Wewe ndiwe unataja majina - mimi sijataja majina.Mfano wa uongozi sober ni upi nchini kwetu? Mbowe na genge lake? Acha utani mzee
Mfano?Wewe ndiwe unataja majina - mimi sijataja majina.
Nachojua ni kuwa kuna viongozi sober wengi tu out there wazuri kuliko hawa machizi tulio nao sasa!
Mtajisahau tu mtaendelea kutumi,Kwanza Tozo ni nduguHakuna kutumia miamala ya simu tena,tuone,labda watoze kwako
Katiba bora itatupa viongozi bora. Very simple.Mfano?
Ukiulizwa Chadema wamevunja sheria gani unaweza kuainisha?Lissu huwa anakidanganya sana hiki chama cha chadema ,na wao wanaingia kichwa kichwa kama nyumbu .
Tatizo siyo katiba mzee, tatizo watu! Bible pamoja na uzuri na maonyo yake yote lakini bado kuna makasisi wanabaka! Hii katiba iliyopo tu ina mazuri mengi mnoo, je yanafuatwa? HapanaKatiba bora itatupa viongozi bora. Very simple.
Hili swara nadhani hata wanainchi wanachangia hivi kama ccm wameongeza kodi kubwa na bado RAIA hashituki kwa vitendo unadhani hili la katiba mpya wataliwaza? Naona tz bado maisha hayajawa magumu sana siku yakiwa magumu hakuna atakae ogopa polici
Nakingine hao policiccm mbona niwapumbavu hivi hawajui madhala take?
Kama haujui Leo ngoja nikwambie hivi unajua kilicho tokea baada ya kuzikwa jiwe? Ktk kabuki lake? Hapo CHATO?
Nitawambia Sikh nyingine nahuyu Samia ajihadhali sana juu ya haki za watu.
Huyu kenge nae anatetewa wahuni wasiokuwa na adabu ,chama chao kiliposema akina Zitto walikuwa wahuni nani alipiga kelele?mwacheni apigr tu kelele hana impact yoyote ,miaka mitano ya jiwe makelele yake yalisaidia nini?
Kwa kweli kila mtu apambanie tumbo lakeTozo lazima mtozwe tu
Watapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.
Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.
Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Jinga kabisa, wakati mna andamana na kumfanyia fujo kikwete kumbe mlikua mnakula nae?Watapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.
Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.
Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Lisu anataka watanzania wapate tabu ila hilo ni Dua la kuku. Hivi huko ubeligiji anajishughulisha na nini
Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!Tatizo siyo katiba mzee, tatizo watu! Bible pamoja na uzuri na maonyo yake yote lakini bado kuna makasisi wanabaka! Hii katiba iliyopo tu ina mazuri mengi mnoo, je yanafuatwa? Hapana
We jomba usiwe punguani. .kwani wahisani ndio wanafanya tynakula na kuishi. ..mbona sikuelewi sijui nani amekukaririsha watu wwngine mmeshakuwa mahayawani kwa kuwa tegemezi mpaka kufa. .mtajikomboa lini ifike siku na nyinyi muwe wahisani. .shwainnnnniiiSamia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.
Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.
Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.
Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.