johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
-
- #101
πππMkuu kama huwezi kunielewa naomba walau uniheshimu
Kuna mambo Mawili muhimu sana,
Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.
Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa.
Kesi hii tutajifunza mambo mengi sana ya kimfumo kuanzia tuanze Siasa za Vyama Vingi.
Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na hata sasa ni Mushi Shujaa hayupo.
Mungu wa Mbinguni awabariki ufuatiliaji kwa Haki.
Ahsanteni. πΌ
Kuna wa watu wanazaliwa na wazazi wajinga hivyo ujinga ujikuta uko akilini mwao. Pole kwa kupoteza Shujaa wakoMi nadhani ilikuwa ajenda yao kabisa CHADEMA, baadhi ya wana CCM na baadhi ya wanaharakati ili kumchafua JPM ili aonekane ni kiongozi asiyefaa na katili!
tawala wake!View attachment 2972814View attachment 2972813
All in all, he is the best president ever in our country. Few people who don't have a significant impact criticized JPM. However the majority of the Tanzanian witnessed him as, a, hero. Regard.
ππππππUnadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
Alisoma na akapata gentleman's degree yaani GPA chini ya 3.0!! Ambayo sio tatizo ila changamoto ni hilo jina Paul Makonda alilipata kupitia deed poll na sio kwamba ndio lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa!!Kwani Makonda hakusoma Ushirika Moshi?
We naye akili hauna kabisa, kwahiyo hata fisadi akiwa na hela nyingi tusimkosoe kasi ametuzidi mafanikio? Kwa akili hizi mbovu Acha tu mafisadi yaendelee kuiba.Unadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
Dah!Umenena.
Juzi Maranja Masese kaja na makala ndefu kuelezea majambazi yanavyofilisi mabenki kwa kuchukua mikopo kisha kukimbilia mahakamani kuzuia kulipa pesa waliyokopa.
Masese kaandika kwenye makala yake kwamba majambazi haya wakati wa Magufuli yalifungwa, kufilisiwa na mengine kuikimbia nchi.
Ni kina Masese hawahawa walioimba wakati wa Magufuli kwamba anakandamiza biashara na kupora mali za wafanyabiashara. Baada ya Magufuli wakaja na mapambio ya mama anaiponya nchi.
Watulie wakati nchi inaendelea kuponywa.
Itakuwa masauni kamtumaNgoja tuone Jeshi la Police litawapa kesi gani ..... Kesi za uchochezi zote zimebua. Waje na kesi za madai kama wanakifua...!!
Unalijua jina la CAG Mstaafu Prof Assad kwenye Cheti chake Cha kuzaliwa?!Alisoma na akapata gentleman's degree yaani GPA chini ya 3.0!! Ambayo sio tatizo ila changamoto ni hilo jina Paul Makonda alilipata kupitia deed poll na sio kwamba ndio lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa!!
Hao watu ni kama wewe,Slow Slow na Bashite
Majizi, majambaz, mafisadi, wafanyakaz hewa,vyeti fake,machawa wa mafisadi. Hiyo ndio lists ya watu wapumbavu na wajinga wanaomtukana JPM mitandaoni. Mnamtukana marehemu JPM kwa kuwa hamna akili. Hamjui kuwa Yule marehemu kule mitaani na kwa wananchi ameacha symbols ambazo hazitafutika. Yaan mnataka kuwafanya wananchi wawe wajinga na wapumbavu kama nyingi ambao hamjafanya lolote zaid ya kuiba tu mali za umma na kuuwa watu??Hujui unaongea nini,nyamaza tuu
πππMaana yake: Pigana na System ya CCM usipigane na mtu mmoja. Ondoa CCM nchi itakuwa salama.
