Frustration
JF-Expert Member
- Jan 30, 2018
- 3,134
- 4,124
- Thread starter
-
- #21
Serikali imesema watalii waje tu Tanzania hakuna uhalifu wa aina yoyoteMwenzao ana kesi hapa nchini, akina kibatala wanajitahidi kumnasua, halafu habari za maendeleo zimekuwa nyingi, nafasi katika vyombo vya habari zimejaa
Nikajua wanamgambo.Kwenye picha
Wanamgambo mjimwambafai hivyo mtaani? Sema namna walivyovaa chini inachekesha hivi mfano wamevamiwa ghafla hapo na flip flop hizo watakimbiaje maana sio kuwakimbizaNikajua wanamgambo.
Ili kuonyesha hatuungi mkono matukio haya ilitubidi tukemee vibayaLabda hawajaripoti kwasababu za kizalendo
Hii comment haina mantiki na ibadilisheUislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Duh.Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania. Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado...
Waandishi wetu wa habari simpaka watumiwe usafiri hata wa daladala ndio waende sehemu ya tukio?Ili kuonyesha hatuungi mkono matukio haya ilitubidi tukemee vibaya
Kwani waliokamatwa wanapigania nini mkuu?Hii comment haina mantiki na ibadilishe
Kwani Msumbiji hakuna waandishi wa habari wanaoendana nao?Waandishi wetu wa habari simpaka watumiwe usafiri hata wa daladala ndio waende sehemu ya tukio?
Kumbuka yaliyotokea Mwanza wiki ya jana
Wao ni kama wachawi tu hawana sababu ila ukilegalega wanabeba nchi#taliban. Ni makundi yenye itikadi ya siasa kivuli na dini mwavuliKwani waliokamatwa wanapigania nini mkuu?
Waliosema Ali ni mtanzania sio BBC bali ni jeshi la MSUMBIJI, serikali yetu inabidi ifuatilie kama kweli ni Mtanzania kweli. Kama ni mtanzania kweli anatoka mkoa gani, familia gani ma ukoo gani? TERRORISM is not Tourism as Tanzanian police knows.Bila picha ni uzushi! BBC siyo wa kuaminiwa kivile!
ALI wapo wangapi duniani? KIPI kinathibitisha ni mtanzania??
Hii ni tetesi tu
Hadi sasa amefahamika kwa jina moja tu la Ali ila bado naendelea kufuatilia huko msumbiji japo hali ya usalama haipo poa
Ahaa. SawaHadi sasa amefahamika kwa jina moja tu la Ali ila bado naendelea kufuatilia huko msumbiji japo hali ya usalama haipo poa
Tzn kuzalisha magaidi haijaanza leo,wengi wao hutoka Tanga,Zenji na Pwani huko .Usiwaamini sana
Hawakupaswa kutangaza, huo ni uharibifu wa masuala ya kiintellijinsia, hapo ni kama wamewapa alert wenzake na Ali, kuwa kimeumana Ali yupo mikononi mwa vyombo, atakavyoteswa atawataja woteee!Waliosema Ali ni mtanzania sio BBC bali ni jeshi la MSUMBIJI, serikali yetu inabidi ifuatilie kama kweli ni Mtanzania kweli. Kama ni mtanzania kweli anatoka mkoa gani, familia gani ma ukoo gani? TERRORISM is not Tourism as Tanzanian police knows.