Walizima internet nchi nzima, chawa endelea kujitoa akiliUnazani rahisi kuzima Grid ya Taifa ya umeme, siasa uchwara ndiyo hizo sasa.
Hizo tuhuma zako zote zinakosa mashiko jifunze kuwa serious kwa vitu nyeti.
Siasa siyo uadui bali kwa mustakabali mpana wa Tanzania iliyo bora leo na kesho pia.
Wewe unadhani ugumu uko wapi ili watu wajifunze kuwa siriazi na vitu nyeti na wajue kwamba siasa siyo uadui?Unazani rahisi kuzima Grid ya Taifa ya umeme, siasa uchwara ndiyo hizo sasa.
Hizo tuhuma zako zote zinakosa mashiko jifunze kuwa serious kwa vitu nyeti.
Siasa siyo uadui bali kwa mustakabali mpana wa Tanzania iliyo bora leo na kesho pia.
Wewe na Samia mtaishi milele hamtakufa.Umeme ulipokatwa zilee coaster nyeupe SU na Yutong za kijani zimepga kazi sana sio nawatia uoga sasa jichanganye hakuna simile
Shaba zitalia sanaa
Walizima internet ambayo ni engine ya maisha ya watu Kwa sasa sembuse umeme Kuna backup ya generators na solar? Punguza ujinga think big!Unazani rahisi kuzima Grid ya Taifa ya umeme, siasa uchwara ndiyo hizo sasa.
Hizo tuhuma zako zote zinakosa mashiko jifunze kuwa serious kwa vitu nyeti.
Siasa siyo uadui bali kwa mustakabali mpana wa Tanzania iliyo bora leo na kesho pia.
Siasa sio uadui? Ccm wanaziweza Siasa za hoja?Unazani rahisi kuzima Grid ya Taifa ya umeme, siasa uchwara ndiyo hizo sasa.
Hizo tuhuma zako zote zinakosa mashiko jifunze kuwa serious kwa vitu nyeti.
Siasa siyo uadui bali kwa mustakabali mpana wa Tanzania iliyo bora leo na kesho pia.
pure nonsense 🐒Ikiwa unadhani kwamba kukatika kwa umeme nchi nzima kulikotokea lao tarehe 27 June saa 1 kamili usiku ni hitilafu ya kawaida ya mitambo ya kufua umeme utakuwa umekubali kudanganyika kirahisi mno. Kuzima umeme nchi nzima kamwe hakuwezi kuwa ni tukio la bahati mbaya wala kuhusianishwa na tangazo lililotolewa na shirika la Tanesco kwamba kuna hitilafu katika gridi ya taifa.
Kwa sasa taifa la Tanzania limekumbwa na mtanzuko mkubwa na serikali iliyopo madarakani ikihaha kuzuia upepo wa maandamano ya tarehe 7 mwezi wa 7. Zipo mbinu kadhaa za kijasusi zitakazotumika na zinazoendelea kutumika ikiwemo kukatwa kwa umeme nchi nzima.
Kwanza, umeme ukikatwa utalegeza nguvu ya mitandao ya mawasiliano kwa simu kuisha chaji na mitandao ya simu kushindwa kurusha matangazo. Ni njia ya uhujumu isiyo wazi. Kwakuwa minara baada ya kukatwa kwa umeme itatutumia nguvu ya jenereta za mafuta ambayo ni ghali na adimu kwa sasa, kukatwa umeme kwa muda mrefu kutazuia kusambazwa kwa ufanisi kwa mtandao wa intanenti.
Pili, ikiwa wana usalama watahitaji kusambazwa vifaa ikiwemo silaha na magari ya kuzuia maandamano pamoja na askari basi wangependa kufanya jambo hilo kwa siri bila kutambulika, njia ya kukata umeme nchi nzima itawanufaisha wao kuweza kutekeleza mipango yao miovu.
Tutu, ikiwa wanausalama wapo katika msako mkali wa kuwakamata wale wanaoitwa vinara wa maandamano na kuwapoteza kisha kusingizia watu wasiojulikana, basi wangependa kufanya operesheni zao kimya kimya na kwa usiri mkubwa. Uwepo wa kiza totoro nchi nzima utarahisisha mambo yao, hivyo usijekushangaa kwamba baada ya umeme kurudishwa ukasikia visa kadhaa vya watu waliopotea na wasijulikane walipo.
Watu wakifanya mambo kulingana na miongozo na si kukurupuka kwa siasa za matukio na kuona hata jambo la Grid ya Taifa kuanguka imekuwa jukwaa lenu la siasa.Wewe unadhani ugumu uko wapi ili watu wajifunze kuwa siriazi na vitu nyeti na wajue kwamba siasa siyo uadui?
NB:Unabishana hata na TANESCO waliotoa tangazo lao kwamba umeme ulikatika kutokana na hitilafu waliziziainisha unataka uaminike wewe?
Ukiacha fikiria kila tukio ni hujuma utakuwa na fikra nzuri za kupiga hatua.Walizima internet ambayo ni engine ya maisha ya watu Kwa sasa sembuse umeme Kuna backup ya generators na solar? Punguza ujinga think big!
CCM wanaziweza vizuri shida ipo kwenye maslahi mbele kwa wengi wao ndiyo maana unaona leo kwenye korido zao ni kulilia vyeo tu na si kukipigania chama.Siasa sio uadui? Ccm wanaziweza Siasa za hoja?