Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

Wanasiasa bana, kwaiyo saivi uviko umewekwa pembeni na tukusanyike tu? Lisu akiwa huko aliko alimpigia kelele magufuri fanya ivi fanya vile watu watakufa, badae akaja kufanya kampeni uviko na masharti aliyokuwa anapendekeza vyote akaviweka pembeni.
 
Hii mikutano mnayoifanya iko kisheria? Kwanini mnataka kuivuruga nchi? TL bado ana hamu na kuwa nchini? Au ndio maana inakuwa rahisi kusema tunyimwe misaada.
Wana siasa wachache sana watafika mbinguni kama wakiendelea hivi. Bora hata makahaba ambao dhambi yao huwa hawamlazimshi mtu kuitenda..ataitenda kwa hiari yake. na watatungalia kwenda Mbinguni kwa sababu hizo
 
Wewe ule bata Belgium na familia yako and then unataka Tanzania iwekewe vikwazo.
Kazi Iendelee Mama Samia hawa makuadi wa mabeberu lazima wathibitiwe
Na wanaomshabikia huyo punguani hua nawaona ni mapunguani +,

Yaani katika mambo yooote kaona ni bora awaambie wahisani wasisaidie Tz wanaoumia ni viongozi au wananchi???

Pathetic.
 

Uhuru bila mipaka ni wendawazimu, Samia alijaribu kuweka uwanja huru kisiasa lakn maneno ya kejeli mnayomrushia imedhihirisha wazi kwamba anadili na watu wenye hulka za kiwehuwehu

Mnalialia nini sasa, si mlitamka hadharani kwamba huyu wa sasa atie maji kwenye nywele kujiandaa kunyolewa kwa wembe

Sasa wacha liwakute linalowastahili
 
Wewe ule bata Belgium na familia yako and then unataka Tanzania iwekewe vikwazo.
Kazi Iendelee Mama Samia hawa makuadi wa mabeberu lazima wathibitiwe
Kuandika tu haujui,itakuwa kujibu hoja?

Tafuta ulipokaa ubongo wako kisha urudishe kichwani!
 
Eti mwamba ,chadema na wafuasi wao huwa nawafananisha na jibwa Koko linalobwekea mzigo wa mgeni.

Lissu anaumwamba gani ikiwa alihamasisha maamdamano na kuyakimbia,chadema nawahakikishia kuwa msipobadili mikakati ya kuendesha siasa uchwara zenu ,mtaishi Kama yatima kwenye hii nchi.

Shubamiti
 
MKuu wa mkoa anakadi ya ccm sasa hii katiba haifai ndoo maana jiwe alijiita mungu ktk tz hii mbowe na wenzake wawe huru maana wakipiganiacho nimstakabali wa vizazi vijavyo, japo waramba kwato hawataki kusikia katiba mpya.
 
Hili swara nadhani hata wanainchi wanachangia hivi kama ccm wameongeza kodi kubwa na bado RAIA hashituki kwa vitendo unadhani hili la katiba mpya wataliwaza? Naona tz bado maisha hayajawa magumu sana siku yakiwa magumu hakuna atakae ogopa polici

Nakingine hao policiccm mbona niwapumbavu hivi hawajui madhala take?

Kama haujui Leo ngoja nikwambie hivi unajua kilicho tokea baada ya kuzikwa jiwe? Ktk kabuki lake? Hapo CHATO?

Nitawambia Sikh nyingine nahuyu Samia ajihadhali sana juu ya haki za watu.
 
Tozo lazima mtozwe tu
 
Mfano wa uongozi sober ni upi nchini kwetu? Mbowe na genge lake? Acha utani mzee
 
Tatizo bado tuna mentality ya chama kimoja. Watawala wanadhani tupo Korea kaskazini. Shame
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…