama hana F tatu hapa haelewi kitu
Mh sasa ata ugali utaweza kweli mahi wangu au chapati, umeambiwq uende yuchubu huko usitysumbue 😄Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
Sawa nipo utube najifunza,kuhusu mapishi mengine youte nipo vizuri sana kinachonishinda ni kukaanga mayai tuMh sasa ata ugali utaweza kweli mahi wangu au chapati, umeambiwq uende yuchubu huko usitysumbue 😄
Kwanza tangu lini ukwaju ukawa fimbo 😂😂Kweli we Ni fimbo ya Ukwaju 🤣🤣
Mstaafu Unashindwaje Hapo Hiyo Ni Sayansi Kitu Darasa La NneKila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
vingine ambavyo ni vigumu naviweza ila mayai yananioa taabuMstaafu Unashindwaje Hapo Hiyo Ni Sayansi Kitu Darasa La Nne
😂😂😂😂😂Kwanza tangu lini ukwaju ukawa fimbo 😂😂
😀😀😀😂😂😂😂😂
Nimesoma comments nimecheka, hakuna hata mtu mmoja kamsaidia jamani, hadi wewe mpishi tegemeo..!?
fimboyaukwaju, kwa kuwa bado unajifunza, weka moto mdogo sana na usigeuze yai mpaka uhakikishe limeanza kukauka, hapo shida wala siyo majiko, nadhani unawahi kugeuza wakati bado lipo tepe..!!
usiweke mafuta mengi, mafuta siyo mazuri kiafya, mafuta lambisha tu kwenye frying pan na yai lako linakuwa zuri tu..!
the best answer,shukrani sana😂😂😂😂😂
Nimesoma comments nimecheka, hakuna hata mtu mmoja kamsaidia jamani, hadi wewe mpishi tegemeo..!?
fimboyaukwaju, kwa kuwa bado unajifunza, weka moto mdogo sana na usigeuze yai mpaka uhakikishe limeanza kukauka, hapo shida wala siyo majiko, nadhani unawahi kugeuza wakati bado lipo tepe..!!
usiweke mafuta mengi, mafuta siyo mazuri kiafya, mafuta lambisha tu kwenye frying pan na yai lako linakuwa zuri tu..!
ok asante ntafata yote hayoMake sure your frying pan is dry and clean,alafu iweke jikoni mpaka ipate moto na mafuta yatulie yasilie chwaaaa,then mwagia mayai yako kikaangoni,dakika 2,3 alafu geuza,dakika 2,3 tena then kitu kimetoka.
Ukiolewa hayo yote itabidi uyajue. Sisi wanaume wengine tunataka ukange jicho la ng'ombe utaweza weye....?Kila njia nafanya lakini nashindwa kukaanga mayai,kila nikijaribu yanavurugika,je nitumie mbinu gani nifanikiwe
Jicho la ng'ombe 😃Ukiolewa hayo yote itabidi uyajue. Sisi wanaume wengine tunataka ukange jicho la ng'ombe utaweza weye....?