Aliyemuua Sokoine ni CCM (system)
Aliyemuua Balali (system)
Aliyemuua Kombe (system)
Aliyempiga risasi Tundu Lisu (system)
Watekaji wote: Ni System
System iliyowekwa na CCM, huwa inaendelezwa tu. Ukiua CCM system kwisha
Don't fight Kikwete, Magufuli, samia - Fight the System ==>> CCM
Punguza munkari.Dah!
Hili andiko lako hili limenisikitisha sana, maana ni sawa na kusema kuwa ukishashangilia upande mmoja kwa yale unayoona ni mazuri, huna ruhusa tena ya kushangilia au kuponda ya upande wa pili.
Hii ni akili ya namna gani hii? Mtu huruhusiwi kuwa na akili huru na ukaitumia kutafakari na kuamua lipi unaliona ni zuri au baya bila kujali ni nani analifanya jambo hilo?
Kamwe sikubaliani na ujinga huu.
Kila siku tunapiga kelele nyingi humu juu ya CCM hii hii; bila kujali kiongozi wake mkuu ni nani. Tulisha andika mara nyingi, kwamba matatizo yetu ya msingi sasa hivi yanatokana na chama hiki, ambacho kila anayeingia ndani na kuwa kiongozi wake anafanya uchafu wake anaotaka kuufanya kivyake. Sasa watu tuzuiwe kusema uchafu huo kwa vile umefanyika chini ya kiongozi kipenzi chetu?
Hopeless Kabisa!
hv Muliro huwa anatazama nn mbele yake kiasi kwamba mara kwa mara huwa anaZOOM 80000K!Pupili yote huwa anaitoaπ€£π€£π€£π€£Jeshi la polisi na ndugu wameeleza huyo Jacob na Malisa wanajua kuliko ndugu?
View: https://www.youtube.com/live/Kkw66oriBPQ?si=FWu4ym-SvKG7z7iH
Tena na kamanda awepo kwenye kuulizwa maswali.Safi sn nataka Kibatala akaulize maswali yake mahakamani
Wangewakamata tu wakawahoji na kuwapeleka mahakamani. Hizi anafanya siasa. Jeshi liachane na siasaJeshi la polisi na ndugu wameeleza huyo Jacob na Malisa wanajua kuliko ndugu?
View: https://www.youtube.com/live/Kkw66oriBPQ?si=FWu4ym-SvKG7z7iH
Jambazi Mkuu alikuwa Ngosha na genge lake walipiga risasi mtu hadharani mchana kweupe pee eneo lenye ulinzi.Tabia za kishenzi mlikuwa nazo nyie majambaz. Kikwete aliwaruhusu majambaz kuuwa watu wengi sana pale mlimani city na kuwaibia pesa. Biashara, ya uwakala wa, pesa ilikuwa, ngumu. Vivaa,JPM.
Naona majambaz mliosumbua wakati wa Kikwete nimewagusa.Mnaanza kutoka mapangoni. Pole sana, naona kwa sasa huna kitu. JPM aliwadhibiti kabisa. Watu wakafanya biashara nzuri ya uwakala na Benji. Na mkianza tena, Wambura, atawashughulikia vizuri.Jambazi Mkuu alikuwa Ngosha na genge lake walipiga risasi mtu hadharani mchana kweupe pee eneo lenye ulinzi.
Hilo ndo lilikuwa jambzi kuu na ndo sabb lilikufa kifo cha kizembe kabisa!
Umeandika kiingereza cha kiwango kama cha PhD fake ya MaguAll in all, he is the best president ever in our country. Few people who don't have a significant impact criticized JPM. However the majority of the Tanzanian witnessed him as, a, hero. Regard.
Ngosha alitudhibiti!?Naona majambaz mliosumbua wakati wa Kikwete nimewagusa.Mnaanza kutoka mapangoni. Pole sana, naona kwa sasa huna kitu. JPM aliwadhibiti kabisa. Watu wakafanya biashara nzuri ya uwakala na Benji. Na mkianza tena, Wambura, atawashughulikia vizuri.