Kukamata na kuteka watu kuna namna ina faida kubwa sana kwa vyombo vya dola; watu wanaojitajirisha kwa mbinu hizi ni wengi sana. Matajiri jiandaeni

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Moja ya faida kubwa ya kamata kamata ni kutia watu hofu. Kamata kamata siku zote uishia kwa wenye fedha siyo maskini pekee. Hakuna mtu ataaingika na kiumbe asiyetoa chochote lazima uwepo mchanganyiko wa wenye fedha na wasio na fedha.

Dola ikianza kukamata kamata watu tambua wafanyabishara wapo hatarini kwa sababu ndio wanaosaidiana na ndugu zao wanasiasa. Kamata kamata siku zote yanatana na kushikilia simu; ukikamatwa simu yako ikipekuliwa wapo wenye dola wasio waaminifu ambao uchukua namba zote za watu wenye fedha kisha kuwatafuta kwa maelezo kwamba kwanini unashirikiana na fulani fulani.......

Vitisho uambatana na kukamatwa kwa lengo la kusaidia uchunguzi. Ni mfanyabiashara gani angependa kuwekwa mahabusu? Ofcos hakuna na hapo ili asikamatwe lazima atatoa mpunga....rejea yaliyobainika wakati wa JPM ......watu walikwapua mabilioni ya fedha kwa mgongo wa kutumwa na serikali kumbe wamejituma kwa malengo yao.

Kwa wale waliofika nchi kama Kongo na Burundi watakubaliana na mimi kwamba automatic ukikamatwa na askari unachotakiwa kufanya nikutoa pesa.

Ukiona wenye dola wanataka kuendeleza mchakato wa kamata kamata tambua wameziona fedha somewhere wanataka kwenye kuzichukua.....lazima watengeneze mazingira ya kuwatisha raia ili wafanikiwe

Utawala wa sheria ukikosekana lazima dola iwe ndiyo sheria na mahakama :::;; watahukumu na kuchukua hatua bila kutumia kifungu cha sheria.

Tusipuuze na kuona kamata kamata inalenga wanasiasa; no hakuna mwanasiasa anatoa fedha akikamatwa hasa hawa wapinzani....ila ndugu zao na marafiki zao watakamatwa na watabambikiwa kesi watoe fedha.

Nape aliwahi kulalamika sana aliposhikiwa bastola na kijana mdogo ; alilalamika kwa sababu alijua dola inataka nini kwake.....alitoa wito wa kukemea mabavu ya dola na nchi izingatie utawala wa sheria....tusikubali kuaminishwa kwamba kamata kamata inalenga wanasiasa....inalenga walipa kodi na soon mtaona Kimbembe msipowakemea mkakaa kimya
 
Sasa tutafanyaje... wakati tumezoeshwa toka awamu ya tano...?

Unafikiri Polisi wataacha kukamata na kutengeneza mazingira ya kutaka fedha yaishe? Ni ngumu sana...
 
Wanaotekwa huwa ni Wakosoaji wa Utawala Wala SIYO wenye pesa.
Hivi yule kijana aliyechoma picha ya "mtukufu" kule Mbeya ana pesa gani ya kuwapa Watekaji wake????
 
Back
Top Bottom