Iwensanto
JF-Expert Member
- Mar 7, 2019
- 1,228
- 1,157
Silo hana ajualo
Sirro mwenyewe alishasema huko Msumbiji Kuna magaidi kibao kutoka bongo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sirro mwenyewe alishasema huko Msumbiji Kuna magaidi kibao kutoka bongo.
Umbeya ni habari ya kweli inayosemwa sehemu ambayo haikukusudiwa.umbeya
Nani kathibitisha uraia wa huyo jamaa- au kuongea Kiswahili ndio uthibitisho wa Uraia. Mambo haya hayaitaji papara- viache vyombo vya habari vifanye kazi yao ya uhakiki wa Taarifa. Vyombo vya Tz vikitangaza bila uhakika ni kwa faida ya nani? Wanalichafua Taifa gani? BBC wao wapo kwenye mashindano ya breaking news- ya vyombo vya habari vya kimataifa.Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania.
Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado.
Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na kundi la Islamic State, maafisa wa kijeshi wameeleza.
Amesema alikuwa mmoja wa viongozi wa wanamgambo ambao kazi yao ilikuwa kuajiri wapiganaji na kutekeleza mashambulizi ya moja kwa moja.
Kukamatwa kwake kunakuja huku kukiwa na hali mbaya ya usalama katika wilaya hiyo, na mfululizo wa mashambulizi ya wanajihadi katika siku za hivi karibuni.
View attachment 2087503
Silo vs SirroSilo hana ajualo
Magaidi ni kama panyaroad hawana jeshi maalumu wao uvizia ushambulia na kupoteaHivi vijamaa mbona ni kama vya hovyo hovyo tu, nashangaa vinalisumbuaje jeshi la Msumbiji!
Kwann sasa walimuua Azory aliyetaka kutoa Siri za kuuwa kwa watu wasio na hatia kwa kuhisiwa tu.Serikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.
Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.
Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.
Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].
Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.
Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.
Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.
Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.
Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.
Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?
Lini na nini hatma yake?
Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.
MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.
Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.
Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
WELL SAIDSerikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.
Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.
Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.
Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].
Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.
Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.
Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.
Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.
Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.
Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?
Lini na nini hatma yake?
Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.
MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.
Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.
Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
Bora ukalime bange kuliko kujiunga na makundi ya hao wahuni mbona huwa awalipwi chochote zaidi ya ugali maharagwe baada ya kulambishwa propaganda feki.Kuna ajira na kazi, tofautisha vitu hivyo. Ukikosa ajira unaweza ukapata au ukafanya kazi badala ya kujiingiza kwenye makundi haya ya kihalifu
BBC sio Tbc taarifa zao huwa ni za uhakika wanzifanyia uchunguzi.Nani kathibitisha uraia wa huyo jamaa- au kuongea Kiswahili ndio uthibitisho wa Uraia. Mambo haya hayaitaji papara- viache vyombo vya habari vifanye kazi yao ya uhakiki wa Taarifa. Vyombo vya Tz vikitangaza bila uhakika ni kwa faida ya nani? Wanalichafua Taifa gani? BBC wao wapo kwenye mashindano ya breaking news- ya vyombo vya habari vya kimataifa.
Umechanganya hapa ugaidi sio uislamu bali gaidi anaweza kuwa muislamu au dini yeyeto.Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Rwanda wazee wa misitu ya Congo wapo huko wataweka mambo sawa.Hadi sasa amefahamika kwa jina moja tu la Ali ila bado naendelea kufuatilia huko msumbiji japo hali ya usalama haipo poa
Himaya ya Dunia kutaka raha za dunianiKwani waliokamatwa wanapigania nini mkuu?
Kwann wachonganishe wakichonganisha watavunaje sasa hizo raslimali.Huyo hawezi kuwa MTanzania, shida hapo ni hiyo rasilimali ya mafuta/gesi huko Cabo delgado, na mabeberu ndio yanatuchonganisha wenyewe kwa wenyewe huku yanafyonza tu, kila mtu atumie akili zake vizuri.
Tumwamini sana huyu?👇🤡🤡🤡Usiwaamini sana
Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Tza chuo cha kuandaa madikteta, madikteta wote waliopindua nchi zao wametokea wamepikwa Tza.Kwani tanzania si ndiyo kiwanda cha kupika na kuwaanda ‘magaidi’ ambao baadaye wakisha pindua serikali zao wanakuwa ma rais. Akina machel, M7, kabila, netto hawa woote waliku aga ‘magaidi’
Hizo silaha za kisasa wapate wapi hao wahuni silaha zao kubwa ni kufanya vitendo vya kikatili na kurekodi video na kutuma Ili kutisha watu.wana silaha bora kuliko hata siri kali zetu [emoji3] na rushwa ndo silaha yao ya pili yaan wanawatumia wale wenye njaa kote serikalini.na mtaani ili kujipatia taarifa mbali mbali , na hata wana watu maalum kbs wa propaganda ambao wengine tuko nao humu na kwingineko , plus hutumia madai ya jamii ili.kujiongezea support ya wananchi ,unaambiwa wakipateka sehemu basi watu wanaoisha hizo sehemu huishi maisha ya bata sana kwa kuwaletea vyakula bure kutoka wanapoenda kushbulia , SO HAO WATU WAMEJIPANGA NA TUSIOMBE SIKU WAKAFANIKIWA KUKAMATA SEHEMU HUKU KWETU TZ , NDO WATACHIMBIA MIZIZI NA KUWATOA ITAKUWA NGUMU ,USISAHAU NI DUNIANI KOTE , WAKITOKEA HAWA JAMAA HUWEZI KUWALIZA KWA JESHI LA NDANI MAANA MPK WANAJIONESHA HADHARANI BASI UJUE WAMEJIWEKEA MIZIZI KILA IDARA YA SERIKALI NA JESHINI
uhalifu ni ajira?Ukosefu wa ajira watu wanafanya chochote, tujitazame vijana wanaingia kwwnyw uhalifu.