Hahaha ulaya kule anatetea haki za wale mamama. ...hujui Kwan I. ..lakini lakini akae akijua katika watanzania asisahau wamo wajomba zake madada zake kaka zake akiwemo yule mwanasheria bib I zake babu zake binamu zake..labda kama amewakana woteLisu anataka watanzania wapate tabu ila hilo ni Dua la kuku. Hivi huko ubeligiji anajishughulisha na nini
Hahaha Kenya katiba mpya wameiweka kando kwanza. .sasaivi Kuna BBI. .a new version...eti sisi ndio kwanza tunalilia katiba mpya tumepitwa na wakati. ..what's the hell. .!Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!
Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Hizo ndio akili zake zilivyo na zinapoishia. ..na sababu na yeye analelewa na mashoga kule kashaharibikiwaUtegemezi ni kitu kibaya Sana!
Kwa taarifa yako tu ni kuwa BBI inapumulia mashine sasa hivi baada ya mahakama huru (chini ya katiba mpya) kuipiga chini!Hahaha Kenya katiba mpya wameiweka kando kwanza. .sasaivi Kuna BBI. .a new version...eti sisi ndio kwanza tunalilia katiba mpya tumepitwa na wakati. ..what's the hell. .!
Angekuwepo marehemu, ungemwuliza hilo swali. Marehemu mpaka aliishia kukopa kwenye mabenki ya biashara.Lissu amewahi kufanikiwa kwenye lipi? Labda kulelewa huko ubelgiji
Ataangukaje kwani haoni. .wee vipiWatapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.
Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.
Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Wapiiii hawawezi mahakama na maamuzi ya majority ya wananchi Nani zaidi usifanye mchezoKwa taarifa yako tu ni kuwa BBI inapumulia mashine sasa hivi baada ya mahakama huru (chini ya katiba mpya) kuipiga chini!
Katiba iliyopo inatamka wazi CAG hawezi kuondolewa na yeyote mpaka atapostaafu, lilifuatwa hilo? tatizo ni watu mkuu siyo katiba. Katiba ya CDM ilikuwa wazi kabisa mkiti ataongoza vipindi viwili tu, nini kinaendelea sasa huko CDM?Katiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!
Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Sidhani kama tupo kwenye the same pageWapiiii hawawezi mahakama na maamuzi ya majority ya wananchi Nani zaidi usifanye mchezo
Unaota wewe, maslahi ya wazungu hayako kwa wapinzani bali kwenye biashara na sera za Uchumi.Samia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.
Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.
Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.
Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.
Assad ndio umemuona nguli. ..hahaha Msitake tuseme maneno hapa tukapigwa banKatiba ya sasa haijilindi yenyewe. Ulinzi wake upo mikononi mwa rais. Anaweza kufanya lolote na wala asiwajibishwe!
Katiba mpya (kama ya Kenya na Ghana ambazo sasa hivi zinapaa kiuchumi) zinajilinda zenyewe. Kila muhimili una nguvu yake. Chini ya katiba imara inayojilinda, nguli prof Assad asingeondolewa kwenye nafasi ya CAG kinyemela!
Doesn't matter..we elewa hivyoSidhani kama tupo kwenye the same page
Wishful thinkingWatapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.
Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.
Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Lakini za ESCROW nani alizitafuna? Mwizi ni mwiziWatapa pesa wapi? Hakuna mzungu wa kutoa pesa za bure kwa sasa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ndio maana unaona wanakamua wanachi na matozo ya kipumbavu.
Aliyejua kula na wapinzani ni Kikwete tu walipewa pesa nyingi sana za miradi ya barabara na maji bila masharti.
Ila all in all anguko la samia litakuwa kubwa sana ataanguka I'm telling you before 2025.
Kuna watu hawajui maana ya "utawala bora haki za binadamu!"Samia anaharibu, amewekeza kuwafurahisha wahisani kwa kuwaonesha serikali yake inapambana na Corona.
Lakini masuala mengine ya utawala bora na haki za binadamu kwake anaona hayana maana.
Hao wahisani watakuja kumgeuka siku sio nyingi, kama Magufuli na ujuaji wake alikemewa Samia hana exception yoyote.
Mbowe kutaka kutimiza jambo linalokubalika kisheria hakustahili kuvamiwa hotelini usiku wa manane na polisi kama gaidi, wamuachie huru bila masharti yoyote.
Unalinganisha katiba na biblia ?Tatizo siyo katiba mzee, tatizo watu! Bible pamoja na uzuri na maonyo yake yote lakini bado kuna makasisi wanabaka! Hii katiba iliyopo tu ina mazuri mengi mnoo, je yanafuatwa? Hapana