Karne
JF-Expert Member
- Jun 13, 2016
- 8,118
- 13,547
Tayari TANESCO wamesharuka kimanga, wamesema hawahusiki maana hiyo laini ya bunge haina shida upande wao.
Ipo siku hata hii katika ya mitaani wataikana kutokuhusika halafu kila siku wanatuma ujumbe wakiomba mrejesho wa huduma zao ili waboreshe,si uchuro huo.
Kama kukatika kwa umeme kunakoonekana hadi na walemavu wa macho wameshindwa nikishauri waanze kuunganisha wateja umeme kwa mfumo wa wireless je!
Matatizo yao wanayajua,maoni gani zaidi wanataka?