Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

Itakua ni vidola vingapi tutasave?
Ndugu Choice variable au bi Faiza fox , Lord Denim,wangetujuza safari moja ya kiongozi wetu mkuu akiwa na wapambe na waandamizi timu nzima kwenda merekani Kwa uchache hukomba vidola vingapi hazina.
 
Ndugu Choice variable au bi Faiza fox wangetujuza safari moja ya kiongozi wetu mkuu akiwa na wapambe na waandamizi timu nzima kwenda merekani Kwa uchache hukomba vidola vingapi hazina.
Nadhani sio significant amount maana uhitaji wa dala ni billions of dollars...sasa hata tukisave dola labda laki mbili itakua sio kitu
 
Mwenye data tafadhali,

Safari za nje Kwa mwaka 2022 Kwa watumishi wa umma pekee walitumia kiasi Gani Kutoka hazina yetu ya pesa za kigeni?
 
Umeanza vizuri,ukamaliza vibaya.magu ndo jinga aliyeleta yote haya
 
Basi jikite kwenye HOJA,

Pesa kiasi Gani hutumika Kwa mwaka kugharimia safari za nje za watumishi wa umma?

Na safari hizo zikifutwa, tutasave kiasi Gani Ili zitumike kuagizia madawa hospitalini na bidhaa zingine muhimu?
 
Mpambe mmoja hutumia wastani wa mil40-80 tu kwa safari ya marekani kwa wiki 1...pesa ndogo sana
 
Hauwezi kuzuia wizi Serikalini, hata wakati wa mwendazake kulikuwa na wizi. Cha muhimu ni kuelekezwa wanaoiba wawekeze nchini. Nchi nyingi za Afrika ambazo zina rasilimali kutuzidi sisi lakini wametuzidi umasikini kwa sababu wanasiasa wake wamewekeza nchi za nje. Angalia DRC wanasiasa wake wamewekeza Ufaransa na Afrika Kusini. Nchi za Afrika magharibi wanasiasa wake wamewekeza Ufaransa na Ubelgiji. Kwa hio hawa watu inabidi waambiwe wawekeze nchini. Mtu anapiga hela ananunua nyumba Dubai huo ni ujinga. Wakati anaweza kufungua kiwanda na kuajiri watu wengi hapa nyumbani.
Unashauri walioficha nje pesa zetu wakizirudisha wasamehewe case ya uhujumu Uchumi na money loundry?
 
Mpambe mmoja hutumia wastani wa mil40-80 tu kwa safari ya marekani kwa wiki 1...pesa ndogo sana
Ahsante.

Kama mpambe mmoja anatumia Dollar 32,000, na safari nzima huchukua watu zaidi ya 60, jumla ni Dollar 1,920,000.

Kumbe tunaumiza vichwa Bure, hazina yetu inakaushwa na safari za nje za viongozi wetu na watumishi wa umma zisizo na TIJA Kwa Uchumi wetu Kwa sasa.
 
Hauwezi kuzuia wizi Serikalini, hata wakati wa mwendazake kulikuwa na wizi. Cha muhimu ni kuelekezwa wanaoiba wawekeze nchini. Nchi nyingi za Afrika ambazo zina rasilimali kutuzidi sisi lakini wametuzidi umasikini kwa sababu wanasiasa wake wamewekeza nchi za nje. Angalia DRC wanasiasa wake wamewekeza Ufaransa na Afrika Kusini. Nchi za Afrika magharibi wanasiasa wake wamewekeza Ufaransa na Ubelgiji. Kwa hio hawa watu inabidi waambiwe wawekeze nchini. Mtu anapiga hela ananunua nyumba Dubai huo ni ujinga. Wakati anaweza kufungua kiwanda na kuajiri watu wengi hapa nyumbani.
Ukiwekeza hapa nzi wengi
 
Ni zaidi ya mwaka sasa Serikali yetu inalalamika upungufu wa Dollar Kwa ajili ya kuagizia bidhaa na kulipa mikopo na mahitaji mengine muhimu.

Safari za nje Kwa viongozi wa umma, Hazina yetu ya dollar hutumika, hivyo nashauri tuanze na kufuta safari za nje za viongozi Ili kutunza akiba ya pesa za kigeni kiduchu zilizopo.

Wakati hatua za mwanzo zikiendelea kuchukuliwa,

Tuwaombe viongozi wetu wa Dini wawaombe viongozi na wafanyabiashara wanaosemekana wameficha dollar majumbani wazitoe, walioficha ktk mabenki ya nje warudi kuwekeza nchini!!

Mikutano na vikao na mataifa ya nje itumike video conference kama kipindi Cha corona.

Magu alisema TUTAMKUMBUKA!!!

Tusione

Hela yenye nguvu
 
Tusione haya kujisahihisha.

Karibuni🙏
Tusiende kula life ughaibuni? Hilo haliwezekan kbs!!! Huu ni wakat wetu wa kula bafataaaa!!!
 
Zile safari zinakausha hazina Kweli Kweli ndugu,

Mwigu anawaomba WB kutukopesha dollar Ili tuagize mafuta,

Wakati kungedhibiti safari za nje, tungebaki na hazina ya kutosha.

Dollar zipo, ila uzururaji nje ya nchi Kwa watumishi umezidi!!
 
Asante,

Unaweza kutudokeza Kwa uchache safari moja ya kiongozi mkuu wetu kwenda merekani akiwa na wapambe na waandamizi wake hugharimu Pesa za kigeni kiasi Gani?
Anaenda marekani mara ngapi kwa wiki au mwezi?
 
MWAKA 2022/2023, safari za nje Kwa watumishi wote wa umma,akiwemo Yeye, ziligharimu pesa za kigeni kiasi Gani?

Kuliko kuomba tukopeshwe pesa na WB, tujiangalie matumizi yetu, tujisahihishe.

Mkipuuza kuzama CCCm ni inevitable!!
 
Back
Top Bottom