Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Wewe mpuuzi tu ina maana unataka kusema waliomuua Mushi ni watu wa awamu ya tano? Vipi waliomuua mwanahabari Mwangosi, Dr Mvungi wa katiba mpya na Chacha Wangwe wa CHADEMA kipindi cha awamu ya nne ya Kikwete nao ni watu wa awamu ya tano?

Pia nikukumbushe vipi kuhusu kutekwa kwa Dr Ulimboka kiongozi wa chama cha Madaktari nao walio mteka kipindi cha Kikwete walitumwa na hao wa awamu ya tano?

Acheni ujinga na upumbavu wenu wa kumwongelea mabaya JPM kila kukicha lakini hutasikia mnaongea haya yanayofanyika saizi kwenye utawala wa Samia kama Rais Samia anahusika lakini kipindi cha JPM kila tukio mlisema kawatuma yeye kuua na kuteka watu!

,
 
Ukiona jitu linamponda Magufuli ujue :Ni jambazi, lilikuwa na vyeti fake, fisadi.
Bado haiondoi ukweli kuwa lile jitu lenu lilikuwa na tabia za kishenzi sn kuliko ht shetani mwenyewe.
Ndo mana lilikosa ht nuru usoni mwake mpk kufa kifaaaala namna ile
 
Ukisoma maelezo ya bony yai na muliro kuna kitu unang'amua kiwepesi saana.
Subiri uone aibu itakayowakuta kina fulani.
 
Hilo liko wazi kuwa Jiwe alikuwa muuaji na muovu kupita maelezo
 
Mkuu usilinganishe masuala ambayo hayalinganishiki na kesi za vibaka.
Sijui unamuingizaje Magufuli na complexity ya kesi zake na hawa watu waliopotea.
 
Hii ndo akili kubwa kwenye mjadala! Kuna wajinga kila leo kusema JPM aliua watu ila cha kushangaza mauaji yapo hata kwa Kikwete na Samia!
Hongera kwa mchango mzuri na kikubwa ni kuipinga system chini ya uongozi wa CCM!
 
Kwa hiyo Kikwete nae alituma watu? Vipi Samia nae anatuma?
At least hao hata kama walifanya/wamefanya mabaya lakini ni mambo ya kiutawala. Ila Jiwe alikuwa anafanya maovu ili kumkomoa mtu flani,ndiyo maana kifo chake kuna watu mpaka walichinja ng'ombe
 
Bado haiondoi ukweli kuwa lile jitu lenu lilikuwa na tabia za kishenzi sn kuliko ht shetani mwenyewe.
Ndo mana lilikosa ht nuru usoni mwake mpk kufa kifaaaala namna ile
Tabia za kishenzi mlikuwa nazo nyie majambaz. Kikwete aliwaruhusu majambaz kuuwa watu wengi sana pale mlimani city na kuwaibia pesa. Biashara, ya uwakala wa, pesa ilikuwa, ngumu. Vivaa,JPM.
 
Una bichwa kubwa na zito ambalo ni mzigo kwenye shingo yako kibaya zaidi bichwq hilo halina akili hata ya kuzugia unaanzaje kumuamini murilo
 
Tabia za kishenzi mlikuwa nazo nyie majambaz. Kikwete aliwaruhusu majambaz kuuwa watu wengi sana pale mlimani city na kuwaibia pesa. Biashara, ya uwakala wa, pesa ilikuwa, ngumu. Vivaa,JPM.
Jiwe yeye alikuja na sera ya uporaji mchana kweupu!
Na vijana wa kisukuma wengi walijiita uasalama wa Taifa na wakaanza uporaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…