Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala

Kukatika umeme Bungeni hadi Bunge kuhairishwa hii ni dhahiri kuwa Serikali imeshindwa kutawala

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.

Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.

Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine

Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje?

USSR

20230515_122808.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku hizi tumeshazoea umeme ukikatika jua kuna jambo linaumbwa.

Wanachanganya mambo yawe meeengi ili tusifike mwafaka.

WAZIRI WA BIASHARA, TRA, EFD ndio HEAD LINE
 
Wanalipana posho za bure kwa siku ya leo bila kazi na bila sababu za msingi.
Ina maana jenereta hawana au shida nini?
 
Kipara sio msambaa. Ni wa huko huko kwenu mnakokunywa rubisi.
Wasambaa Wana roho mbaya lakini wako serious na kazi.
Msambaa wa Kilindi ni Mamwinyi sana.
Wasambaa wao ni Boha sisi Wasubi ni Lubisi 😀
 
Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.

Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.

Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine

Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje ?

USSR
View attachment 2622580

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeme umekatika kwa technical fault Ndani ya mfumo wa Umeme wa Bunge na sio kwa sababu ya Umeme kukatika toka TAENSCO.We jamaa huwa muongo muongo sana.
 
Back
Top Bottom