LGE2024 Kukamatwa viongozi wa CHADEMA, Polisi wadai "CHADEMA walikaidi amri ya Askari, walirusha mawe na kujeruhi Askari"

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
IMG_0854.jpeg
IMG_0855.jpeg

TAARIFA YA JESHI LA POLISI:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali, Apolinary Boniface Margwe, Afisa habari CHADEMA na Adam Hassan Kasekwa, mlinzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Pia, Soma: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Wengine waliokamatwa ni Paul Joseph Paul, Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mbeya, Kelvin Keneth Ndabila, Afisa habari Kanda ya Nyasa, mkazi wa Mbeya, Michael Laison Msongole, Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Mbozi, Mlowo, Mohamed Abdilah Ling'wanya, Mlinzi wa Mbowe Mkazi wa Dar es salaam, Alfan Hassan Mbire, mlinzi wa Mbowe na Ezekia Elia Zambi, Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe.

Tukio hilo limetokea eneo la stendi ya zamani ya Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe Novemba 22,2024 majira ya 10:30 asubuhi baada ya Chama cha CHADEMA kwenda kufanya mkutano wa kampeni eneo ambalo hawakupangiwa na ndipo askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani na kwa sasa wanaendelea na matibabu hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa wito na kusisitiza kwa Viongozi wa Vyama vyote kutii na kufuata ratiba za kampeni zilizotolewa na Wasimamizi wa Uchaguzi ili kuepusha vurugu ambazo zinaepukika kwa kufuata utaratibu, ili Jeshi la Polisi tuweze kutoa ulinzi stahiki kwa mujibu wa ratiba.

Nitoe tahadhari kwa wananchi pamoja na vyama vya siasa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi na mtu yeyote ambaye atakiuka Jeshi la Polisi halitasita kuchukua hatua kwani vitendo kama hivyo ni kuvunja sheria ili kuvuruga amani, utulivu na usalama katika kampeni zinazoendelea katika Mkoa wetu wa Songwe.
 
View attachment 3158957View attachment 3158959

Si kweli, sasa Mbowe alitupa mawe?
 
Wavuruga amani washughulikiwe!!
Polisi ndio wamevuruga amani. Tufanye CHADEMA hawakufuata ratiba ila kulikua na utulivu na kama polisi wa kuwakamata walikuwepo ina maana wangeweza kuhakikisha ulinzi eneo la mkutano.

Kwanini wasingewaacha CHADEMA wamalize mkutano wao mambo mengine yakaendelea baada ya hapo?
 
Kwa hiyo waliokamatwa ndio waliotupa mawe?
 
Hilo eneo walipaswa kulitumia ACT tangu asubuhi mpaka jioni.
Kilichowauma sisiemu na polysi ni kustukizwa kwa ACT kuwakaribisha CDM kabla hawajaweka antenatal zao
 
ndipo askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi askari wawili maeneo ya kichwani

Askari unatumia nguvu kutawanya watu wasio na "nguvu sawa kama ya askari"
 
View attachment 3158957View attachment 3158959
TAARIFA YA JESHI LA POLISI:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali, Apolinary Boniface Margwe, Afisa habari CHADEMA na Adam Hassan Kasekwa, mlinzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Pia, Soma: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Wengine waliokamatwa ni Paul Joseph Paul, Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mbeya, Kelvin Keneth Ndabila, Afisa habari Kanda ya Nyasa, mkazi wa Mbeya, Michael Laison Msongole, Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Mbozi, Mlowo, Mohamed Abdilah Ling'wanya, Mlinzi wa Mbowe Mkazi wa Dar es salaam, Alfan Hassan Mbire, mlinzi wa Mbowe na Ezekia Elia Zambi, Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe.

Tukio hilo limetokea eneo la stendi ya zamani ya Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe Novemba 22,2024 majira ya 10:30 asubuhi baada ya Chama cha CHADEMA kwenda kufanya mkutano wa kampeni eneo ambalo hawakupangiwa na ndipo askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani na kwa sasa wanaendelea na matibabu hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa wito na kusisitiza kwa Viongozi wa Vyama vyote kutii na kufuata ratiba za kampeni zilizotolewa na Wasimamizi wa Uchaguzi ili kuepusha vurugu ambazo zinaepukika kwa kufuata utaratibu, ili Jeshi la Polisi tuweze kutoa ulinzi stahiki kwa mujibu wa ratiba.

Nitoe tahadhari kwa wananchi pamoja na vyama vya siasa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi na mtu yeyote ambaye atakiuka Jeshi la Polisi halitasita kuchukua hatua kwani vitendo kama hivyo ni kuvunja sheria ili kuvuruga amani, utulivu na usalama katika kampeni zinazoendelea katika Mkoa wetu wa Songwe.
hayupo mtu, chama cha siasa au kikundi chochote kitakacho jaribu kuvuruga ratiba za kampeni au utaratibu wa kampeni na kuchochea fujo au vurugu ataachwa atambe.

