Kukaanga mayai

Kukaanga mayai

Weka mafuta kwenye kikaango. Hakikisha umeyapakaza kikaango kizima. Usiweke mengi maana yanaleta kichefuchefu. Yakipata moto weka mayai yako. Koroga, weka chumvi, punguza moto mpaka mwisho kisha funika. Baada ya dk kadhaa utatoa yai kama pizza.
 
Okay, pambana chotara ujue kupika ili ukiolewa umpikie shem vizuri.
Mimi niolewe,ama sijui unawaza nini,mimi nineoa wake 2 bro,naishi kimya,nikiwa nimestaafu,jifunze kuwa mstaarabu itakusaidia maishani kwako
 
Mimi niolewe,ama sijui unawaza nini,mimi nineoa wake 2 bro,naishi kimya,nikiwa nimestaafu,jifunze kuwa mstaarabu itakusaidia maishani kwako
Nakushauri mwacje mkeo apike mayai then utakula mayai pamoja na mpishi wake.
Ni kombo tamu sana.
 
Ukitaka hayo mayai ya kukaanga uyapatie pasua matano .... Ukipasua mawili yatamezwa na kikaango
 
Ongea,vizuri na Bi Mkubwa akwambie vizuri wakati wenzako wanajifunza weye ulikuwa wapi?
 
achana na habari ya mapishi mwenyewe nilishawahi kuunguza yai la kuchemsha ndugu
 
Tumia maji na majivu kama chumvi...utanishukuru baadae
 
Back
Top Bottom