Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Kukamatwa kwa Malisa na Boniface Jacob kutatoa fursa ya kuujua ukweli maana Magufuli alisingiziwa mengi na wapinzani wake

Kuna mambo Mawili muhimu sana,

Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.

Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa.

Kesi hii tutajifunza mambo mengi sana ya kimfumo kuanzia tuanze Siasa za Vyama Vingi.

Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na hata sasa ni Mushi Shujaa hayupo.

Mungu wa Mbinguni awabariki ufuatiliaji kwa Haki.

Ahsanteni. 🐼
Tumefikia patamu,wasiojulikana sasa wamejulikama!!
 
Ngosha alitudhibiti!?
Yuko wp sasa!
Kafa kizembe namna ile ndo unasema alidhibiti mtu!
Mshamba flani kutoka huko kama na tabia zake za kishetani na kafilia zake mbali na usheitani wake wote kenda nao Chato katuacha na furaha tele.
Kwetu kila siku ni sherehe tu tokea limekufa hilo shetani lenu la Chato.
Kiko wp bhana!
Unakuja mjini tunakuona tunakufundisha mpk jinsi ya kula chapati kwa mchuzi halafu unataka kutuharibia furaha zetu.
Ikikuuma sana mfate kazikwe na ni rahisi zaidi kuliko kudhani eti ipo siku lile shetani linaweza likarudi tena kwenye nchi tukufu
Wewe mpumbavu Kwani kwenu huwa watu hawafi;acheni argument za kipumbavu,huyo unaye mwita mshamba amekuwa Rais wa nchi wewe mjanja kwenu nani amewahi kuwa Rais!!
 
Punguza munkari.

Nimeandika nilichoandika nikilenga wale waliodhani kundoka kwa Magufuli atakuwa ameondoka na matatizo yote, wale waliodhani Magufuli ndiye kiini cha matatizo yote. Huyo masese ni mmoja wao.

Ccm ni ileile.
Kwa hiyo kimsingi tunakubaliana kabisa! Adui wa nchi hii ni hiki chama cha CCM, kipo chini ya makundi yanayopokezana kwa zamu kuvuruga nchi yetu.
 
Kuna watu maboya kama huyo bonny.
Walileta ugomvi sana pale karimjee kisa kanyimwa umeya,mwingine sijui alijiita lord mayor.
Magu akaanza nao mbere..
 
Ngosha alitudhibiti!?
Yuko wp sasa!
Kafa kizembe namna ile ndo unasema alidhibiti mtu!
Mshamba flani kutoka huko kama na tabia zake za kishetani na kafilia zake mbali na usheitani wake wote kenda nao Chato katuacha na furaha tele.
Kwetu kila siku ni sherehe tu tokea limekufa hilo shetani lenu la Chato.
Kiko wp bhana!
Unakuja mjini tunakuona tunakufundisha mpk jinsi ya kula chapati kwa mchuzi halafu unataka kutuharibia furaha zetu.
Ikikuuma sana mfate kazikwe na ni rahisi zaidi kuliko kudhani eti ipo siku lile shetani linaweza likarudi tena kwenye nchi tukufu
Yaan ww ndio huna huwezo wa kufikiri. Na, haukutakiwa kusema hivyo. Mungu ni wa wote. Toka JPM afariki, mpaka Leo kuna watu walifanya sherehe siku ya, msiba wake. Lakin pia wamesha afariki. Kwa hiyo ww ulitakiwa umshukuru Mungu kwa kukupa uhai. Kifo sio cha kutamba kwamba ww hautakufa. Kifo ni muda wowote. Kwa, hiyo kama ww ni jambazi , au ilikuwa na vyeti fake. Jaribu tu kujirekebisha. Ili Uwe mtu mwema. Lakin ukijifanya kuwa unasherekea JPM kufa utakufa , siku si nyingi. Mungu hadhiakiwi.
 
