"Kukataa Uwepo wa Mwenyezi Mungu: Ishara ya IQ ndogo na Utumwa wa Shetani"

Kiranga Infropreneur

Unajua ukiweza kuruhusu ufahamu wako kufikiri nje ya mipaka yake uliyoisoma au kuisikia kuna mengi mtu waweza kujifunza
Mungu muweza wa vyote, Aliumbaje binadamu wenye low IQ, wanao mkataa?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wenye high IQ, watakao mkubali?

Ni either Mungu huyo sio muweza wa yote au hayupo.
 
Tena ni vichwa panzi kweli kweli
 
Mpaka sasa binadamu amegundua 30% ya vitu vinavyopatikana kwenye hii universe na kizazi cha binadamu kimekuwepo mamilion ya miaka, sasa hivyo vingine ni nani havijuaye zaidi ya Mungu mwenyewe?
Kutokana na akili ndogo za raia wengi watakubali hakun Mungu wakati ndugu zao wameponywa huko, wengin ni wachawi, wametabiriwa ukweli
Mungu muweza wa vyote, Aliumbaje binadamu wenye low IQ, wanao mkataa?

Mungu muweza wa vyote, Alishindwaje kuumba binadamu wenye high IQ, watakao mkubali?

Ni either Mungu huyo sio muweza wa yote au hayupo.
Una low IQ kaka
 
Sijasema tuwe homogeneous.
Nimekuelewa vizuri sana, sema wewe kwa upeo wako ambo flexible ndio hujanielewa... nilichokimaanisha hasa kutokulingana akili/upeo/ufahamu sio uthibitisho wa kutokuwepo kwa Mungu nimetumiq neno "homogenious" hili kurahisisha unielewe kwa haraka, hebu soma uelewe sio usome halafu ukimbilie kujibu.
Hujaelewa hata nilichoandika.

Umefanya logical non sequitur fallacy.
Wewe unasumbuliwa kitu kimoja kinaitwa dunniny kruger effects.
Na argument yangu iko so valid wala hakuna fallacy hapo.
Kwa sababu una akili ndogo.
Siwezi kuwa na akili ndogo, wenye akili ndogo ni nyie mna question kila status quo ya maisha yetu halafu mkikosa majibu mnayoyataka mnahitimisha Mungu hayupo.
 
Kutokana na akili ndogo za raia wengi watakubali hakun Mungu wakati ndugu zao wameponywa huko, wengin ni wachawi, wametabiriwa ukweli

Una low IQ kaka
Hakika kaka, kuna maswali ambao wao wenyewe hawana majibu na kushindwa kwao kupata majibu ya maswali hayo, basi ndio wanatengeneza hitimisho kuwa Mungu hayupo.

Mfano kama Kiranga huwa anataka umpe chanzo cha Mungu ni nini hasa, ni akili hiyo kweli?
 
Wewe ngumbaru hujui hata spelling za homogeneous. Jifunze spelling kwanz kanla ya kubishana na mimi..

Unasema umenielewa lakini hujasema umenielewa nini.

Wacha ujinga.
 
Kutokana na akili ndogo za raia wengi watakubali hakun Mungu wakati ndugu zao wameponywa huko, wengin ni wachawi, wametabiriwa ukweli

Una low IQ kaka
Kuwepo kwa watu wenye akili ndogo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo kuwepo na kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na watu wenye akili ndogo ni contradiction, ni contradiction yenye mutual exclusivity.

Ama watu wenye akili ndogo wapo na Mungu huyo hayupo.

Ama Mungu huyo yupo na watu hao wenye akili ndogo hawapo.

Watu wenye akili ndogo mpo, ndiyo nyie mnaoshindwa kuielewa hii contradiction yenye mutual exclusivity.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.
 
Hakika kaka, kuna maswali ambao wao wenyewe hawana majibu na kushindwa kwao kupata majibu ya maswali hayo, basi ndio wanatengeneza hitimisho kuwa Mungu hayupo.

Mfano kama Kiranga huwa anataka umpe chanzo cha Mungu ni nini hasa, ni akili hiyo kweli?
Kuwepo kwa watu wenye akili ndogo ni ushahidi kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Mungu huyo kuwepo na kuumba ulimwengu ambao unaweza kuwa na watu wenye akili ndogo ni contradiction, ni contradiction yenye mutual exclusivity.

