Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

Samia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.

Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.

Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.

Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.
 
Umaskini wa akili ni kitu kibaya sana. Yaani tunalazimika kuiga mambo fulani ili kuwaridhisha watu fulani ili tupate kitu fulani? Aaaaargh!
 
Yaani chadema wameamua kutumika kuzima sauti za wananchi juu ya tozo


Leo tunaona mambo yamehama tunajadili chadema na kesi zao kesho tunapo shtuka tunaambiwa tumechelewa



Merehemu alisema wazi hataki siasa za uwazi

Huyu kasema anapenda haki huku anawaumiza wapinzani

Aweke uwanja sawa kama yuko tayari kukosoana
 
Mkuu nakumbuka hawa ndio walio sema wanataka kumnyoa.
 
Rasmi sasa kuwa Samia ameamua kujiandikia obituary yake mwenyewe mapema. Mungu hataniwi.

Utawala wa CCM ni worse than kuongozwa na jeshi ambalo viongozi wake ni dizaini ya Iddi Amini. It's absurd.

Bora tu sasa aingie Mabeyo & the boys waweze kuleta stabilization katika uongozi wa nchi yetu. Mabeyo is a gentleman - nina uhakika anaweza aka manage transition kutoka mikononi mwa CCM (ambao obviously sasa wamefikia kiwango cha total insanity) na kukabidhi nchi kwa uongozi uliokuwa sober.
 
Watapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]


Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.

Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.

Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
 
Unafikiri hii nchi watakabidhiwa machizi wenzako ?
 
kama magufuli na ubandidu ule alipewa pesa, bro makinika.

maslahi ya hao wahisani sio chadema.
 
Kamanda Lissu njoo huku tupambane wote, pambio za twitter zinatosha. Twende tukamtoe mwenyekiti huku tukiimba pambio zetu za "tuvushe mwamba tuvishee" huyu mwendazake ni katili sana, anatuonea sana...
 
Lisu anataka watanzania wapate tabu ila hilo ni Dua la kuku. Hivi huko ubeligiji anajishughulisha na nini
Kwani sisi Tanzania tunawategemea hao mabeberu?
Hamna pesa yoyote inayotoka kwa wahisani ata siku moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…