Atachukuliwa hatia, atadhibitiwa na kutiwa nguvuni bila kijali ni nani.

Amani, umoja, utulivu, kazi na pilikapilika za wananchi zitalindwa na vyombo vya ulinzi na usalama, kwa nguvu na gharama yoyote.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
 
Kuamini taarifa ya polisi au serekali dhidi ya wapinzani ni matumizi mabaya ya imani. Bila machafuko ya kweli hizo story hazitakaa ziishe.
 
hayupo mtu, chama cha siasa au kikundi chochote kitakacho jaribu kuvuruga ratiba za kampeni au utaratibu wa kampeni na kuchochea fujo au vurugu ataachwa atambe.

Atachukuliwa hatia, atadhibitiwa na kutiwa nguvuni bila kijali ni nani.

Amani, umoja, utulivu, kazi na pilikapilika za wananchi zitalindwa na vyombo vya ulinzi na usalama, kwa nguvu na gharama yoyote.

Mungu Ibariki Tanzania 🐒
Pamoja na mbinu chafu za CCM watasilibwa tu hakuna namna!
 
View attachment 3158957View attachment 3158959
TAARIFA YA JESHI LA POLISI:

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linawashikilia wanachama wa CHADEMA ambao ni Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Freeman Aikael Mbowe, Joseph Osmud Mbilinyi Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Pascal Yohana Haonga, Mbunge mstaafu CHADEMA Mbozi Mlowo, Mdude Mpaluka Nyagali, Apolinary Boniface Margwe, Afisa habari CHADEMA na Adam Hassan Kasekwa, mlinzi wa Mwenyekiti wa CHADEMA.

Pia, Soma: Freeman Mbowe akamatwa na Jeshi la Polisi akielekea Mbozi mkoani Songwe

Wengine waliokamatwa ni Paul Joseph Paul, Afisa wa CHADEMA Kanda ya Nyasa, Mbeya, Kelvin Keneth Ndabila, Afisa habari Kanda ya Nyasa, mkazi wa Mbeya, Michael Laison Msongole, Mwenyekiti CHADEMA Wilaya ya Mbozi, Mlowo, Mohamed Abdilah Ling'wanya, Mlinzi wa Mbowe Mkazi wa Dar es salaam, Alfan Hassan Mbire, mlinzi wa Mbowe na Ezekia Elia Zambi, Mwenyekiti ACT Wazalendo Mkoa wa Songwe.

Tukio hilo limetokea eneo la stendi ya zamani ya Mlowo Wilaya ya Mbozi Mkoa wa Songwe Novemba 22,2024 majira ya 10:30 asubuhi baada ya Chama cha CHADEMA kwenda kufanya mkutano wa kampeni eneo ambalo hawakupangiwa na ndipo askari waliwapa amri ya kutawanyika lakini walikaidi ndipo askari waliamua kuwatawanya kwa nguvu na ndipo walipoanza kurusha mawe na kuwajeruhi askari wawili maeneo ya kichwani, usoni na puani na kwa sasa wanaendelea na matibabu hospitali ya Wilaya ya Mbozi.

Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe linatoa wito na kusisitiza kwa Viongozi wa Vyama vyote kutii na kufuata ratiba za kampeni zilizotolewa na Wasimamizi wa Uchaguzi ili kuepusha vurugu ambazo zinaepukika kwa kufuata utaratibu, ili Jeshi la Polisi tuweze kutoa ulinzi stahiki kwa mujibu wa ratiba.

Nitoe tahadhari kwa wananchi pamoja na vyama vya siasa kufuata sheria, kanuni na taratibu za uchaguzi na mtu yeyote ambaye atakiuka Jeshi la Polisi halitasita kuchukua hatua kwani vitendo kama hivyo ni kuvunja sheria ili kuvuruga amani, utulivu na usalama katika kampeni zinazoendelea katika Mkoa wetu wa Songwe.
Ipo siku hilo taifa la wafu watafufuka
 
Kuna haja ya vyama vya upinzani kujiondoa ktk chaguzi na kusitisha kazi zao hata kwa miaka 10 ijayo.
Ili upinzani uanze kustawi kwa wananchi wenyewe.
Sio rahis kushinda uchaguzi wa namna yoyote kwa mazingira haya ya Sasa.
 
Polisi ndio wamevuruga amani. Tufanye CHADEMA hawakufuata ratiba ila kulikua na utulivu na kama polisi wa kuwakamata walikuwepo ina maana wangeweza kuhakikisha ulinzi eneo la mkutano.

Kwanini wasingewaacha CHADEMA wamalize mkutano wao mambo mengine yakaendelea baada ya hapo?
Ni maagizo mahsusi toka kwa mwenyekiti wa CCM Taifa.
 
Back
Top Bottom