Unadhani wewe na ukoo wako mnafikia maisha na mafanikio Makonda? Ulishaona wapi mkuu wa mkoa anaongea yuko tayari kuwa mkuu wa mkoa hata wa siku moja? Hapo inaonesha hana njaa kama wewe!
Sasa kama hutegemei vyeti kwa nini uko hapa unalialia kama mtoto wa kike!?
Mafala kama wewe ndio matatizo yote yanapoanzia, huyo bwana yako Makonda ana Nini? kama ni hela zitakuwa ni wizi mtupu maana hana biashara yeyote inayoeleweka zaidi ya mshahara, na Cha maana anachofanya zaidi ya kupiga kelele na uchawa Kwa waliompa cheo hana lolote la maana, huyo bwege wako Makonda ndio wale mwalimu alisema hawafai hata Kuwa katibu kata, hata Kwa JPM alikuwa zigo mwisho wake alipigwa nje, angalia sasa hata Samia pale Arusha naona ilikuwa ndio last straw, nani mwenye akili anaweza kuongea upumbavu kama Makonda pale Arusha, hafai yule ni mjinga sana
 
Kuna mambo Mawili muhimu sana,

Mosi: Amri ya kukamatwa Meya wa zamani wa Ubungo Mh. Boniface Jacob na Mwanaharakati mwingine wa CHADEMA Mh. Malisa iliyotolewa na Kamanda wa Kanda maalum ya Dar juu uzushi wao kwamba Polisi walihusika kifo cha mtu aitwaye Mushi.

Pili: Mwanasheria Nguli Wakili Msomi Mwabukusi kuwa Wakili wa Bonny na Malisa.

Kesi hii tutajifunza mambo mengi sana ya kimfumo kuanzia tuanze Siasa za Vyama Vingi.

Ikumbukwe wakati wa Mwangosi Shujaa Magufuli hakuwepo na hata sasa ni Mushi Shujaa hayupo.

Mungu wa Mbinguni awabariki ufuatiliaji kwa Haki.

Ahsanteni. 🐼
Una maono makubwa naona tuwaazime chadema kwa muda uwasadie kuweka sawa chama chao!
 
Ngosha alitudhibiti!?
Yuko wp sasa!
Kafa kizembe namna ile ndo unasema alidhibiti mtu!
Mshamba flani kutoka huko kama na tabia zake za kishetani na kafilia zake mbali na usheitani wake wote kenda nao Chato katuacha na furaha tele.
Kwetu kila siku ni sherehe tu tokea limekufa hilo shetani lenu la Chato.
Kiko wp bhana!
Unakuja mjini tunakuona tunakufundisha mpk jinsi ya kula chapati kwa mchuzi halafu unataka kutuharibia furaha zetu.
Ikikuuma sana mfate kazikwe na ni rahisi zaidi kuliko kudhani eti ipo siku lile shetani linaweza likarudi tena kwenye nchi tukufu
Umefirw** sio Bure dogo
 
Kwa hiyo kimsingi tunakubaliana kabisa! Adui wa nchi hii ni hiki chama cha CCM, kipo chini ya makundi yanayopokezana kwa zamu kuvuruga nchi yetu.
Kwamba ccm ni adui hilo halina ubishi, nisilo na hakika nalo ni kama tukimwondoa ccm tutakuwa tumemaliza tatizo.

Nikiangalia kundi alilokwenda nalo chadema lowasa 2015, inanipa mashaka kama chadema ingeshika madaraka mwaka ule tungepata unafuu.

Tatizo linaweza kuwa tuna adui mwingine mkubwa zaidi ya ccm ambaye hatujamtambua, ubinafsi.
 
Kuhusu hili la CCM kuwa adui mkuu wa nchi sina wasiwasi nalo kabisa.
Kinachotakiwa kufanywa ni kumwondoa adui huyu tujipange upya.
CCM amakuwa adui, kwa sababu hata kutoa nafasi tu atuache kidogo tupumue hataki. Tukipata nafasi ya kumwengua adui huyu, hao watakaoshika madaraka wapya watakuwa hawajajipanga kutuweka mateka kama alivyofanya CCM sasa hivi.
Kazi muhimu inayotakiwa kufanyika, ni kumsambaratisha aliye tuweka mateka kwanza, ili tupate pumzi ya kujipanga na kuendelea na maisha yetu upya.

Lowasa angeingia pale, tungeweza kumwondoa kirahisi kama angeleta uhayawani. CCM, hata kumwondoa tu hatuwezi! Hii ni tabu kubwa.
Mimi nilikuwa nawahimiza CHADEMA watufanyie kazi hiyo, kwa sababu walikuwa wamefika kwenye hatua ya matumaini sana kabla ya Mbowe kwenda kwenye mazungumzo ya "Maafikiano".
Badala yake, maafikiano ya Mbowe na Samia sasa ni kutunyonga zaidi wakiwa kwenye serikali yao ya UMOJA, watakayoiunda 2025! Hii imekuwa balaa kwetu sote.