Ama watu wenye akili ndogo wapo na Mungu huyo hayupo.

Ama Mungu huyo yupo na watu hao wenye akili ndogo hawapo.

Watu wenye akili ndogo mpo, ndiyo nyie mnaoshindwa kuielewa hii contradiction yenye mutual exclusivity.

Hivyo, Mungu huyo hayupo.

But of course, you may not know what a contradiction is, what mutual exclusivity is, and your bias and cognitive dissonance may prevent you to realize that your God does not exist.
 
Wewe ngumbaru hujui hata spelling za homogeneous. Jifunze spelling kwanz kanla ya kubishana na mimi..
Wewe ni kiazi mbatata mmoja hivi anayesumbuliwa na u-much knowing huna lolote, endelea kumkejeri aliyejikojolea wakati na wewe mbuzi umejinyea...nyau wewe.
Unasema umenielewa lakini hujasema umenielewa nini.
Hakuna ugumu wowote kwenye maelezo yako yasioeleweka, ila kwa ujuaji wako unaleta complications ambazo hazina ulazima ionekane sijakuelewa, na wewe ndio hujanielewa
Wacha ujinga.
Wewe sio tu ni mjinga, bali ni kinyungurusu mmoja unaejikuta unajua sana vitu wakati kichwa chako kina kamasi badala ya ubongo. Dalili moja wapo ya vinyungurugusu kama wewe ni kuacha kujadili kiini cha hoja na ku focus na vitu vidogo.
 
Huwezi kujadili hoja ya contradiction ya mutual exlusivity.

Unanijadili mimi kwa ad hominem logical fallacy.

Nakupeleka ignore list. Kuanzia hapa sitaona uharo unaoandika.

Kwa faida ya wengi wasiotaka kutukanana, nakupeleka ignore kist.

Umeangusha viwango vya mazungumzo na kupeleka majadiliano haya kwenye kutukanana.
 
Huyu Kiranga ana low IQ mkuu anaweza kutueleza beginning of human and the whole universe
 
Yani kufanya maombi na kusubiri miujiza ni high IQ? Yani mwamposa ni genius na Issac Newton ni moron? Tuna matatizo makubwa sana wabongo sio ajabu kutuona nyuzi tuzipendazo za kula kimasihara, kumsurprise x anayetaka kupasha kiporo, simba na yanga na uchawi wao ndizo zinazochangiwa sana! National embecility prevails
 
Tesla alikuwa mcha Mungu na ana high IQ watu kama Friedrich Nietzsche alikuwa anajikuta na theory zake ila mwamba ni kondoo tu
 
Tesla alikuwa mcha Mungu na ana high IQ watu kama Friedrich Nietzsche alikuwa anajikuta na theory zake ila mwamba ni kondoo tu

Unaweza kujustify? Au yeleyele ya petro na yohana? Ya kufikirika tu! Tukakate viuno na diamond then twende kwa mwamposa ndio uwezo wetu ulipoishia hatuna mchango wowote wa maana kwa maendeleo ya dunia hata hizo imani tumeletewa tu na magenius wa sanaa then tunajifanya tuna high iq kukariri vimistari vya kuruani na biblia fiction tupu
 
Huyu Kiranga ana low IQ mkuu anaweza kutueleza beginning of human and the whole universe
Kuwepo mtu mwenye low IQ ni ushahidi kwamba Mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote hayupo.

Kama kweli nina low IQ hilo linaonesha huyo Mungu hayupo.

Huelewi wapi?
 
Kwanza kabisa naona umeikosea sana demographic isiyoamini Mungu, hawa Watu sio kwamba wamejitakia iwe hivyo; mapito yao Katika maisha yamewapeleka katika huo mtazamo

Pili, sichukulii kukosa Imani juu ya uwepo wa Mwenyezi Mungu ni symptom ya low IQ, nachukulia situation hii kwamba mtu ana IQ kubwa maana "Kajiuliza Maswali" (low IQ kwenye Imani haziulizagi maswali bali zina tii tu)

Imani juu ya Mwenyezi Mungu hailazimishwi na wala haikaririshwi (wengi wamekariri),

Mwenyezi Mungu anajidhihirisha kama matokeo ya experience ya muda mrefu na tafakari ya maisha

Nenda kaishi na teja (ambaye haamini Mungu) mtaani afu uje uniambie haamini Mungu kwasababu ana low IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…