Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Kuna mambo Mawili muhimu sana,

Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.

Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa.

Kesi hii tutajifunza mambo mengi sana ya kimfumo kuanzia tuanze Siasa za Vyama Vingi.

Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na hata sasa ni Mushi Shujaa hayupo.

Mungu wa Mbinguni awabariki ufuatiliaji kwa Haki.

Ahsanteni. 🐼

Ngoja tuone Jeshi la Police litawapa kesi gani ..... Kesi za uchochezi zote zimebua. Waje na kesi za madai kama wanakifua...!!
 
Hao watu ni kama wewe,Slow Slow na Bashite
All in all, he is the best president ever in our country. Few people who don't have a significant impact criticized JPM. However the majority of the Tanzanian witnessed him as, a, hero. Regard.
 
Unadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
😀😀😀😀😀😀
So akili zako zimekutuma kuwa maisha yangu nataka yawe kama ya Bashite? Kawa wewe hiyo ni ndoto yako usitake au kudhani ni ndoto ya kila mtu. Wengine tuna akili timamu aisee, kuna watu wanaona Jiwe ni shujaa wao lakini unawatizama tu kwani ni haki yao,kuna watu mpaka wanajiita wanyonge 😂😂😂
 
Kwani Makonda hakusoma Ushirika Moshi?
Alisoma na akapata gentleman's degree yaani GPA chini ya 3.0!! Ambayo sio tatizo ila changamoto ni hilo jina Paul Makonda alilipata kupitia deed poll na sio kwamba ndio lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa!!
 
Unadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
We naye akili hauna kabisa, kwahiyo hata fisadi akiwa na hela nyingi tusimkosoe kasi ametuzidi mafanikio? Kwa akili hizi mbovu Acha tu mafisadi yaendelee kuiba.
 
Umenena.

Juzi Maranja Masese kaja na makala ndefu kuelezea majambazi yanavyofilisi mabenki kwa kuchukua mikopo kisha kukimbilia mahakamani kuzuia kulipa pesa waliyokopa.

Masese kaandika kwenye makala yake kwamba majambazi haya wakati wa Magufuli yalifungwa, kufilisiwa na mengine kuikimbia nchi.

Ni kina Masese hawahawa walioimba wakati wa Magufuli kwamba anakandamiza biashara na kupora mali za wafanyabiashara. Baada ya Magufuli wakaja na mapambio ya mama anaiponya nchi.

Watulie wakati nchi inaendelea kuponywa.
Dah!
Hili andiko lako hili limenisikitisha sana, maana ni sawa na kusema kuwa ukishashangilia upande mmoja kwa yale unayoona ni mazuri, huna ruhusa tena ya kushangilia au kuponda ya upande wa pili.

Hii ni akili ya namna gani hii? Mtu huruhusiwi kuwa na akili huru na ukaitumia kutafakari na kuamua lipi unaliona ni zuri au baya bila kujali ni nani analifanya jambo hilo?

Kamwe sikubaliani na ujinga huu.

Kila siku tunapiga kelele nyingi humu juu ya CCM hii hii; bila kujali kiongozi wake mkuu ni nani. Tulisha andika mara nyingi, kwamba matatizo yetu ya msingi sasa hivi yanatokana na chama hiki, ambacho kila anayeingia ndani na kuwa kiongozi wake anafanya uchafu wake anaotaka kuufanya kivyake. Sasa watu tuzuiwe kusema uchafu huo kwa vile umefanyika chini ya kiongozi kipenzi chetu?

Hopeless Kabisa!
 
Alisoma na akapata gentleman's degree yaani GPA chini ya 3.0!! Ambayo sio tatizo ila changamoto ni hilo jina Paul Makonda alilipata kupitia deed poll na sio kwamba ndio lipo kwenye cheti chake cha kuzaliwa!!
Unalijua jina la CAG Mstaafu Prof Assad kwenye Cheti chake Cha kuzaliwa?!
 
Hao watu ni kama wewe,Slow Slow na Bashite

Hujui unaongea nini,nyamaza tuu
Majizi, majambaz, mafisadi, wafanyakaz hewa,vyeti fake,machawa wa mafisadi. Hiyo ndio lists ya watu wapumbavu na wajinga wanaomtukana JPM mitandaoni. Mnamtukana marehemu JPM kwa kuwa hamna akili. Hamjui kuwa Yule marehemu kule mitaani na kwa wananchi ameacha symbols ambazo hazitafutika. Yaan mnataka kuwafanya wananchi wawe wajinga na wapumbavu kama nyingi ambao hamjafanya lolote zaid ya kuiba tu mali za umma na kuuwa watu??