Adui mkubwa zaidi ya CCM = UBINAFSI, wa nani? Huu "ubinafsi" unaweza kutuweka mateka sisi wote kama CCM walivyotuteka? "Ubinafsi" wetu sote, raia wa nchi hii? Bado nashindwa kuelewa.
 
Adui mkubwa zaidi ya CCM = UBINAFSI, wa nani? Huu "ubinafsi" unaweza kutuweka mateka sisi wote kama CCM walivyotuteka? "Ubinafsi" wetu sote, raia wa nchi hii? Bado nashindwa kuelewa.
Ubinafsi ni tatizo la watanzania walio wengi, na hii wengi inaweza kuwa zaidi ya asilimia 90.

Leo ukipewa nafasi ukaitumikia kwa uaminifu pasipo kuiba, jamii inakuona huna akili, hata mkeo anaweza kukuona huna akili.

Wezi ndio wamegeuka mashujaa nchini, wanapewa viti vya mbele hata kwenye nyumba za ibada. Hata hayo maridhiano ya mbowe na ccm yalisukumwa na ubinafsi, mbowe kaangalia atapata nini na chama chake bila kujali maslahi ya jamii pana.

Bila jamii kubadilika na kuachana na huu ubinafsi tutaendelea kwenye mzunguko huohuo hata tungebadili vyama mara ngapi.
 
Ngoja tuone Jeshi la Police litawapa kesi gani ..... Kesi za uchochezi zote zimebua. Waje na kesi za madai kama wanakifua...!!
Tufanye Malisa GJ na Boniface Jacob wamepotosha jamii, tufanye hivyo yaani kirahisi.....

Kauli ya SACP Muliro, ina utata sana ukimsikiliza kwa sikio la ndani, baada ya kupotea Robert Mashuhuda walidai alichukuliwa Kariakoo na Watu waliojitambulisha kuwa Polisi .........

Taarifa ya Muliro kwa vyombo vya habari ni kwamba Robert aligongwa na gari , akaenda mbali zaidi na kusema baada ya kuokota mwili wa Robert waliupeleka hospital ya Amana wakaambiwa majokofu yamejaa hvyo wakapeka mwili walipotaka wao....,Mkurugenzi wa hospital ya amana alipoulizwa akasema haijawahi kutokea Mochwari kujaa pale ,unajiuliza ni nani anaye potosha jamii mpaka sasa hivi??

Nani Mpotoshaji kati ya hawa watu watatu?
Kwa hii SAGA Maswali ni mengi sana......

1.Muliro alijuaje ni gari lilimgonga Robert na si mbwa alimrarua?

2.Mpaka sasa mwili haujazikwa ,nwili una majeraha ya kupigwa au ni majeraha ya kugongwa gari?

Kama hukuwahi kutokewa na matukio kama haya ni bora unyamaze kimya watu wanaumizwa nyie watu.....
Una neno gani juu ya SAGA hii??

Hivi Wananchi tunapokuwa na mashaka na hawa Police nani mwenye dhamana ya kuwachunguza hawa Police!??
Katiba Mpya
Katiba Mpya
Katiba Mpya inahitajika haraka sanaa thamani ya Watanzania haipo!!
 
Kuna watu maboya kama huyo bonny.
Walileta ugomvi sana pale karimjee kisa kanyimwa umeya,mwingine sijui alijiita lord mayor.
Magu akaanza nao mbere..
Sasa mbona magu anajiozea huko alijua yeye Mungu? Sasa nae Mungu akapita nae shenzi!!
 
Wewe mpumbavu Kwani kwenu huwa watu hawafi;acheni argument za kipumbavu,huyo unaye mwita mshamba amekuwa Rais wa nchi wewe mjanja kwenu nani amewahi kuwa Rais!!
Kuwa Rais wala hakukutoi ushamba na mana alikufa mshamba limbukeni.
Are you sure kwamba kwetu hatujatoa Rais?
 
Back
Top Bottom