Mkasela
Senior Member
- Dec 22, 2018
- 156
- 224
Kiufupi polisi duniani kote wana mitambo ya kusikiliza na kukutrack popote ulipo duniani kote.
Njia rahisi wakupate wana chukuwa namba za watu wako wa karibu kupitia mtandao wa simu.
Hapa hata kama utabadilisha namba wanajua huyu ni wewe kwa kupitia njia mbili sauti yako au wanamfata alie pigiwa atowe ushahidi kama kweli alikuwa mtuhumiwa alie ongea nae.
Mtuhumiwa kosa lake mara nyingi inayo sababisha akamatwe ni kufanya mawasiliano na mzee,mke,mchumba,ndugu au marafiki. Pia kutumia kitambulisho kama Passport au Nida kwa kusafiria au kusajili namba ya simu kwa kutumia vitambulisho husika. Pia njia ya kutumia kutoa hela kwenye bank yake kwa [emoji763] au tawi la bank hii hujua huyu mtu yupo eneo gani.
Kwaiyo unataka kusema kama angeitupa simu na raini asingekamatwa