Ukiwa na mita ya luku tayari unayo adhi ya kulipa kodi hata ziwe mbavu za mbwaNi nyumba ya kiwango gani inapaswa kulipa kodi? Maana kutokana na mradi wa REA hadi mabanda ya nyasi na mbao yana umeme!
Mbona ni rahisi tu hilo,ukishalipa umeme wako kama kuna kodi ya nyumba inakatwa,ni kumuonyesha tu risiti yako mwenye nyumba mnakuja kukatana kwenye kodi.
Mkuu kodi itakatwa kupitia mita za Luku- hivi mbona huelewi na vitu ni rahisi-hivi wakiitwa watu wa jinsia ya kiume unashangaa nini wavulana wakienda?Mkuu kuna watu wanakaa nyumba za serikali na zina LUKU, inamaana mtumia luku ndo atalipa hiyo kodi au?
Kama zina luku zitalipaNyumba zisizo na umeme vp
Wenye nyumba hawatapunguza kodi ya pango na mpangaji atalipia kodi ya nyumba kupitia kununua luku.Mita ya LUKU ina jina la mmiliki wa nyumba na siyo mpangaji, hata kama mpangaji atalipia bado itakuwa ni sehemu ya kodi
Kwa lugha nyingine, kodi yako itapungua kwa kiasi ulicholipia. Pia kodi hii inalipwa mara moja tuu kwa mwaka.
Mwigulu hajawahi kuwa na manufaa kwa nchi hii zaidi ya familia yake tu.Vitu kama hivi Mwendazake alikua anjichukuliaga credit kwa wananchi kiulainiiii.
Mwigulu muda wa kufikiria vitu vidogo namna hii hana, always anawaza kuendelea kua ndani ya teuzi za Rais tu
Utamlipa shi ngapi kwa kazi hiyo kubwa uliyoomba? Maana inahitajika mtu mwenye shahada ya uchumi na awe amebobea kwenye diplomasia ya uchumi ili uweze kuelewa.Mimi sijaelewa kitu,
Naomba mtu mwenye akili timamu anieleweshe kwa upole na kwa hatua,
Kodi ya ardhi analipa mpangaji kupitia LUKU?
Ufafanuzi please.
Sijui yaani mwenye fremu nimlipie Kodi ya jengo MWIGULU anachekesha,sawaUwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni kuwaumiza wananchi masikini wa nchi hii huku wamiliki wa majengo hayo wakiendelea kuchukua kodi zao kama kawaida.
Bajeti mbaya kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni kuwaumiza wananchi masikini wa nchi hii huku wamiliki wa majengo hayo wakiendelea kuchukua kodi zao kama kawaida.
Bajeti mbaya kuwahi kutokea tangu Uhuru.
Hii safi Sana, mpaka vijijini tutalipa kodi