Kukabiliana na upungufu wa Dollar nchini, napendekeza safari za nje kwa watumishi wa umma zifutwe

Itakua ni vidola vingapi tutasave?
Ndugu Choice variable au bi Faiza fox , Lord Denim,wangetujuza safari moja ya kiongozi wetu mkuu akiwa na wapambe na waandamizi timu nzima kwenda merekani Kwa uchache hukomba vidola vingapi hazina.
 
Ndugu Choice variable au bi Faiza fox wangetujuza safari moja ya kiongozi wetu mkuu akiwa na wapambe na waandamizi timu nzima kwenda merekani Kwa uchache hukomba vidola vingapi hazina.
Nadhani sio significant amount maana uhitaji wa dala ni billions of dollars...sasa hata tukisave dola labda laki mbili itakua sio kitu
 
Nadhani sio significant amount maana uhitaji wa dala ni billions of dollars...sasa hata tukisave dola labda laki mbili itakua sio kitu
Mwenye data tafadhali,

Safari za nje Kwa mwaka 2022 Kwa watumishi wa umma pekee walitumia kiasi Gani Kutoka hazina yetu ya pesa za kigeni?
 
Umeanza vizuri,ukamaliza vibaya.magu ndo jinga aliyeleta yote haya
 
Umeanza vizuri,ukamaliza vibaya.magu ndo jinga aliyeleta yote haya
Basi jikite kwenye HOJA,

Pesa kiasi Gani hutumika Kwa mwaka kugharimia safari za nje za watumishi wa umma?

Na safari hizo zikifutwa, tutasave kiasi Gani Ili zitumike kuagizia madawa hospitalini na bidhaa zingine muhimu?
 
Mpambe mmoja hutumia wastani wa mil40-80 tu kwa safari ya marekani kwa wiki 1...pesa ndogo sana
 
Unashauri walioficha nje pesa zetu wakizirudisha wasamehewe case ya uhujumu Uchumi na money loundry?
 
Mpambe mmoja hutumia wastani wa mil40-80 tu kwa safari ya marekani kwa wiki 1...pesa ndogo sana
Ahsante.

Kama mpambe mmoja anatumia Dollar 32,000, na safari nzima huchukua watu zaidi ya 60, jumla ni Dollar 1,920,000.

Kumbe tunaumiza vichwa Bure, hazina yetu inakaushwa na safari za nje za viongozi wetu na watumishi wa umma zisizo na TIJA Kwa Uchumi wetu Kwa sasa.
 
Ukiwekeza hapa nzi wengi
 

Hela yenye nguvu
 
Tusiende kula life ughaibuni? Hilo haliwezekan kbs!!! Huu ni wakat wetu wa kula bafataaaa!!!
 
Tusiende kula life ughaibuni? Hilo haliwezekan kbs!!! Huu ni wakat wetu wa kula bafataaaa!!!
Zile safari zinakausha hazina Kweli Kweli ndugu,

Mwigu anawaomba WB kutukopesha dollar Ili tuagize mafuta,

Wakati kungedhibiti safari za nje, tungebaki na hazina ya kutosha.

Dollar zipo, ila uzururaji nje ya nchi Kwa watumishi umezidi!!
 
Asante,

Unaweza kutudokeza Kwa uchache safari moja ya kiongozi mkuu wetu kwenda merekani akiwa na wapambe na waandamizi wake hugharimu Pesa za kigeni kiasi Gani?
Anaenda marekani mara ngapi kwa wiki au mwezi?
 
Anaenda marekani mara ngapi kwa wiki au mwezi?
MWAKA 2022/2023, safari za nje Kwa watumishi wote wa umma,akiwemo Yeye, ziligharimu pesa za kigeni kiasi Gani?

Kuliko kuomba tukopeshwe pesa na WB, tujiangalie matumizi yetu, tujisahihishe.

Mkipuuza kuzama CCCm ni inevitable!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…