Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahirisha, siyo hairisha.Hivi bunge pamoja na kupeana mafao kabla ya kazi wanashindwa kununua STANDBY GENERATOR? Au plan b wakati wa power outage?
Ma injinia wa umeme wako Kariakoo wanauza nyanya wao wanashindwa kuajiri wawili?
Mkuu, wapi nimeandika hairisha? Au una harisha boss?Ahirisha, siyo hairisha.
Tatizo hata siyo kabila, tatizo ni kulelewa na mtu kama Makamba. Garbage In, Garbage Out; GIGO!Kipara sio msambaa. Ni wa huko huko kwenu mnakokunywa rubisi.
Wasambaa Wana roho mbaya lakini wako serious na kazi.
Tumeshaasema kuwa tatizo ni kiongozi namba mojaSpika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.
Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.
Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine
Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje ?
USSR
View attachment 2622580
Sent using Jamii Forums mobile app
Hii y akuulizia jenereta ni excuse ya kijinga. Kwani Tanesco wao hawawezi kuhakikishia watu umeme wa uhakika?Hawana Genereta???
Si wameona kiongozi aliyepo wanammuduWamekwepa ishu ya kariakoo ndo maana wamezima umeme makusudi huu mgomo ni kaa la Moto Kwa serikali..
Huu ni mgomo ambao utaingia Hadi mikoani
........duu hii ni fedhea Sasa, kule uwanja wa mkapa nilichukulia labda ni kutoipa thamani michezo, Sasa na bungeni tena, eneo nyeti linakosaje regular and daily checking(maintenance)ya miundombinu ya umeme, au kuna kikundi kinataka kudhalilisha mamlaka za juu, ingawa nina uhakika kuwajibika kutafuta ila haifuti doa hilo, tusipomakinika hili linaweza kutokea hata white house, kwakweli hili limenisikitisha sana......Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.
Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.
Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine
Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje ?
USSR
View attachment 2622580
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu kinaandaliwa...Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.
Hapa wazidi lazima awajike na timu yake, tutamkumbuka sana Rais Magufuli kwa haya yanayoendelea sasa.
Tulianza kuona shida ya umeme tangu januari awe waziri na akasema shida ni maji mvua ziliponyesha akabadilisha akasema shida ni uchakavu wa mitambo kwamba kwa miaka mitano ya jpm kukuwa na service yoyote sasa sijui ana sababu gani nyingine
Ukakatika sana majumbani kisha kwenye taasisi kama pale kwa mkapa na watu wanafukuzwa kazi sijui sasa Bungeni watasemaje ?
USSR
View attachment 2622580
Sent using Jamii Forums mobile app
Technical fault? Bungeni? Hauko serious wewe!Umeme umekatika kwa technical fault Ndani ya mfumo wa Umeme wa Bunge na sio kwa sababu ya Umeme kukatika toka TAENSCO.We jamaa huwa muongo muongo sana.
Ni umeme kukatika au ni hitilafu hapo kwenye mfumo wa umeme bungeni..?Spika wa a bunge Dk Tulia Aksoni amehairisha bunge leo baada ya hitilafu kubwa ya umeme hii ni hujuma dhidi ya waziri au nchi hii imeshindikana.