Lyetu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2018
- 1,268
- 3,429
Wanasiasa bana, kwaiyo saivi uviko umewekwa pembeni na tukusanyike tu? Lisu akiwa huko aliko alimpigia kelele magufuri fanya ivi fanya vile watu watakufa, badae akaja kufanya kampeni uviko na masharti aliyokuwa anapendekeza vyote akaviweka pembeni.