Wapumbavu nyie, sikilizeni niwambie ukweli.Mungu ni wa wote. Mwaka 2021 alikufa JPM kuna wajinga walishangilia, lakin mpaka sasa, ni marehemu pia. Kila mtu atakufa, na hakuna atakayebaki. Kwa hiyo waambieni wapumbavu fulani ambao wamestaafu lakin wanajifanya kutupangia uongozi kwamba, Mungu wa mbinguni atawaondoa.
 
Maana yake: Pigana na System ya CCM usipigane na mtu mmoja. Ondoa CCM nchi itakuwa salama.
Aliyemuua Sokoine ni CCM (system)
Aliyemuua Balali (system)
Aliyemuua Kombe (system)
Aliyempiga risasi Tundu Lisu (system)
Watekaji wote: Ni System

System iliyowekwa na CCM, huwa inaendelezwa tu. Ukiua CCM system kwisha

Don't fight Kikwete, Magufuli, samia - Fight the System ==>> CCM
👍👏🙏
 
Dah!
Hili andiko lako hili limenisikitisha sana, maana ni sawa na kusema kuwa ukishashangilia upande mmoja kwa yale unayoona ni mazuri, huna ruhusa tena ya kushangilia au kuponda ya upande wa pili.

Hii ni akili ya namna gani hii? Mtu huruhusiwi kuwa na akili huru na ukaitumia kutafakari na kuamua lipi unaliona ni zuri au baya bila kujali ni nani analifanya jambo hilo?

Kamwe sikubaliani na ujinga huu.

Kila siku tunapiga kelele nyingi humu juu ya CCM hii hii; bila kujali kiongozi wake mkuu ni nani. Tulisha andika mara nyingi, kwamba matatizo yetu ya msingi sasa hivi yanatokana na chama hiki, ambacho kila anayeingia ndani na kuwa kiongozi wake anafanya uchafu wake anaotaka kuufanya kivyake. Sasa watu tuzuiwe kusema uchafu huo kwa vile umefanyika chini ya kiongozi kipenzi chetu?

Hopeless Kabisa!
Punguza munkari.

Nimeandika nilichoandika nikilenga wale waliodhani kundoka kwa Magufuli atakuwa ameondoka na matatizo yote, wale waliodhani Magufuli ndiye kiini cha matatizo yote. Huyo masese ni mmoja wao.

Ccm ni ileile.
 
Tabia za kishenzi mlikuwa nazo nyie majambaz. Kikwete aliwaruhusu majambaz kuuwa watu wengi sana pale mlimani city na kuwaibia pesa. Biashara, ya uwakala wa, pesa ilikuwa, ngumu. Vivaa,JPM.
Jambazi Mkuu alikuwa Ngosha na genge lake walipiga risasi mtu hadharani mchana kweupe pee eneo lenye ulinzi.
Hilo ndo lilikuwa jambzi kuu na ndo sabb lilikufa kifo cha kizembe kabisa!
 
Jambazi Mkuu alikuwa Ngosha na genge lake walipiga risasi mtu hadharani mchana kweupe pee eneo lenye ulinzi.
Hilo ndo lilikuwa jambzi kuu na ndo sabb lilikufa kifo cha kizembe kabisa!
Naona majambaz mliosumbua wakati wa Kikwete nimewagusa.Mnaanza kutoka mapangoni. Pole sana, naona kwa sasa huna kitu. JPM aliwadhibiti kabisa. Watu wakafanya biashara nzuri ya uwakala na Benji. Na mkianza tena, Wambura, atawashughulikia vizuri.
 
All in all, he is the best president ever in our country. Few people who don't have a significant impact criticized JPM. However the majority of the Tanzanian witnessed him as, a, hero. Regard.
Umeandika kiingereza cha kiwango kama cha PhD fake ya Magu
 
Naona majambaz mliosumbua wakati wa Kikwete nimewagusa.Mnaanza kutoka mapangoni. Pole sana, naona kwa sasa huna kitu. JPM aliwadhibiti kabisa. Watu wakafanya biashara nzuri ya uwakala na Benji. Na mkianza tena, Wambura, atawashughulikia vizuri.
Ngosha alitudhibiti!?
Yuko wp sasa!
Kafa kizembe namna ile ndo unasema alidhibiti mtu!
Mshamba flani kutoka huko kama na tabia zake za kishetani na kafilia zake mbali na usheitani wake wote kenda nao Chato katuacha na furaha tele.
Kwetu kila siku ni sherehe tu tokea limekufa hilo shetani lenu la Chato.
Kiko wp bhana!
Unakuja mjini tunakuona tunakufundisha mpk jinsi ya kula chapati kwa mchuzi halafu unataka kutuharibia furaha zetu.
Ikikuuma sana mfate kazikwe na ni rahisi zaidi kuliko kudhani eti ipo siku lile shetani linaweza likarudi tena kwenye nchi tukufu
 
Back
Top Bottom