Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ninao na wew kama unataka kuungwa sema chapUna ushahidi wowote
NiungeNinao na wew kama unataka kuungwa sema chap
Unataka kumjuaShetani ni nani?
NichekNiunge
PoaNichek
Ndio.Unataka kumjua
Low IQMungu angekuwepo sidhani kama hata ungehitaji kuanzisha uzi wa kuthibitisha uwepo wake.
Kaka una IQ ndogoMawazo yako tu sio sheria! Unaweza kuongea lolote tu na muda unasonga ukale kande ulale
Uwepo wa watu wenye akili ndogo sana ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote hayupo.Kabisa hata mimi huwa namuona Kiranga na genge lake humu ni watu wenye akili au IQ ndogo sana.
Sisi binadamu au niseme viumbe wote tuliopo hapa duniani kutokuwa homogenious haitupi tafsiri ya kwamba kuna mapungufu kwenye kazi ya uumbaji aliyoifanya Mungu kiasi kwamba mpaka iwe ni moja ya uthibitisho wa kutokuwepo kwake.Uwepo wa watu wenye akili ndogo sana ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na uoendo wote hayupo.
Angekuwapo, kusingekuwa na ntu mwenye akili ndogo.
You just made my point.
But I don't think that you understand that you just made my point.
Kwa sababu una akili ndogo sana.
Mpaka sasa binadamu amegundua 30% ya vitu vinavyopatikana kwenye hii universe na kizazi cha binadamu kimekuwepo mamilion ya miaka, sasa hivyo vingine ni nani havijuaye zaidi ya Mungu mwenyewe?Dunia Ina watu wamepewa kipawa kidogo Cha kifikiri hawezi think out of box
Sijasema tuwe homogeneous.Sisi binadamu au niseme viumbe wote tuliopo hapa duniani kutokuwa homogenious haitupi tafsiri ya kwamba kuna mapungufu kwenye kazi ya uumbaji aliyoifanya Mungu kiasi kwamba mpaka iwe ni moja ya uthibitisho wa kutokuwepo kwake.
Binadamu/viumbe kutofautiana upeo/akili na utambuzi ndio asili yenyewe ambayo Mungu aliikusudia kuiweka kwenye kila alichokiumba.
Pamoja na hivyo binadamu wote tuna potentiality ya kufanya jambo lolote linalowezekana kibinadamu.