Kukamatwa viongozi wa CHADEMA: Lissu awataka wahisani kuacha kuisaidia Serikali

Wapinzan uchwara m Nilijua watapaza saut tozo ya miamala Wao wanapigania matumbo yao tu mama kuwa mkali wanataka kuleta Mamb ya South Africa alafu wakimbilie ubeligiji
 
Haaa! Mimi nilidhani wao wenyewe wananguvu kumbe Mpaka wawaombe wahisani!

Haya maisha yananikumbusha enzi za shule wakati wanafunzi tumetulia ili kujisomea kujiweka saw kwa mtihani linakuja linanza kupiga kelele!

Mmeambiwa tusubiri mkakataa kumkatalia mkuu wa nchi ni lazima ujiandae MWISHO wake ni Mungu pekee anajua.

Demokrasia ni kukubali kutokukubaliana na siyo kuleta fujo.
 
1 Dk Ulimboka alitekwa akangolewa kucha.

2. Maandamano kule Arusha kuna watanzania watatu walipoteza maisha.

3. Kuna bomu lilipigwa kwenye mkutano wa CHADEMA Arusha na kuua watu kadhaa.

4. Mwandishi Dau Mwangosi aliuawa kwenye mkutano wa hadhara mbele ya jeshi la polisi.

5. Mbowe aliwahi kukamatwa na kusafirishwa kwa Helkopta kutoka Dodoma kwenda Dar es Salaam.

6. Kila uchaguzi mdogo uliondoka na uhai wa mtu mmoja huo ugentleman uko wapi?

Hawa walioko madarakani ni laini sana kuliko mzee Kikwete ila sema main stream Media haitoi mwamko mkubwa katika mapambano ya demokrasia nchini kwa hii miaka mitano ni kama media zinashughulikia udaku kwa kuogopa kufungiwa.
 
Mwanasiasa anayeombea raia wa nchi yake wasipewe pesa kisa mwanasiasa mwenzie amemtenda isivyofaa hatufai watanzania .
Utawala dhalimu hautakiwi kusaidiwa na mtu, taasisi au nchi yoyote inayothamini utu wa mwanadamu. Unaonyimwa msaada ni utawala, siyo wananchi.
 

Samia atambue atawajibika binafsi kwa lolote litakalo wapata wote waliowashikilia.

Kwa vile amechagua njia ya matumizi ya nguvu badala ya hoja atambue tumemsikia, tumemwelewa na kuiridhia vilivyo jino kwa jino anayoitaka.

Kama ni kwa kuzenguana mbona tutaelewana tu.
 
Ungetafuta jukwaa la wendawazimu, lingekufaa sana, na ungepata likes nyingi.
Umechukia ehe,Mbowe ni mjinga saana hana tofauti wale walinzi wa usiku ambao sio binadamu bali ni wanyama ambao kazi yao ni kupiga makelele
 

Mabadiliko ni muhimu lakini si kwa staili ya huyu mpuuzi mbowe na genge lake chini ya MDUDE,huyu mpuuzi anajifanya kutaka katiba mpya wakati hata kakatiba kadogo tu ka chama amekinajisi hadi kuwa mwenyekiti wa kudumu shame in you all
 
Ujinga mwengine huu wanadhihirisha CHADEMA. Unajadili mambo ya Tanzania halafu unawahusisha samaki wakubwa wa Brussels, Washington na London wao ni nani kwetu? Mentality ya kitumwa hii!
 
Haya maneno huwa mna copy kwa watu bila hata kuelewa maana yake, ukishaweka uhuru mipaka inakuwa ya kazi gani tena? uhuru wenye mipaka ndio udikteta tunaooneshwa na watawala wa CCM.

Wacha sheria iweke hiyo mipaka, sio mnajiamulia nyie kuweka mipaka kwa mitazamo yenu, huo ni ujinga.
 
Mabadiliko ni muhimu lakini si kwa staili ya huyu mpuuzi mbowe na genge lake chini ya MDUDE,huyu mpuuzi anajifanya kutaka katiba mpya wakati hata kakatiba kadogo tu ka chama amekinajisi hadi kuwa mwenyekiti wa kudumu shame in you all
Yeah, katiba mpya ni muhimu kabisa.
Mbowe na Mdude ni chadema ambao wanatafuta ugali kupitia katiba.
Japo haimaanishi wanyanyaswe kama ambavyo ccm wanaotafuta ugali kupitia katiba wanavyoachwa wajinafasi. Maneno waliyotoa kikao kilichopita hayajustfy polisi kuzuia mkutano wao wa leo,,, huo unabaki kuwa ni uonevu. Wengi tulilaani matamshi ya Mdude, hiki wanakifanya polisi ni aina ya maisha ya kishenzi yanayoendelea barani Afrika. Kuwa chadema hakumwondolei mtanzania utanzania wake. Sisi ambao hatuna vyama tunaona dhahiri ni nani anafanyiwa uonevu. Anayekosea mahakama zipo zitatafsiri sheria.



Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Mipaka ya uhuru ni kutovunja sheria.
Huwa napenda kushauri nyie wanasiasa kudai haki bila kuchemsha mambo mengine. Tuliwai onya hapa kuhusu zile kauri za Mdude ila chadema mmoja akanijibu kuwa ndiyo stratergies za chama. Lakini katiba ni kwaajili yetu wote, siyo wenye vyama pekee. Ni dhahiri ccm wengi hawataki kusikia katiba mpya kwani wanajua haya maisha ya kishenzi ndiyo yanawafaidisha matumbo yao. Lakini sasa wanapata mwanya wa kukwepa kuwajibika kupitia viupenyo vidogo mnavyovitengeneza kwa kukosa umakini. Mlisema hizo ndizo hesabu zenu makini. Haya andeleeni nanzo.
Katiba yetu bado inampa nafasi rais kuwa dikteta. Na mama ssh anaenda kiwa dikteta katili kuliko hata Magu.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Umaskini wa akili ni kitu kibaya sana. Yaani tunalazimika kuiga mambo fulani ili kuwaridhisha watu fulani ili tupate kitu fulani? Aaaaargh!
Yaa kama wewe ulivyoikubali hiyo dini uliyonayo sasa ,kwani ni ya baba ako au ni za watu wa nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…