Kukamatwa Juzi kwa Kato Rasta Muuaji wa Afande Muna Kawe ni jibu tosha kuwa huwezi Kuikimbia popote pale Jamhuri kama ikikutaka


Kwaiyo unataka kusema kama angeitupa simu na raini asingekamatwa
 
Muna si jina la kinyiramba mkuu, ni jina kinyaturu hukohuko singida kwa watani zako. Ni kweli intelijensia ya polisi imekua, iwe hivyo hivyo hata kwa wanaofanya mauji kwa raia wa kawaida na kutokomea kusikojulikana wakamatwe, pia intelijensia itumike na kwa wahalifu wengine
 
Ni kweli kwa sababu wavumbuzi sio serikali ni watu binafsi waniuzia serikali
 
Hii kamba, acha uongo wa Kitoto, bhana.
 
Ujinga ni kujifanya unajificha halafu unazima simu na kuwasha au kutupa Line ya simu na kununua mpya afu kuendelea kutumia simu Ile Ile.
Tupa simu tupa line uone kama utadakwa kirahisi. Ingekuwa mm ningekuwa Mogadishu muda huu
 
Sasa yeye Kato rasta km alishafanikisha kuingia Songea, si angechapa laba msumbiji kupitia njia ya mbinga had mitomonii.

Maana kupitia njia ya muhukuru angepata shida pale Mkenda.
Nweiii Afande Muna harudi tena Duniani, ndo ishatokaa hiyooo.
Kuna kuishiwa pesa unapiga simu nyumbani usaidiwe nauli.....hela kula ...unaweza kujikuta uko mganga miezi 6 umeishiwa oohhh
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
Hata iwe miaka mitano watakudaka tu pana jamaa alimpiga mtu kwenye ugomvi hapo Chuga alikimbia karibu miaka 6 hakuonekana alipo baadae akadhani kesi imeisha akawa anaonekana mjini akidhani wahuni wamesahau kuna siku alikamatwa kwa kuitwa tu jina lake aisee fulani emu njoo mara moja yupo Kisongo mpaka leo...kesi ya mada ni tofauti na ujambazi navyoona mimi majambazi wakiacha anaweza kuishi ila sio kuua Mtu...
 
Hapo nunua line ya mchongo isiyo na usajili wa majina yako. .tafuta chaka mikoa ambayo ina shuguli za madini na uvuvi (wageni huwa wengi) hvyo hakuna atakayehisi ugeni wako ..jitupie huko kisha kata mawasiliano na mtu yoyote kwa muda wa mwaka mmoja.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji86] yaaan Happ. Mnafundishana namna Bora ya kutoroka
 
vipi nikivunja lines zangu halafu sim nikatupa ikaokotwa na mwingine. Hapo nakuwa nimeuza msala?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…