Pua ya zege
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 1,941
- 2,081
Jeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweliHuyu mzee Muliro ni mtu wa hovyo, sijui halioni hata aibu huku linakaribia kustaafu?
Jpm Kuna watu alikuwa anawasukuma kinyesi kuna mtu alinitonya bashite ni miongoni ni masharti ya mgangaWatu kama nyie huwa mnazaliwa na watu wa aina gani? Yaani jitu ovu unaliita shujaa lako 🤔🤔
Doh!Jeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweli
Ujinga tupuJpm Kuna watu alikuwa anawasukuma kinyesi kuna mtu alinitonya bashite ni miongoni ni masharti ya mganga
Hata mimi ninatamani iende mahakamani! hadi raha! atakapotoa mimacho! Huyu si ndiye aliyesema tukiandama tuchakazwe kama mbwa koko? akiwa Dodoma? Nadhani atakimbia hatathubutu kumkamata boni yaiJeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweli
Fatilia taaifa ya muriro siku na tarehe waliyomuokota huyo ndugu na siku ndugu wanampata yaani April 11 kumuokota, April 21 ndugu kumpata muwe mnajiongeza mkuuDoh!
Hizo siku kumi zimefahamikaje mkuu
😂😂😂 Muwe mnajiongezaFatilia taaifa ya muriro siku na tarehe waliyomuokota huyo ndugu na siku ndugu wanampata yaani April 11 kumuokota, April 21 ndugu kumpata muwe mnajiongeza mkuu
Huyo wapigwe kama mbwa Koko ni muroto ameshastaafu kwa Sasa yeye ndiye mbwa koko hana amri tenaHata mimi ninatamani iende mahakamani! hadi raha! atakapotoa mimacho! Huyu si ndiye aliyesema tukiandama tuchakazwe kama mbwa koko? akiwa Dodoma? Nadhani atakimbia hatathubutu kumkamata boni yai
Mkuu hizi ni tetesi pia zinaweza kuwa siyo kweli,lakini pia mambo kama naona siyo vizuri kuyaongelea kwani yanateeza uta wa mtuJpm Kuna watu alikuwa anawasukuma kinyesi kuna mtu alinitonya bashite ni miongoni ni masharti ya mganga
Hujawahi kuwa na akili.Kuna mambo Mawili muhimu Sana
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo mh Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa Chadema mh Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya DSM juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika Kifo Cha Mtu aitwaye Mushi
Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa
Kesi hii tutajifunza mambo mengi Sana ya kimfumo kuanzia tuanze siasa za Vyama Vingi
Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na Hata sasa Ni Mushi Shujaa hayupo
Mungu wa Mbinguni awabariki Ufuatiliaji kwa Haki
Ahsanteni 🐼
Kama hayafanyi kazi basi yafungiwe na siyo kusubiri yajifunge yenyewe.Chizi mwenyewe.
Unazani kwa Nini kuna vyama vingi na mashirika mbalimbali? Na yote yanakula Kodi zetu? .
Kama hayafanyi kazi zetu basi yajifunge.
Msalimie DAS Tunduru 🐼Hujawahi kuwa na akili.
Ukiona hivyo wahusika ni waoJeshi la polisi bado sana kuwa na watu wenye weredi unakaa na maiti ambayo haijatambulika zaidi ya siku kumi tena kwenye hospitari yao kuna vyombo vya habari kama TBC wanakipindi maalumu cha watu waliopotea kwanini usitangaze na wakati huohuo ndugu wamepita vituo vya polisi hawajampata ina maana hawana database zao kwa ufupi huyu kamanda atakufinyanga uongo hajui natamani kesi iende mahakamani muriro akahojiwe atasema ukweli
Vyeti feki kina Makonda na Msukuma mbona hawakuguswa? JPM alikua mnafiki tu aliwanyoosha wale waliompinga tu ila majizi yaliyokua upande wake wala hakudeal nayo!! Rejea yule jangili Nchambi na mwanyika wa ACACIA walipelekewa mahakamani na kukiri uhujumu uchumi ila hawakuchukuliwa hatua na Ccm mpaka kesho.Mmechelewa sana , wenye pesa na vyeti feki walikuwa wanawadanganya jmaa ni dikteta
Astaghifilullah!Ya kweli hayo?Hizi akili za vyeti na alizokuwa nazo lile shetani lenu la Chato mpk likaamuq kufoji cheti liwe na PhD fake.
Sahihi snVyeti feki kina Makonda na Msukuma mbona hawakuguswa? JPM alikua mnafiki tu aliwanyoosha wale waliompinga tu ila majizi yaliyokua upande wake wala hakudeal nayo!! Rejea yule jangili Nchambi na mwanyika wa ACACIA walipelekewa mahakamani na kukiri uhujumu uchumi ila hawakuchukuliwa hatua na Ccm mpaka kesho.
Kwani Makonda hakusoma Ushirika Moshi?Vyeti feki kina Makonda na Msukuma mbona hawakuguswa? JPM alikua mnafiki tu aliwanyoosha wale waliompinga tu ila majizi yaliyokua upande wake wala hakudeal nayo!! Rejea yule jangili Nchambi na mwanyika wa ACACIA walipelekewa mahakamani na kukiri uhujumu uchumi ila hawakuchukuliwa hatua na Ccm mpaka kesho.
Sijui kwanini kazi ya Polisi watu huwa wanajitoa ufahamuHuyo wapigwe kama mbwa Koko ni muroto ameshastaafu kwa Sasa yeye ndiye mbwa koko hana amri tena
G MalisaBen Malisa inabidi ahesabu meno yake yako mangapi ili ajue baadaye jinsi ya kufungua kesi ya madai.