FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Binafsi naona tz tunalo jukumu LA kuingua msumbiji na kuweka mambo sawa. Weaknesses za jeshi la msumbiji tunatakiwa kuzi supplement. Usalama wa tz haupo kabisa kama Mozambique inawaka moto.Hivi vijamaa mbona ni kama vya hovyo hovyo tu, nashangaa vinalisumbuaje jeshi la Msumbiji!
Elimu ya degree sio ulemavu, wafanya kazi za ufundi sermala nk.Zitaje ili graduate wetu wafanye huku mtaani. Watu wMeona tobo wamechoka .
Sirro mwenyewe alishasema huko Msumbiji Kuna magaidi kibao kutoka bongo.Hawakupaswa kutangaza, huo ni uharibifu wa masuala ya kiintellijinsia, hapo ni kama wamewapa alert wenzake na Ali, kuwa kimeumana Ali yupo mikononi mwa vyombo, atakavyoteswa atawataja woteee!
Ndiyo maana nasema huo ni uzushi Tu!
Kwani hatuko huko?Tena sio sisi tu,Sadc jeshi lake liko huko.Binafsi naona tz tunalo jukumu LA kuingua msumbiji na kuweka mambo sawa. Weaknesses za jeshi la msumbiji tunatakiwa kuzi supplement. Usalama wa tz haupo kabisa kama Mozambique inawaka moto.
wana silaha bora kuliko hata siri kali zetu [emoji3] na rushwa ndo silaha yao ya pili yaan wanawatumia wale wenye njaa kote serikalini.na mtaani ili kujipatia taarifa mbali mbali , na hata wana watu maalum kbs wa propaganda ambao wengine tuko nao humu na kwingineko , plus hutumia madai ya jamii ili.kujiongezea support ya wananchi ,unaambiwa wakipateka sehemu basi watu wanaoisha hizo sehemu huishi maisha ya bata sana kwa kuwaletea vyakula bure kutoka wanapoenda kushbulia , SO HAO WATU WAMEJIPANGA NA TUSIOMBE SIKU WAKAFANIKIWA KUKAMATA SEHEMU HUKU KWETU TZ , NDO WATACHIMBIA MIZIZI NA KUWATOA ITAKUWA NGUMU ,USISAHAU NI DUNIANI KOTE , WAKITOKEA HAWA JAMAA HUWEZI KUWALIZA KWA JESHI LA NDANI MAANA MPK WANAJIONESHA HADHARANI BASI UJUE WAMEJIWEKEA MIZIZI KILA IDARA YA SERIKALI NA JESHINIHivi vijamaa mbona ni kama vya hovyo hovyo tu, nashangaa vinalisumbuaje jeshi la Msumbiji!
Kuna namna nadhani bahasha zimepungua.Something noted here, Paskal atatuambia kwa nini siku hizi tendency ya waandishi habari kuwahoji viongozi wenye dhamana imepungua?
Mbona haikua hivyo huko nyuma!?..shida imeanzia wapi!?..siyo Vita ya bush dhidi ya ugaidi ndiyo imezaa haya!!?...wale waliopigana Vita vya msalaba walikua wanampigania mungu gani!!!?Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Nakumbuka ata Azory Gwanda alipotelea kule sijui alikuwa na nini yule jamaa mpaka kuzamia kule? Alikuwa mmoja wao?Serikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.
Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.
Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.
Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].
Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.
Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.
Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.
Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.
Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.
Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?
Lini na nini hatma yake?
Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.
MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.
Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.
Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
Hapo Kuna walionyimwa,ndiyo wametengeneza kundi lao Hilo...nna mashaka na uingerezaYaHuyo hawezi kuwa MTanzania, shida hapo ni hiyo rasilimali ya mafuta/gesi huko Cabo delgado, na mabeberu ndio yanatuchonganisha wenyewe kwa wenyewe huku yanafyonza tu, kila mtu atumie akili zake vizuri.
Umeitaja TCTA mpaka nimesikia KichefuchefuSerikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.
Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.
Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.
Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].
Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.
Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.
Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.
Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.
Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.
Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?
Lini na nini hatma yake?
Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.
MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.
Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.
Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
Mwanasiasa gani wa upinzani aliyetaka swala kibiti lisifwatiliwe au kutafutia kick?.Maana Mambo mengi yanatokea kwasababu ya serikali inayoongozwa na ccm kushindwa kwenye maeneo mengi.Endapo mwanasiasa wa upinzani akiongea jambo lolote hiyo inabaki kua ni maoni yake binafsi au ya chama chake ila hiyo haiondoi wajibu wa serikali kutekeleza majukumu yake.kwasababu serikali ndio yenye wajibu na dhamana.Sasa ni ujinga kuhuusisha upinzani wakati upinzani hauna dhamana yoyote kwenye hii nchi.Serikali ilipotumia nguvu kupambana na huu ugaidi kule kibiti,kama kawaida wanasiasa wa upinzani walilitumia tukio lile kama agenda ya kutafutia kick za kisiasa.
Tulifikia mahali Polisi wanavamiwa vituoni mchana kweupe.
Askari wanavamiwa kwenye vizuizi mchana kweupe na kuuwawa kama kuku.
Tukafikia mahali kuwa mwenyekiti wa serikali ya kijiji huko kibiti ni kosa na unauwawa.
Serikali ilipolivalia njuga hili kundi na kufanikiwa kulidhibiti ndio likatimkia huko Mozambique[emoji1174].
Tanzania [emoji1241] kila kitu tunapiga domo, kila kitu ni ujuaji.
Kwa hili tukio kuna la kujifunza hapo kwa jamii yetu.
Na sijui kwa nini Media za Tanzania [emoji1241] zinakuwa na umbeya badala ya kutuletea habari.
Wao wanakaa kudandia lift kwenye magari ya wakubwa kwenda kuwajenga kisiasa kwa kupewa vibahasha vya khaki.
Kisha taarifa za habari zinajaa siasa tupu.
Makonngamano, Warsha, Uzinduzi, Uteuzi na kisha Migogoro ya wakulima na wafugaji.
Hatuoni media kwa mfano ikimtafuta waziri wa Nishati na kumuweka Interview atuambie sababu ya kuzuka ghafla kwa tatizo la umeme nchini?
Lini na nini hatma yake?
Na vitu vingine kama hivyo vyenye kuigusa jamii.
MEDIA Tanzania [emoji1241] ni kanjanja tupu 75%.
Huko online media nako TCRA imepakalia kimya huku kukiwa na madudu tupu.
Wao TCRA wanamuona Polepole tu.
Uislamu umefanya dunia kuwa sio sehemu salama ya kuishi.Badala Mungu awapiganie watu,eti watu wanampigania Mungu,huyo Mungu ni wa kutiliwa shaka.
Hadi sasa amefahamika kwa jina moja tu la Ali ila bado naendelea kufuatilia huko msumbiji japo hali ya usalama haipo poa