Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

Kukamatwa kwa Mtanzania Kiongozi wa Waasi nchini Msumbiji: Kwanini hakuripotiwi na Vyombo vyetu?

Habarini za Asubuhi Watanzania wenzangu, BBC wameripoti kupatikanika kwa kiongozi wa waasi ambaye ni raia wa Tanzania.

Vikosi vya jeshi la Msumbiji vinasema kuwa vimemkamata kiongozi wa kijihadi, raia wa Tanzania, katika wilaya ya Nangade kaskazini mwa jimbo la Cabo Delgado.

Kiongozi huyo mwenye umri wa miaka 39, anayejulikana kama Ali, alikamatwa pamoja na wanamgambo wengine wa Kiislamu sita wenye uhusiano na kundi la Islamic State, maafisa wa kijeshi wameeleza.

Amesema alikuwa mmoja wa viongozi wa wanamgambo ambao kazi yao ilikuwa kuajiri wapiganaji na kutekeleza mashambulizi ya moja kwa moja.

Kukamatwa kwake kunakuja huku kukiwa na hali mbaya ya usalama katika wilaya hiyo, na mfululizo wa mashambulizi ya wanajihadi katika siku za hivi karibuni.

View attachment 2087503
Nani kathibitisha uraia wa huyo jamaa- au kuongea Kiswahili ndio uthibitisho wa Uraia. Mambo haya hayaitaji papara- viache vyombo vya habari vifanye kazi yao ya uhakiki wa Taarifa. Vyombo vya Tz vikitangaza bila uhakika ni kwa faida ya nani? Wanalichafua Taifa gani? BBC wao wapo kwenye mashindano ya breaking news- ya vyombo vya habari vya kimataifa.
 
Serikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.

Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.

Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.

Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].

Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.

Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.

Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.

Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.

Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.

Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.

Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?

Lini na nini hatma yake?

Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.

MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.

Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.

Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
Kwann sasa walimuua Azory aliyetaka kutoa Siri za kuuwa kwa watu wasio na hatia kwa kuhisiwa tu.
 
WELL SAID
 
Kuna ajira na kazi, tofautisha vitu hivyo. Ukikosa ajira unaweza ukapata au ukafanya kazi badala ya kujiingiza kwenye makundi haya ya kihalifu
Bora ukalime bange kuliko kujiunga na makundi ya hao wahuni mbona huwa awalipwi chochote zaidi ya ugali maharagwe baada ya kulambishwa propaganda feki.
 
Nani kathibitisha uraia wa huyo jamaa- au kuongea Kiswahili ndio uthibitisho wa Uraia. Mambo haya hayaitaji papara- viache vyombo vya habari vifanye kazi yao ya uhakiki wa Taarifa. Vyombo vya Tz vikitangaza bila uhakika ni kwa faida ya nani? Wanalichafua Taifa gani? BBC wao wapo kwenye mashindano ya breaking news- ya vyombo vya habari vya kimataifa.
BBC sio Tbc taarifa zao huwa ni za uhakika wanzifanyia uchunguzi.
Check BBC eyes kwa taarifa zote za uchunguzi.
Huyo Ali mbona anafahamika kwa wakazi wa vijijini jirani na Msumbiji hata familia yake inafahamika.Ni muhuni fulani hivi asiyeijua dini zaidi ya mambo ya kuiga.
 
Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Umechanganya hapa ugaidi sio uislamu bali gaidi anaweza kuwa muislamu au dini yeyeto.
Hakuna gaidi anaepigania dini wote ni wahuni tu upingana na dini.
 
Hadi sasa amefahamika kwa jina moja tu la Ali ila bado naendelea kufuatilia huko msumbiji japo hali ya usalama haipo poa
Rwanda wazee wa misitu ya Congo wapo huko wataweka mambo sawa.
Soon watz watarejea mtupweshi,macimboa,nk kuchimba ruby watajirike.
Ni wahuni wachache awafiki hata 1000 vijana wa Kagame watashughulikia mwaka huu hauishi hali itakuwa poa.
 
Huyo hawezi kuwa MTanzania, shida hapo ni hiyo rasilimali ya mafuta/gesi huko Cabo delgado, na mabeberu ndio yanatuchonganisha wenyewe kwa wenyewe huku yanafyonza tu, kila mtu atumie akili zake vizuri.
Kwann wachonganishe wakichonganisha watavunaje sasa hizo raslimali.
Kwann wachonganishe hali wanawezapata raslimali yoyote nchi yeyeto kama wawekezaji bila tatizo.
 
Kwani tanzania si ndiyo kiwanda cha kupika na kuwaanda ‘magaidi’ ambao baadaye wakisha pindua serikali zao wanakuwa ma rais. Akina machel, M7, kabila, netto hawa woote waliku aga ‘magaidi’
Tza chuo cha kuandaa madikteta, madikteta wote waliopindua nchi zao wametokea wamepikwa Tza.
Ugaidi ni neno la siku hizi, zamani waliitwa wapigania UHURU.
 
wana silaha bora kuliko hata siri kali zetu [emoji3] na rushwa ndo silaha yao ya pili yaan wanawatumia wale wenye njaa kote serikalini.na mtaani ili kujipatia taarifa mbali mbali , na hata wana watu maalum kbs wa propaganda ambao wengine tuko nao humu na kwingineko , plus hutumia madai ya jamii ili.kujiongezea support ya wananchi ,unaambiwa wakipateka sehemu basi watu wanaoisha hizo sehemu huishi maisha ya bata sana kwa kuwaletea vyakula bure kutoka wanapoenda kushbulia , SO HAO WATU WAMEJIPANGA NA TUSIOMBE SIKU WAKAFANIKIWA KUKAMATA SEHEMU HUKU KWETU TZ , NDO WATACHIMBIA MIZIZI NA KUWATOA ITAKUWA NGUMU ,USISAHAU NI DUNIANI KOTE , WAKITOKEA HAWA JAMAA HUWEZI KUWALIZA KWA JESHI LA NDANI MAANA MPK WANAJIONESHA HADHARANI BASI UJUE WAMEJIWEKEA MIZIZI KILA IDARA YA SERIKALI NA JESHINI
Hizo silaha za kisasa wapate wapi hao wahuni silaha zao kubwa ni kufanya vitendo vya kikatili na kurekodi video na kutuma Ili kutisha watu.
Wale hawana kambi maalumu wangekuwa nayo ni rahisi kuwamaliza.
Ngumu kuwamaliza kwa haraka sababu ya kujichanganya na raia.
 
Back
Top Bottom